Israel waingia ndani zaidi, wateka makao makuu ya ujasusi ya HAMAS

WAzungu wamejaribu sana hata kuedit msahafu wakashindwa hadi vitoto vidogo vimeukariri hizo propaganda zenu za magharibi mmebaki nazo wenyewe huko makanisani naa papa wenu sisi hatujawahi kutetereka kwwnye maamrisho ya mungu msituingize kwenye ushetani wenu
Najua kwanini waislamu mnaikataa adithi hii..🤣🤣🤣🤣
Sababu msimuliaji aliona ukweli na aliweka wazi.....
NB: UNADHANI SABABU YA KUITA BAADHI YA ADITHI ZENU DHAIFU...SISI WADOMO HATUJUI?
 
Sasa nipe orodha mpaka sasa wamekufa wanajeshi wangapi wa hamas???
Acha maneno mengi toa orodha???
Ukweli ndio huo waarabu wanachapika kaangalia al Jazeera
NB: NASIKIA WAMEKUFA WATATU TU NA WALE WALIOINGIA KWENYE KITBUZ ZA ISRAELI MPAKA LEO BADO WAPO HAI WANAPAMBANA 🤣🤣
 
Hapo ni sawa na waarabu na waislamu walipojaribu kuedit na kukopi biblia na torati ila wakaambulia patupu 🤣🤣🤣
 
Haya soma uelimike sio kukaririshwa na wachungaji wa mbagala habari za taifa teule, hiyo report from military analyst ftom United states army press
 
Attachments

  • Screenshot_20240101-131158_Drive.jpg
    90.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240101-131143_Drive.jpg
    158.3 KB · Views: 2
Acha maneno....leta idadi ambayo hamas wametangaza kua wanajeshi wake wamekufa...
NB: NASIKIA WATATU TOKEA OCTOBER 07
 
Hapo ni sawa na waarabu na waislamu walipojaribu kuedit na kukopi biblia na torati ila wakaambulia patupu 🤣🤣🤣
Hatujawahi kuhangaika na biblia maana kwanza mungu hakuahusha kitabu kinaitwa biblia bali injili, na pili hata hao wasomi na mapadri wa kizungu waliojaribu kufanya research kuhisu hivi vitabu vya dini wote waliishia kubadili dini na kuwa waislamu
 
Haya soma uelimike sio kukaririshwa na wachungaji wa mbagala habari za taifa teule, hiyo report from military analyst ftom United states army press
Mimi nisome tena nielimike????
Jibu kwanza maswali yangu yoote niliyokuuliza kule juu usiyakwepe mkuu..
Jibu kwanza afu ndio unipe elimu...
NB: MBAGALA WANAKAA WATU MATAJIRI AKIWEMO MIMI NA SAMATTA....UNADHANI UKIWADHARAU WATU WA MBAGALA UTAWAPUNGUZIA HESHIMA YAO🤣🤣🤣
 
Wakuweka sio mimi ni Hamas authorty kitengo cha habari...nasikia mpaka leo wamekufa wanamgambo wawili tu🤣🤣🤣
NB: KWANINI HAMAS HAWAWEKI HADHARANI IDADI YA WANAJESHI WAO WALIOKUFA?????
JIBU UNALO MKUU
Waambie Israel waweke si wewe si umesema wamewauwa? Hamas akiuwa Waisral anasema kingine Hamas wao wao wakifa ni ufahari wanatanga na majina.

Kaama hivi…

🛑 In a joint-operation between Al-Qassam Brigades & Mujahideen Brigades:

They targeted a Zionist Apache helicopter, south of the Zaytoun neighborhood, with a “SAM-7” (anti-aircraft) missile, 2 hours ago.

Au zile maiti za watoto ndiyo Hamas.
 
Hatujawahi kuhangaika na biblia maana kwanza mungu hakuahusha kitabu kinaitwa biblia bali injili, na pili hata hao wasomi na mapadri wa kizungu waliojaribu kufanya research kuhisu hivi vitabu vya dini wote waliishia kubadili dini na kuwa waislamu
MKUU MNAHANGAIKA NA WAKRSTO NA WAYAHUDI NA VITABU VYAO...
UKISEMA HAKUNA BIBLIA HATA WAKRSTO NAO WATAKUJIBU HAKUNA QUR'AN BALI MUDY ALIWAIGANA KUWAKOPI WAYAHUDI NA WAKRSTO
NB:KILA SIKU KWENYE MIHADHARA NA MAHUBIRI YENU YA IJUMAA...
 
