Israel wamepoteza vifaru 32 ndani ya siku 25

Israel wamepoteza vifaru 32 ndani ya siku 25

Mkuu vita ni gharama hilo halina ubishi, ni ujinga kujifariji kwa misukosuko ya kiuchumi ya Israel badala ya kuangalia je tukio la Oct 7 linazaa matunda gani kwa upande wao au linazidi kufanya hali kuzidi kuwa mbaya kwao?
Hata Israel anao washirika kibao wa ku boost uchumi wake.

Sipo hapa kuitetea Israel nipo hapa kusema ukweli kwamba Hamas walifanya kosa kubwa kuvamia Oct 7 huku wakijua the outcome ya kila wanapo loanzisha varangati na Israel

Utakua unajidanganya sana kama utadhania Israel ita ruhusu tena Gaza kuwa kama ilivyokua...... hawezi tena kukubali ku risk kama yaliotokea Oct 7

Nakwenda kuiona Hamas na wapalestina wakizidi kupoteza aridhi na kuzidi kukaliwa kimabavu zaidi
Haya mambo hayajaanza juzi wala jana,
👇👇👇Historia inaongea
Hivi we kwenye akili yako Israel itabaki hapo?
 
Uwendawazimu wa uzeeni ni shida sana!! Eti vyombo vya Magharibi haviwezi kutangaza!! Kichaa huyu bibi!! Hivi hata Aljeezira ni chombo cha Magharibi. Yaani mtu uache kusikiliza vyombo vya habari rasmi vyenye wanahabari wa fani mbalimbali, waliotapakaa maeneo yote, uende ukakasikilize kamtu kamoja kalikojofungia chumbani na kujirekodi!! Una akili wewe?

Haya ifurahishe nafsi yako, chukua figures zote za Hamas na Hezbollah, pamoja na viongozi wao tulioambiwa wameuawa na wayahudi, sema vyombo vya magjaribi vilidanganya, wale walikuwa ni Wayahudi. Sema wayahudi zaidi ya 42,000 wameuawa, na kati ya hao, 20,000 ni IDF. Sema wale tulioambiwa ni viongozi waliouawa wa Hezbollah, walikuwa ni viongozi wa Wayahudi, na kwamba IDF wanaishi mashimoni maana wanashambuliwa vibaya na Hezbollah na hamas.

Endelea kuombea vita iendelee maana mnakaribia kukamilisha dhamira ya Iran na magaidi wake kuhakikisha wazayoni wanatoweka na kupotea Duniani.
Kiajuza kinatafuta mabwana kinguvu hicho,menopause yake bado haijakata vizuri
 
Wanajeshi 700 washapigwa huko south lebanon ,.

Leo makomando watano wamepigwa

REAKING: The IOF admits to another elimination of an important commander + 4 other Israeli soldiers during clashes with Hezbollah last night:Maj.
Mara nyingi hawa nasema wanaoshabikia Magaidi wa Hamas wana vichwa vya Panzi angalia tu data unazotoa zinafanana sana na za yule waziri wa Arya wa Hamas huko Gaza yeye Mara zote hutoa tu data zinazoingia kichwani mwake kuna siku atasema waliokufa huko Gaza ni 50,000 yeye Anafanya hivyo ili kutafuta huruma kwa jumuia za ki Mataifa. Sasa wewe unaleta data ambazo hazina kichwa wala miguu lengo lako ni nini? Kwa akili yako ndogo Israel inaweza kupoteza askari 700? Hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mjinga usiyejua kitu kwenye vita. Kwa akili zenu kiduchu unafikiri kwa kusema tu idadi kubwa ya askari wa Israel wamekufa ndiyo magaidi wa Hamas watashinda hii vita?? Hizi ni ndoto za mchana.
 
HAMAS ni Islamist movement
Wanatumia ancient scriptures kwenye kupigania haki zao
Umejazwa ujinga na ukakujaa. Hakuna kitu kama "islamist" katika Waislam.

Kuna uislam tu.
 
