Israel uchumi taabani, Vita si Lele mama

Israel uchumi taabani, Vita si Lele mama

Haya ngoja tukuonyeshe tu jinsi uchumi wa Israel ulivyo Imara kuliko uchumi wa Iran huyo mpiga mayowe miskitini

Pesa ya Israel Shekel 1=Dollar 0.27 ya Marekani

Pesa ya Iran Real 600,000=Dollar 1 ya Marekani

Interest rate Iran 23% wakati ya Israel 4.75 %

Inflation rate Iran 49% wakati ya Israel inflation rate ni 2.6%

Ukiangalia hizo takwimu kiiuchumi Iran si chochote wala lolote mbele ya Israel
umetoa wap izi data ela ya iran ipo juu nadhan ni ya 4 duniani
 
1. Hii ni vita dhidi ya wanamgambo tu, Tena walio dhaifu zaidi katika mahasimu wao:

View attachment 2965344

2. Kwamba uchumi wa Israel ndiyo huu?

View attachment 2965325

3. Kwamba madeni ndiyo haya?

View attachment 2965345

4. Wanaeleweka washirika waliojiapiza kusimama nao daima.

View attachment 2965337

5. Kwa hakika ni kipi bora kuliko amani?
Yaani asielewa maana ya mgambo ni kama wale wa city wanaokamata wamachinga na mama lishe yaani wana virungu na magombore tu!
 
Kaka J. Nimeandika kutokana na maoni tu ya wengi tu humu Chief

Basi miye site mmoja wa hii timu:

e) Wafia Uislam: Hawa kwao dini ni uislam tu, tena ule wa kwao. Huwashangaa wengine wote na dini zao. Haiwaingii akilini iweje usiwe mwislam wa aina yao. Hawana uvumilivu na wengine. Mbingu na pepo wanayoijua ni ile yao tu, si ya wengine. Adui yao mkuu ni yeyote asiyekuwa mwislam na hasa mwisraeli.

f) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.


Huko Kuna wenyewe MK254, na wa namna hiyo wana japo uparoko uchwara humo.
 
Nikuulize mimi halafu nisijue nilichokuuliza?

Mada niandike miye mwerevu uwe ndugu mjuaji uchwara?

g) Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.
 
Mada niandike miye mwerevu uwe ndugu mjuaji uchwara?

g) Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.
Na hapo ndiyo kushindwa kutofautisha dera,gauni pana na kanzu.Kujiita mwerevu.
 
Back
Top Bottom