Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Iranian army said two soldiers have been killed in Israeli air strikes that targeted military bases, after Israel said it had “completed” its attack and warned against any retaliation.
Sawa sawa msemaji wa IranKwanza hakuna ndege ya Israel iloingia kwenye anga la Iran wameishia kutuma ndege mpaka Iraq karibia na mpaka wa Iraq kisha ndege zao kufyatua makombora kuelekea Iran.
Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki.Kwanza kabisa hakuna ndege ya Israel ilotia mguu Iran zote ziliishia anga la Iraq na Syria ikisha zikarusha kuelekea kwenye hizo targets za Iran
Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita
Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran
We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote kwa ufanisi 99.9%
Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.
Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!
Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 halafu unaishia tu anga la Syria na Iraq kisha unafyatua makombora kuelekea Iran ni mantiki gani? Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran
Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.
Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran
Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran kwa kusimamisha ndege kwenye Anga la Iraq, Syria au Saudi Arabia bora wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kushindwa kuingiza ndege Iran ni aibu kubwa
My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!! Kumbe ndege za Israel hazikuingia Iran zilitumia anga la Iraq kurusha makombora Shambulizi la Israel dhidi ya Iran ndege za Israel hazikuingia Iran kupiga!! Hii mbinu naona Israel kaitumia tena, kwasababu kuna kipindi aliishambulia Syria kama mara mbili hivi akawa anatumia anga la Lebanon anakaa juu kwenye anga la Lebanon kisha anafyatua makombora kuelekea Syria hadi Lebanon wakaenda kulalamika UN...Sasa naon alijua kabisa kupeleka F-16 au F-35 ndani ya Anga la Iran zingetunguliwa zote na kuangushwa na ingekua ni aibu zaidi ya hii ya leo na wangepoteza soko la hizo ndege kitu ambacho hawawezi kukimudu, Inafahamika wazi kuwa hizo ndege 100 zingeingia Iran hakuna hata moja ingerudi maana mfumo wa bavar 373, S-300 na S-400 ni mifumo hatari sana ya ulinzi inaweza kupiga hadi targets 100 kwa mpigo mmoja ndo maana Israel akaishia kwenda hadi anga la Iraq na Syria kisha kurusha makombora kuelekea Iran
[emoji298]️ATTENTION:
[emoji1130][emoji1134] According to our estimates, Israeli warplanes did not enter Iranian airspace. Instead, they launched missiles from outside Iran’s borders, possibly from Iraq, Syria, or Saudi Arabia.
This approach may have been chosen to avoid risking their aircraft.
Mjahidina katika ubora wake 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kudadadadadeki mmeanza kushabikia vita sasa.Kwanza hakuna ndege ya Israel iloingia kwenye anga la Iran wameishia kutuma ndege mpaka Iraq karibia na mpaka wa Iraq kisha ndege zao kufyatua makombora kuelekea Iran.

Sema waajemi wawe macho kabisa. Hawa mabeberu wanatakaga sana ushindi wa kisaikolojia kwamba wao ndio wababe. Mi naona wanangojea iran idhani yameisha kisha wawashambulie kwa kushtukiza kama wenyewe waajemi walivyowashtukiza na kuwapiga hadi jikoni kwao.Kwanza hakuna ndege ya Israel iloingia kwenye anga la Iran wameishia kutuma ndege mpaka Iraq karibia na mpaka wa Iraq kisha ndege zao kufyatua makombora kuelekea Iran.
Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki.Kwanza kabisa hakuna ndege ya Israel ilotia mguu Iran zote ziliishia anga la Iraq na Syria ikisha zikarusha kuelekea kwenye hizo targets za Iran
Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita
Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran
We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote kwa ufanisi 99.9%
Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.
Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!
Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 halafu unaishia tu anga la Syria na Iraq kisha unafyatua makombora kuelekea Iran ni mantiki gani? Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran
Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.
Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran
Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran kwa kusimamisha ndege kwenye Anga la Iraq, Syria au Saudi Arabia bora wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kushindwa kuingiza ndege Iran ni aibu kubwa
My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!! Kumbe ndege za Israel hazikuingia Iran zilitumia anga la Iraq kurusha makombora Shambulizi la Israel dhidi ya Iran ndege za Israel hazikuingia Iran kupiga!! Hii mbinu naona Israel kaitumia tena, kwasababu kuna kipindi aliishambulia Syria kama mara mbili hivi akawa anatumia anga la Lebanon anakaa juu kwenye anga la Lebanon kisha anafyatua makombora kuelekea Syria hadi Lebanon wakaenda kulalamika UN...Sasa naon alijua kabisa kupeleka F-16 au F-35 ndani ya Anga la Iran zingetunguliwa zote na kuangushwa na ingekua ni aibu zaidi ya hii ya leo na wangepoteza soko la hizo ndege kitu ambacho hawawezi kukimudu, Inafahamika wazi kuwa hizo ndege 100 zingeingia Iran hakuna hata moja ingerudi maana mfumo wa bavar 373, S-300 na S-400 ni mifumo hatari sana ya ulinzi inaweza kupiga hadi targets 100 kwa mpigo mmoja ndo maana Israel akaishia kwenda hadi anga la Iraq na Syria kisha kurusha makombora kuelekea Iran
[emoji298]️ATTENTION:
[emoji1130][emoji1134] According to our estimates, Israeli warplanes did not enter Iranian airspace. Instead, they launched missiles from outside Iran’s borders, possibly from Iraq, Syria, or Saudi Arabia.
This approach may have been chosen to avoid risking their aircraft.
Kuwa na upande ni usumbufu kwa Akili yako mwenyewe, yaani mtu anakanusha hata ambacho Iran wamekiri. Pigo hili Israel ililenga kubomoa Air defence systems, (military infrastructure only) ndio maana walikuwa na waves of strikes, later waves aimed to test previous attack results, target nyingine ni kubomoa viwanda vya makombora, na Sasa wamekwambia the they are now free to strike Iran using Iranian airspace, that's why they 've warned Iran not to strike again on Israel, if they try, they will face harsher strikes. Hivyo ukiona Iran imewahisha retaliation, ujue hawakuwa affected na pigo hili. Jeshi huficha maumivu..Israel hawakupiga kiholela wamelenga precisely kwenye installations za kijeshi tu na wamepiga targets zote.
al jazeera, television yenu imetangaza kwamba Iran imekiri kwamba Israel kaishambulia na wamepata madhara, ila wewe unakuja hapa na longolongo. pole sana.Kwanza hakuna ndege ya Israel iloingia kwenye anga la Iran wameishia kutuma ndege mpaka Iraq karibia na mpaka wa Iraq kisha ndege zao kufyatua makombora kuelekea Iran.
Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki.Kwanza kabisa hakuna ndege ya Israel ilotia mguu Iran zote ziliishia anga la Iraq na Syria ikisha zikarusha kuelekea kwenye hizo targets za Iran
Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita
Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran
We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote kwa ufanisi 99.9%
Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.
Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!
Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 halafu unaishia tu anga la Syria na Iraq kisha unafyatua makombora kuelekea Iran ni mantiki gani? Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran
Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.
Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran
Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran kwa kusimamisha ndege kwenye Anga la Iraq, Syria au Saudi Arabia bora wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kushindwa kuingiza ndege Iran ni aibu kubwa
My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!! Kumbe ndege za Israel hazikuingia Iran zilitumia anga la Iraq kurusha makombora Shambulizi la Israel dhidi ya Iran ndege za Israel hazikuingia Iran kupiga!! Hii mbinu naona Israel kaitumia tena, kwasababu kuna kipindi aliishambulia Syria kama mara mbili hivi akawa anatumia anga la Lebanon anakaa juu kwenye anga la Lebanon kisha anafyatua makombora kuelekea Syria hadi Lebanon wakaenda kulalamika UN...Sasa naon alijua kabisa kupeleka F-16 au F-35 ndani ya Anga la Iran zingetunguliwa zote na kuangushwa na ingekua ni aibu zaidi ya hii ya leo na wangepoteza soko la hizo ndege kitu ambacho hawawezi kukimudu, Inafahamika wazi kuwa hizo ndege 100 zingeingia Iran hakuna hata moja ingerudi maana mfumo wa bavar 373, S-300 na S-400 ni mifumo hatari sana ya ulinzi inaweza kupiga hadi targets 100 kwa mpigo mmoja ndo maana Israel akaishia kwenda hadi anga la Iraq na Syria kisha kurusha makombora kuelekea Iran
[emoji298]️ATTENTION:
[emoji1130][emoji1134] According to our estimates, Israeli warplanes did not enter Iranian airspace. Instead, they launched missiles from outside Iran’s borders, possibly from Iraq, Syria, or Saudi Arabia.
This approach may have been chosen to avoid risking their aircraft.
Inmatured comment ever…DJ walete wale waliosema Israel hawezi kurusha hata jiwe Iran. Anga ya Iran ipo wazi sana ndege za Israel zimeingia na kufanya yake na kuondoka. Netanyau kamvua Ayatollah dera kwa mara nyingine baada ya kumuua Ismail Haniya kwenye guest house inayolindwa na Makomando wa Iran.