let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Sawa ila huyu Imam anatusikitikia vile tunavyochelesha u-kharifa.Mkuu tangu lini tamaduni za kiarabu zikawa na value kuliko zetu za kibantu..
Haiwezi tokea tuache tamaduni zetu tufuate za waarabu,,,never!!
The more we delay the caliphate the more we gonna pay hurge price.
So,huyu imam kwa namna nyingine anataka dunia ijisarimishe mapema katika u-kharifA vinginevyo tunachokiona kinafanywa naijeria ama mashariki ya kati itakuwa mara 10 zaidi.