Israel: Wafungwa wanne kati ya 6 waliotoroka wakamatwa tena

Israel: Wafungwa wanne kati ya 6 waliotoroka wakamatwa tena

Mkuu ukatili wa WAYAHUDI upo kwenye imani ya dini yao kizayuni (Zionist) mayahudi imani yao inasema: kumdhulu, kumtesa kumsulubu mtu asiye myahudi ni haki tena ni sehemu ya ibada yao.
kinyume cha uislamu usipokubaliana kua gaidi basi utakwenda namaji au kupingana nao

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Anza na Taleban kwanza

Taleban wamefanya nin? Utalinganisha taleban na makafiri wa kiyahudi laanatullah alayhim.

Wagalatia mna tabu sana aisee,, miyahudi yako haitambui ukristo wako, na yesu hawamtambui. Wakristo wenyewe walioko israel ni wachache sana sana kuliko waisilamu alafu munawaona watu wema. Mnashangaza wagalatia.

Births from January–July 2021 = Jewish: 77,304 (74.39%); Muslim: 21,493 (20.68%); Christian: 1,375 (1.32%)

😁😁😁😁😁😁
 
Hatimae after two week wawili wengine nao wamekamatwa wakiwa wamejificha bom moja tu la machozi wakajisalimisha kama hamza kazi ya hunting imefungwa rasmi 6 wote back to jail
Hio jela yenye ulinzi mkali raia sita wanatoroka hehee
 
Nimekuambia weka la Waisrael niweke la kulwani tukufu mbona huweki?
Mie ya Israel siyajui na kauli hiyo ya kusema Uyahudi unahalalisha mauaji kwa asiye myahudi sikusema mm.
Mm nataka uniwekee hiyo ya Qur'an kuhalalisha mauaji kuwa haki kwa asiye muislam.
Usikwepe weka mm nasubiri.
 
Yapo mengi ..sema mwambie mwenzako aje ajibu hapa maana ninataka aweke ndo niweke Yani bandika bandua chivala
 
Palestina yenye km 6020 unategemea wasiwakamate!!! alafu ukizingatia hawako huru,, so watashindwaje kuwakamata!!!!!
Wangeenda nje ya nchi kama ni hatari kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wangeenda nje ya nchi kama ni hatari kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Palestina ni kama wafungwa,, navyojuwa hawaruhusiwi kumiliki wala kutengeneza silaha, muisrael atashindwaje!!!! Pamoja na masilaha yoote na midege aliyonayo lakini ameshindwa vita dhidi yao, Mwenyezi Mungu anawalinda. Just think kama angelikua anamiliki izo silaha alizonazo myahudi, aise pangechimbika.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti wameshinda vita
 
Back
Top Bottom