Israel VS Gaza. Kosa dogo tu likifanyika kama halijapangwa nyumba ya pazia, tunaingia WWIII (Nuclear War)


Inawezekana Marekani amewachoka waislamu; anataka kupunguza kizazi chao
 
Inakadiriwa Israel kuwa tactila nuclear warhead 80, huku kwa Iran ikiwa ni 0.

Ni ngumu nchi za kiarabu kumgusa Israel, kitu kinaitwa Nuclear ni kipengele kingine unless uwe na guts kama za magharibi walivyomtuliza Putin na nuclear zake.
Hakika inahitajika kuwa na gats kwel kwel nakumbuka biden akiwa Poland alimwambia Putin Sisi tutapeleka silaha Ukraine kama kawa wewe kama unaweza tumia nuclear tuko tayari
 
Umenikumbusha Kiapo SAMSON Option cha Wayahudi πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ‘
 
Acha inyeshe tujue wapi panavuja sana
Wakati mwingine maisha hayahitaji hofu wala uoga
Kila kitu kinacho waziwa na kutendeka duniani na wanadamu MUNGU anajua.

Yeye anajua mwisho wetu akiwa mwanzoni kabisa mwa safari.
Dunia haitaangamia ila watu waoga na wazembe woote kama waarabu wataangamizwa
 
Wa
Walau umechambua ukweli sio kama .mleta mada anavyotaka kutisha.

Hakuna wa kumzuia Israel hamas na wapalestina wa Gaza wataendekea kufa kwa mamia kila siku na hakuna concrete step itakayochukuliwa dhidi ya Israel. Juzi mataifa ya kiarabu na ya kiislam zaidi ya hamsini yamekutana Riyadh yameishia kutoa maneno tu
Hizbollar kabla Hamas hajaihambulia Israel walikubaliana kuwa hamas akianzisha naye hizbolla ataingia lakini hadi sasa anarusha rusha rocket tu lakini hajaingia kikamilifu na Israel ameweka wazi kuwa Lebanon itHaribiwa vibaya kama Gaza akithubutu kuingia.

Mwanzoni wapalestina waishio Gaza kaskazini walia.mbiwa waende kusini lakini hamas wakawachochea wasihame lakini sasa kipigo kilovyokolea unaona wanavyotembea kwa miguu kuhama huku hospitali nazo zikipigwa kiasi cha buduma kusitishwa na wagonjwa na majeruhi wanakufa kwa maumivu makubwa na wengine wanazikwa hapohapo katika compound ya hospitali. Mateso hayo yote yameletwa na Hamas kwa ndugu zao na nakuambia kama kuingilia wangeingilia sasa. Wanachofanya ni kuililia US ili amwombe Israel asimamishe vita. Na nakuambia itafika hatua hamas ili kuwaokoa nduguze atawaachilia mateka bila masharti.

Mungu ibariki Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…