Israel wameaibika, Iran wamezima shambulizi zima kama nchi tujifunze

JESUS is love wotibilis wotibilis wotibilis FOOOGHEEEE

View attachment 3135710


Nyau de adriz
The Iranian army said two soldiers have been killed in Israeli air strikes that targeted military bases, after Israel said it had “completed” its attack and warned against any retaliation.

The Israeli army struck military sites in Iran after 2am on Saturday (22:30 GMT on Friday) in response to what it said were months of attacks by “Iran and its proxies” in the region
 
Sawa sawa msemaji wa Iran

Ova
 
Mjahidina katika ubora wake 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kudadadadadeki mmeanza kushabikia vita sasa.
 
Wamepigwa sana mpaka wameapa hawatakubali watalipiza, nawaasa wasilipize kisasi kwa Israel kwani malengo ya WESTERN YANAKWENDA KUTIMIA SASA :-
 
Sema waajemi wawe macho kabisa. Hawa mabeberu wanatakaga sana ushindi wa kisaikolojia kwamba wao ndio wababe. Mi naona wanangojea iran idhani yameisha kisha wawashambulie kwa kushtukiza kama wenyewe waajemi walivyowashtukiza na kuwapiga hadi jikoni kwao.
 
Israel hawakupiga kiholela wamelenga precisely kwenye installations za kijeshi tu na wamepiga targets zote.
Kuwa na upande ni usumbufu kwa Akili yako mwenyewe, yaani mtu anakanusha hata ambacho Iran wamekiri. Pigo hili Israel ililenga kubomoa Air defence systems, (military infrastructure only) ndio maana walikuwa na waves of strikes, later waves aimed to test previous attack results, target nyingine ni kubomoa viwanda vya makombora, na Sasa wamekwambia the they are now free to strike Iran using Iranian airspace, that's why they 've warned Iran not to strike again on Israel, if they try, they will face harsher strikes. Hivyo ukiona Iran imewahisha retaliation, ujue hawakuwa affected na pigo hili. Jeshi huficha maumivu..
 
al jazeera, television yenu imetangaza kwamba Iran imekiri kwamba Israel kaishambulia na wamepata madhara, ila wewe unakuja hapa na longolongo. pole sana.
 
Mods futeni huu Uzi wa kijinga sana
Hapa ni ushindani wa kiimani tu hakuna uchambuzi huru
 
Inmatured comment ever…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…