Umri ni kutoka kwa Allah sio kwa wengine, hizo bikra 72 labda mnaota, kwenye Uislam hakuna ujinga huo. Gaidi kwenye akili yako ni yule anaye pigania haki yake sio. Poleni sana kama mnadhani mtaishinda Hezbullah, Israel kanza kupigwa kama mtoto huko Lebanon anaona aibu zake zinatolewa. Kuficha aibu zake lazima apige Station za TV 😄
Unaweza kutupa uhakika kuwa Israel huko Lebanon anapigwa au unapo bwabwaja wewe hapa ndipo Israel inapigwa? Kwa taarifa yako tu huko Lebanon magaidi wa Hezbollah wanapigwa sana na wengi wameuwawa na wengine kukimbia na kuacha shehena kubwa ya silaha wewe huyajui hayo bado unabwabwaja tu ovyo na kuwadanganya watu kwa sababu tu una chuki na Israel!!! Hivi wewe Adiosamigo unajua kwa nini Hezbollah wanapigana na Israel? Kuna uwezekano mkubwa hujui na unashabikia tu kitu ambacho hukijui.
 
Mkuu vita ni gharama hilo halina ubishi, ni ujinga kujifariji kwa misukosuko ya kiuchumi ya Israel badala ya kuangalia je tukio la Oct 7 linazaa matunda gani kwa upande wao au linazidi kufanya hali kuzidi kuwa mbaya kwao?
Hata Israel anao washirika kibao wa ku boost uchumi wake.

Sipo hapa kuitetea Israel nipo hapa kusema ukweli kwamba Hamas walifanya kosa kubwa kuvamia Oct 7 huku wakijua the outcome ya kila wanapo loanzisha varangati na Israel

Utakua unajidanganya sana kama utadhania Israel ita ruhusu tena Gaza kuwa kama ilivyokua...... hawezi tena kukubali ku risk kama yaliotokea Oct 7

Nakwenda kuiona Hamas na wapalestina wakizidi kupoteza aridhi na kuzidi kukaliwa kimabavu zaidi
Haya mambo hayajaanza juzi wala jana,
👇👇👇Historia inaongea
Bora wewe umewaambia ukweli. Hamas baada ya kitendo cha kinyama kilichofanyika Oct 07,2023 walifanya kosa kubwa sana ambalo limewaghalimu viongozi wote wa Hamas waliobuni ujinga huo mpaka sasa hivi ni marehemu na kuna uwezekano tayari walishakabidhiwa wale mabikira 72 kama wanavyodanganywa. Raia wa kawaida nao waliunga mkono unyama huo maana walionekana mitaani wakisherehekea Upumbavu huo nao wengi wao walishakufa na wengine wanaendelea kufa. Gaza ile Israel iliwaachia miaka ile wasahau kabisa kama watakuja kuiona tena kwa sasa hivi kuna 3 D’s za Kiboko cha waarabu Mashariki ya Kati na Uajemi waziri Mkuu wa Israel Mheshimiwa Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI moja ya D yake ni Demilitarization ya Gaza hivyo wasahau kabisa kuwa watakuja na Gaza tena Najua maeneo hayo yalikuwa yanaitwa JUDEA & SAMARIA kwa maana ya West-Bank na Gaza ya sasa. Kwa hiyo maamuzi aliyoyafanya Yahya Sinwar ilikuwa ni upuuzi wa hali ya juu sana. Na kuna uwezekano mkubwa kuwa walijidanganya kuwa Allah wao angewasaidia kuwashindia vita dhidi ya wayahudi kwa hiyo wamlilie yeye kama walimwamini na mwisho wa siku kawatelekeza na kuwa acha solemba mbele ya majeshi ya Israel.
 
Kuna habari fresh kuwa Hezbullah kikosi chake Radhwan wamewateka wanajeshi 13 wa Israel ni mmoja wao ni colonel. Nasikia malumbano.yapo huko kwenye cabinet ya Israel wazuie wasitangaze hio habari. Sisi tunasubiri official Hezbullah watangaze Allahu Akbariiii.
Ngoja niende telegram middle east spectator,kule vitu live
 
Vimefikia 37 mpaka jioni hii kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Hezbollah na clip footage wameweka. Ndani ya saa 24 IDF wamepoteza askari 13 na hao ni waliotangazwa official
 
Huwezi kuona kwenye vyombo vya habari vya Magharibi kwa kweli

magaidi wa kizayuni wanaendelea kubamizwa kidogo kidogo huko Lebanon na kupewa hasara kubwa sana ya vifaa vya kijeshi na Maisha ya vijana wao wa Kizayuni.

