Israel wamepoteza vifaru 32 ndani ya siku 25

Israel wamepoteza vifaru 32 ndani ya siku 25

Hivi wewe mtu akikuambia Hamas inatawala Gaza utakubali? Je sasa hivi kuna tishio la makombola kutoka Gaza?? Oct 07,2023 Magaidi wa Hamas waliteka watu 251 mpaka leo hii waliobaki mikono i mwa magaidi hao ni 101 tu zaidi ya nusu walishakombolewa hayo kwako si mafanikio?
Mateka walio achiwa hawajakombolewa bali walifanyiwa mabadilishano kitu ambacho ndo lilikuwa lengo la Hamas.
Sasa kama hamas hawatawali gaza wanajeshi wa Israel wanapigana na nani huko?
 
Tatizo we una hesabu majumba huhesabu vifaru vilivyo potezwa vya Israel kule Gaza vinaweza kuijenga Dar Es Salam nzima na barabara na mitaa yake wacha vilivyo vunjwa huko Lebanon..

We unajua Merkava tank in cost ngapi? Merkava ni $3.5 million wacha Namer vehcle vilivyo bomolewa na zile drones na vifaa viliopo kwenye camp za jeshi zilizo pigwa.

Ukihesabu tu Merkava zilizo vunjwa unajenga majumba yote hayo ya Dar na mitaa yote unapiga taa na main road zitakuwa 4 lines za upande wa kulia na kushota 😄
unajua thamani ya kichwa cha naslarah? mashehe ubwawa wote wa dar nzima mkikusanywa jumalisha na kichwa cha bibi ajuza bado hamkuti hata robo ya thamani ya kichwa chake
 
Huwezi kuona kwenye vyombo vya habari vya Magharibi kwa kweli

magaidi wa kizayuni wanaendelea kubamizwa kidogo kidogo huko Lebanon na kupewa hasara kubwa sana ya vifaa vya kijeshi na Maisha ya vijana wao wa Kizayuni.

Kwa mujibu wa makadirio, tangu Oktoba 7 mwaka jana, Hamas walipolianzisha kwa kuwachapa mazayuni, mpaka sasa askari wa nepi wa mazayuni zaidi ya 4,000 wamenyofolewa uhai kwa kupoteza Maisha na zaidi ya 20,000 waliojeruhuwa na kutoweza kabisa kurudi kwenye medani za mapigano. Wengi wao wakipata wazimu kabisa.

Leo tuna habari mpya, askari zaidi ya 200 wameuliwa au kujeruhiwa vibaya na na vifaru vya mazayuni zaidi ya 32 vimebamizwa kabisa na kutweza tena kufanya kazi ndani ya siku 25 za uvamizi wao wa Lebanon. Jionee na jisikilizie zaidi:



View: https://www.youtube.com/live/9KO2OCpL_2E?si=eAS1rsTgsw5AqC-Q

So what!! Viongozi wenu wametunguliwa wangapi?
 
Mateka walio achiwa hawajakombolewa bali walifanyiwa mabadilishano kitu ambacho ndo lilikuwa lengo la Hamas.
Sasa kama hamas hawatawali gaza wanajeshi wa Israel wanapigana na nani huko?
wanajeshi wa israel gaza sa ivi hawapigani bali wanafanya doria, hamas wanafanya mashambulizi ya kushtukiza na kukimbia kwenye mashimo kama panya, hamas wamegeuka panya watu, sasa hivi hawana tena uwezo wa kurusha makombora
 
We msikilize Israel tu eti Hezbullah wanakimbia sa we baki na ubwege wako Hezbullah anawapiga mpaa ndani ya Israel wacha Lebanon.


View: https://youtu.be/5keuPWe4GLo?si=CST9olgxPhK6aKaJ

Hicho kipigo ndani ya Israel tarehe 19 WE baki oh Israel wapo Lebanon labbda kupiga selfie 😄


View: https://youtu.be/DAOJ6JMwTCA?si=zieCaqwyKuIGTK2s

Katika masaa 24 ya nyuma wameuliwa askari 10 wa Israel na walio na majeraha ni kama utitiri we baki na ngojera zako.

hezbola wameshauliwa wangapi hadi sasa? kama tu viongozi wao washauliwa wote je vipi hao washika bunduki na kobasi?
 
Kabla ya kututajia mafanikio ebu tutajie malengo ya Israel kwenye uvamizi waje huko Lebanon.
Kumbuka piae mpaka sasa malengo ya vita ya gaza hajatimiza hata moja.
Huyo anasikiliza propoganda za Israel hakuna hata vyombo vya habari vimethibitisha anayo ongea.
 
Yani huyu bibi kizee ni wa kuleta habari chanzo kikiwa video ya U-tube!
Kweli wahuni wanazeeka.
 
Yani huyu bibi kizee ni wa kuleta habari chanzo kikiwa video ya U-tube!
Kweli wahuni wanazeeka.
Amesema na msemaji kwenye video amesema kwamba vyombo vya magharibi vinazuia hizo habari,
Na akasema kama sio censor ya you tube angeweka video zaidi,

So sababu zina mashiko na hatuna budi kuamini coz vita ni mbinu na propaganda nyingi tu
 
Back
Top Bottom