Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Acha waandame ni haki yao ya kikatiba.....ila IDF haina shida na maiti za mateka ambao Hamas wanadai wengi walikufa kwa mashambulizi ya mabomu ya IDF...kwa mujibu wa msemaji wa Hamas!!!Acha habari za uzushi kwa akili ya kawaida ya kuzaliwa uweze kuwapata hamas ushindwe kuonyesha hata mwili mmoja wa mateka wa kiisrael ambao ndugu zao kila siku wanaandamana nyumbani kwa netanyahu?
IDF wao kazi yao kutoa kichapo huko gaza mpaka mda huu..
Mateka au maiti wakae nazo Hamas ila kichapo kinaendelea....
NB : WEWE KAMA UNATAKA WAKUONYESHE NENDA KAMUOMBE AU MSHAURI BENJA AFANYE UNAVYOTAKA WEWE