Uchumi wa hisa siku zote huwa ndo ulivyo na huwa sio uchumi halisi.
Wakati huo huo mnasema Marekani ni mchumba tu kwa IraniBila Marekani Israel ni kama mchumba mwingine. Hata Gaza angesha nyoosha maelezo, sembuse Iran?
Hata mlete nn hapa Iran lazima aliwe kichwa Iran wanasibr kichapo ww unataft faraja kwa kuleta stats za uongo Benjamin ashatamka kiwapiga mijamaa na ndev zao washajificha
Wakati huo huo mnasema Marekani ni mchumba tu kwa Irani
Kama ndivyo, kwa nini Marekani asichapwe kwanza ili Israel adhofu moja kwa moja mkuu
Uchumi wa Israel ndiyo uchumi na marekani
Wanamtaka na Iran si watakimbia Nchi watu wote hapo kilinge Cha machoko?1. Hii ni vita dhidi ya wanamgambo tu, Tena walio dhaifu zaidi katika mahasimu wao:
View attachment 2965344
2. Kwamba uchumi wa Israel ndiyo huu?
View attachment 2965325
3. Kwamba madeni ndiyo haya?
View attachment 2965345
4. Wanaeleweka washirika waliojiapiza kusimama nao daima.
View attachment 2965337
5. Kwa hakika ni kipi bora kuliko amani?
Kwa hiyo hao anaopambana nao uchumi wao ndiyo umenawiri?Stori za kujiliwaza hizi!Wenzako wanapigika,wewe unatuletea hadithi za kuchekesha.
Big deal kwa Israel maana watauza iron dome zaid na zaid has katik kipind hik Cha machafuko duniani
Big deal kwa Israel maana watauza iron dome zaid na zaid has katik kipind hik Cha machafuko duniani
Umeelewa ulichoulizwa?1. Kwa yeye anapougulia maumivu kumbe wewe unadhani anadhangilia?
2. Tungeyajulia wapi sisi haya bila yeye kuamua kuuvunja ukimya?
3. Au wewe wadhani amependa hata kuukiri ukweli huo?
Haya ngoja tukuonyeshe tu jinsi uchumi wa Israel ulivyo Imara kuliko uchumi wa Iran huyo mpiga mayowe miskitini
Haijalishi il hapa duniani lazima tuheshimiane.Haya ngoja tukuonyeshe tu jinsi uchumi wa Israel ulivyo Imara kuliko uchumi wa Iran huyo mpiga mayowe miskitini
Pesa ya Israel Shekel 1=Dollar 0.27 ya Marekani
Pesa ya Iran Real 600,000=Dollar 1 ya Marekani
Interest rate Iran 23% wakati ya Israel 4.75 %
Inflation rate Iran 49% wakati ya Israel inflation rate ni 2.6%
Ukiangalia hizo takwimu kiiuchumi Iran si chochote wala lolote mbele ya Israel