Najua kwanini waislamu mnaikataa adithi hii..🤣🤣🤣🤣
Sababu msimuliaji aliona ukweli na aliweka wazi.....
NB: UNADHANI SABABU YA KUITA BAADHI YA ADITHI ZENU DHAIFU...SISI WADOMO HATUJUI??
Nyie simmeisha zowea kuamini uwongo sababu waongo 😄

Vipi Yesu si mnamsema alikuwa pia shoga, kwa hio tuamini Yesu alikuwa shoga? Poleni sana hamkuwacha Mitume bila kuwazulia uwongo hata Yesu, ambaye mnasena ni Mungu wenu mnamuita shoga??

So what evidence is there in the bible of Jesus's homosexuality?
There's hints of it, and then there's readings into it. The hints come from John's Gospel with the "beloved disciple." He and Jesus have an intimate relationship, although there are questions as to who the disciple actually is. Anyhow, the beloved disciple is lying on the chest of Jesus at the last supper and is supposedly in his "inner tunic," which is what we would call underwear today. It's a very intimate gesture, and it's a special gesture of affection between the two.
 
Mkuu report ya vita full ipo hapo nimekuwekea na military analyst wamekwambia nani kabondwa sasa hapa habari za umbea za nini wakati report zipo kasome
 
MKUU MNAHANGAIKA NA WAKRSTO NA WAYAHUDI NA VITABU VYAO...
UKISEMA HAKUNA BIBLIA HATA WAKRSTO NAO WATAKUJIBU HAKUNA QUR'AN BALI MUDY ALIWAIGANA KUWAKOPI WAYAHUDI NA WAKRSTO
NB:KILA SIKU KWENYE MIHADHARA NA MAHUBIRI YENU YA IJUMAA...
Food for thought, huyo hapo celebrity wa marekani anakwambi huj upuuzi wa dini ya kikristo haupo kwenye uislamu na ndio maana anaamini dini ya kiislamu inakufanya uwe karibu na mungu
 
Attachments

  • Screenshot_20240101-131630_Chrome.jpg
    74 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240101-132102_Chrome.jpg
    120.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240101-131721_Facebook.jpg
    130.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240101-131831_Gallery.jpg
    45.3 KB · Views: 1
MKUU WAKRISTO WANAMUABUDU MUNGU WA KIYAHUDI YEHOVA NA MWANAE YESU....
AMBAO DINI YAO ILIKUEPO KABLA YA MUNGU WA KIARABU NA DINI YAKE
 
Yani we ikifatilia orodha ya Hamasi watakuwa ni wachache sana kuliko Wanajeshi wa Israel.
 
Food for thought, huyo hapo celebrity wa marekani anakwambi huj upuuzi wa dini ya kikristo haupo kwenye uislamu na ndio maana anaamini dini ya kiislamu inakufanya uwe karibu na mungu
HIZI POROJO WALA HAZISAIDII..
MUNGU WA WAYAHUDI NA WAKRSTO YEHOVA HANAGA PROPAGANDA
 
Mkuu report ya vita full ipo hapo nimekuwekea na military analyst wamekwambia nani kabondwa sasa hapa habari za umbea za nini wakati report zipo kasome
Mm nataka unijibu vile vitu nilivyokuuliza pale juu...
Kuna ripoti zaidi ya 10000 kuhusu hiyo vita...
Jibu maswali yangu ya kitaalamu pale juu tuache maneno maneno
 
Food for thought, huyo hapo celebrity wa marekani anakwambi huj upuuzi wa dini ya kikristo haupo kwenye uislamu na ndio maana anaamini dini ya kiislamu inakufanya uwe karibu na mungu
Na utuletee pia upuuzi wa dini ya kiislamu....dini ya kupromoti utamaduni wa kiarabu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yaani mmarekani mmoja asiyejulikana ndio wewe umeona wa kusapoti hoja yako
 
Na utuletee pia upuuzi wa dini ya kiislamu....dini ya kupromoti utamaduni wa kiarabu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yaani mmarekani mmoja asiyejulikana ndio wewe umeona wa kusapoti hoja yako
Huyo priest aliyehudumu kwa 45 years na huyo anti islam mp hujawaona? Na hiyo mmarekani ana hoja kama ukiamua kuweka ubishi wako wa kijiweni pembeni
 
Waislamu wanaabudu mungu wa kiarabu Allah ambae ana bifu na mungu wa kiyahudi YEHOVA anaeabudiwa na wakrsto na wayahudi..
Ndio maana mnapishana kimapokeo.
NB: WASOMI TUNANGALIA DINI IPI ILITANGULIA NA NANI KAMKOPI MWENZIE🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…