kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
kinyume cha uislamu usipokubaliana kua gaidi basi utakwenda namaji au kupingana naoMkuu ukatili wa WAYAHUDI upo kwenye imani ya dini yao kizayuni (Zionist) mayahudi imani yao inasema: kumdhulu, kumtesa kumsulubu mtu asiye myahudi ni haki tena ni sehemu ya ibada yao.
Anza na Taleban kwanzaUkatili wanaoufanya kwa wapalestina huo co ukatili!!!!
kinyume cha uislamu usipokubaliana kua gaidi basi utakwenda namaji au kupingana nao
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Anza na Taleban kwanza
Hio jela yenye ulinzi mkali raia sita wanatoroka heheeHatimae after two week wawili wengine nao wamekamatwa wakiwa wamejificha bom moja tu la machozi wakajisalimisha kama hamza kazi ya hunting imefungwa rasmi 6 wote back to jail
Mamethibitisha ugaidi wao.Hio jela yenye ulinzi mkali raia sita wanatoroka hehee
Embu weka huo ushahidi wa Qur'an unaosema kumtesa asiye muislam ni haki?Weka andiko au ulifundishwa madrasa?? Weka Na Mimi niweke fundisho hilohilo kwenye kulaani tukufu
Nimekuambia weka la Waisrael niweke la kulwani tukufu mbona huweki?Embu weka huo ushahidi wa Qur'an unaosema kumtesa asiye muislam ni haki?
Tunasubiri.
[emoji28][emoji28][emoji28]kulwani ndo nini mkuuNimekuambia weka la Waisrael niweke la kulwani tukufu mbona huweki?
Hicho Ni kitabu cha korodani tukufu[emoji28][emoji28][emoji28]kulwani ndo nini mkuu
Mie ya Israel siyajui na kauli hiyo ya kusema Uyahudi unahalalisha mauaji kwa asiye myahudi sikusema mm.Nimekuambia weka la Waisrael niweke la kulwani tukufu mbona huweki?
Yapo mengi ..sema mwambie mwenzako aje ajibu hapa maana ninataka aweke ndo niweke Yani bandika bandua chivalaMie ya Israel siyajui na kauli hiyo ya kusema Uyahudi unahalalisha mauaji kwa asiye myahudi sikusema mm.
Mm nataka uniwekee hiyo ya Qur'an kuhalalisha mauaji kuwa haki kwa asiye muislam.
Usikwepe weka mm nasubiri.
Ukileta najitoa uislam mm mwenyewe.Yapo mengi ..sema mwambie mwenzako aje ajibu hapa maana ninataka aweke ndo niweke Yani bandika bandua chivala
Kwani ukijitoa Mimi napata faida Gani??mshtue mwenzako alianzisha uongo humuUkileta najitoa uislam mm mwenyewe.
Aya nasubiri.
Mkuu nimesema nasubiri tusibishane sana.Kwani ukijitoa Mimi napata faida Gani??mshtue mwenzako alianzisha uongo humu
SawaMkuu nimesema nasubiri tusibishane sana.
Vitendo huongea vema kuliko maneno yenyewe.
Ngojea anakuja.
Wangeenda nje ya nchi kama ni hatari kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Palestina yenye km 6020 unategemea wasiwakamate!!! alafu ukizingatia hawako huru,, so watashindwaje kuwakamata!!!!!
Wangeenda nje ya nchi kama ni hatari kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti wameshinda vitaPalestina ni kama wafungwa,, navyojuwa hawaruhusiwi kumiliki wala kutengeneza silaha, muisrael atashindwaje!!!! Pamoja na masilaha yoote na midege aliyonayo lakini ameshindwa vita dhidi yao, Mwenyezi Mungu anawalinda. Just think kama angelikua anamiliki izo silaha alizonazo myahudi, aise pangechimbika.