Israel waingia ndani zaidi, wateka makao makuu ya ujasusi ya HAMAS

Nashangaa kama kuna mateka yeyote hai kama hamjawatafuna kwa mlivyo mazombi, kikubwa sasa hivi ni kuosha hiyo Gaza na kuondoa harufu ya ugaidi wa dini yenu.
Kuosha wakati hadi leo israel kila siku anapokea miili ya idf safari hii anaakiona cha moto
 
Mpaka sasa mazombi yenu hesabu zinasoma 21,822 uzuri hizi namba zinatangazwa na nyie wenyewe, hivyo huo uwiano ni balaa Wapalestina 21,822 hawajavuka mwaka, kisa uchokozi wa HAMAS kwa Wayahudi
Kuua raia 21000 sio ajabu ni dalili ya woga na kushindwa kupigana na wanaume huku hao wajinga wako wanajeshi wa mchongi kila siku wanabanduliwa tu hadi wameamua kuanza kuondoa vikosi kwa aibu waliyoipata huku wameahindwa kukomboa mateka hata mmoja walidhania movie zao za uongo kumbe weupe tu
 
Sasa mkuu Hamas walitegemea wakivua nguo za kijeshi na kujificha kwenye umati wa raia kua WATASALIMIKA AU DUNIA HATUTAIJUA🤣🤣🤣
Mbinu ya kitoto kweli...na haina excuse!!!
Uzuri wayahudi hii mbinu haiwatishi na hakuna huruma au cease fire....Si walikua wanashangilia October 07....sasa wanalialia nn???
 
Matusi hayasaidii waarabu wenzio wanachapika huko...
Watu hawana shida na mateka bali wanatoa kichapo.....Hamas si ndio walidhani wakishikilia mateka basi vita hakuna???
Hata hao 138 waliobadilishana nao bado kichapo kinaendelea.....
HAPO UTAONA AIBU KAPATA NANI?????
MWENYE NGONJERA...AU ANAETOA KICHAPO
 
Hawa ndio wanaume mkuu???
Wanakimbia kimbia na kuvua nguo za kijeshi na kujificha kwa raia???
Mbinu ya kitoto 🤣🤣🤣
 

Hayo ni mazombi yenu hamna raia pale, tena mna bahati hili kubwa la magaidi ya dini yenu limeshtukia mchezo likaufyata Hongera Iran kwa kushtukia huu mchezo, ilikua ifutwe tukiiona, haya meli ya Marekani imeondoka
 
Yani hii imani Kweli ni ya kigaidi jimwanamke linajua hadi mambo ya kivita.
 
Hawa ndio wanaume mkuu???
Wanakimbia kimbia na kuvua nguo za kijeshi na kujificha kwa raia???
Mbinu ya kitoto 🤣🤣🤣View attachment 2859168
Wanajaribu kufanya kila ushetani kutesa raia ila haijawasaidia kitu zaidi ya kudhalilika tu na wameshindwa hadi leo kuokoa mateka hata mmoja hilo sasa jeshi gani zile sinema zao za uongo hazitowasaidii kitu
 
Hawa ni raia wakowapi mateka kuua raia kila mtu anaweza ila kushindwa kuokoa mateka ni aibu na huku idf kila siku wanzikana tu
 
Bibi bado unajifariji tu.....baada ya wayahudi kuwachapa waarabusince 1967 na 1973 na 1982 and ect.....
Kule Doha yupo huyu mkuu wenu anacheza bel dance daily..😂🤣🤣🤣na kula bata na maescort huku ....nyie mnakufa njaa.
NB: AFU ANAALIKA WANAUME WENZAKE KITANDANI MWAKE KUFANYIANA MASAJI
 
Kama wamesema wamewapata hamas imekuwaje washindwe kuwapata mateka? Hata miili yao basi
 
Wanajaribu kufanya kila ushetani kutesa raia ila haijawasaidia kitu zaidi ya kudhalilika tu na wameshindwa hadi leo kuokoa mateka hata mmoja hilo sasa jeshi gani zile sinema zao za uongo hazitowasaidii kitu
Tangu lini IDF wakataka matema...zaidi ya kutoa kichapo...
Kwani kwenye telegram ya Hamas.....wanawafanyiaje mateka wa kiyahudi????
Anaedhalilika ni nani???
Si waarabu na waislamu wanaowachangia wayahudi wawaue kama mungu wao alivyowaagiza ila wameshindwa mpaka leo???
NB: HIYO MBINU YA MGAMBO WA HAMAS KUJIFANYA RAIA ...WAYAHUDI WANAIJUA NA WANAWATIA ADABU KWELI..
 
Kama wamesema wamewapata hamas imekuwaje washindwe kuwapata mateka? Hata miili yao basi
Mkuu sasa mbona wapiganaji wa hamas wanavua nguo za kijeshi na kujichanganya na raia ili wasife ila kichapo kinawafuata huko huko wanakojificha na raia...
IDF hawana shida na mateka au maiti ila wanatoa kichapo heavy!!!
NB : TRICK YA MATEKA SAFARI HII HAMAS WAMEINGIA CHAKA......HAKUNA CEASE FIRE
 
Wanajaribu kufanya kila ushetani kutesa raia ila haijawasaidia kitu zaidi ya kudhalilika tu na wameshindwa hadi leo kuokoa mateka hata mmoja hilo sasa jeshi gani zile sinema zao za uongo hazitowasaidii kitu
Mbona wao October 07 waliteka na kubaka wayahudi...
Au walidhani wakiteka wayahudi bas ndio itakua trick wasipokee kichapo
 
Acha habari za uzushi kwa akili ya kawaida ya kuzaliwa uweze kuwapata hamas ushindwe kuonyesha hata mwili mmoja wa mateka wa kiisrael ambao ndugu zao kila siku wanaandamana nyumbani kwa netanyahu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…