Kwa mujibu wa makadirio, tangu Oktoba 7 mwaka jana, Hamas walipolianzisha kwa kuwachapa mazayuni, mpaka sasa askari wa nepi wa mazayuni zaidi ya 4,000 wamenyofolewa uhai kwa kupoteza Maisha na zaidi ya 20,000 waliojeruhuwa na kutoweza kabisa kurudi kwenye medani za mapigano. Wengi wao wakipata wazimu kabisa.

Leo tuna habari mpya, askari zaidi ya 200 wameuliwa au kujeruhiwa vibaya na na vifaru vya mazayuni zaidi ya 32 vimebamizwa kabisa na kutweza tena kufanya kazi ndani ya siku 25 za uvamizi wao wa Lebanon. Jionee na jisikilizie zaidi:

View: https://www.youtube.com/live/9KO2OCpL_2E?si=eAS1rsTgsw5AqC-Q

View: https://www.instagram.com/p/DBjIypcMSvq/?igsh=MWI5M2FocXNmcHdncA==
 
Mara nyingi hawa nasema wanaoshabikia Magaidi wa Hamas wana vichwa vya Panzi angalia tu data unazotoa zinafanana sana na za yule waziri wa Arya wa Hamas huko Gaza yeye Mara zote hutoa tu data zinazoingia kichwani mwake kuna siku atasema waliokufa huko Gaza ni 50,000 yeye Anafanya hivyo ili kutafuta huruma kwa jumuia za ki Mataifa. Sasa wewe unaleta data ambazo hazina kichwa wala miguu lengo lako ni nini? Kwa akili yako ndogo Israel inaweza kupoteza askari 700? Hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mjinga usiyejua kitu kwenye vita. Kwa akili zenu kiduchu unafikiri kwa kusema tu idadi kubwa ya askari wa Israel wamekufa ndiyo magaidi wa Hamas watashinda hii vita?? Hizi ni ndoto za mchana.
Mbona unalia kwani nimekutaja wewe? 😀 😀 😀 😀
 
Vimefikia 37 mpaka jioni hii kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Hezbollah na clip footage wameweka. Ndani ya saa 24 IDF wamepoteza askari 13 na hao ni waliotangazwa official
Hizbullah wanagawa kichapo huko usipime,Kuna taarifa Kama ikiwa confirmed inadaiwa itabadili kabisa mwenendo wa vita, askari 130 wa Israel wameandika barua kwa netanyahu kuwa hawataki kuhudumu mpaka mazungumzo yafanyike na mateka warudi home
 
Mara nyingi hawa nasema wanaoshabikia Magaidi wa Hamas wana vichwa vya Panzi angalia tu data unazotoa zinafanana sana na za yule waziri wa Arya wa Hamas huko Gaza yeye Mara zote hutoa tu data zinazoingia kichwani mwake kuna siku atasema waliokufa huko Gaza ni 50,000 yeye Anafanya hivyo ili kutafuta huruma kwa jumuia za ki Mataifa. Sasa wewe unaleta data ambazo hazina kichwa wala miguu lengo lako ni nini? Kwa akili yako ndogo Israel inaweza kupoteza askari 700? Hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mjinga usiyejua kitu kwenye vita. Kwa akili zenu kiduchu unafikiri kwa kusema tu idadi kubwa ya askari wa Israel wamekufa ndiyo magaidi wa Hamas watashinda hii vita?? Hizi ni ndoto za mchana.
Ushapakwa mafuta na jamaa wa kawe!?..maana kwa tone yako utakua kondoo mlokole tu
 
UN wamesema Gaza kurudi kama ilivyokua zamani itachukua miaka 350 ,halafu we uko na tekno yako chanika unashadadia vita
 
Yaani jiji k
UN wamesema Gaza kurudi kama ilivyokua zamani itachukua miaka 350 ,halafu we uko na tekno yako chanika unashadadia vita
kama majiji ya Doha na Dubai yametumia miaka 35 tu kujengwa gaza ndo ije ichukue miaka yote hiyo ?
Labda wakatae kutoa hela za ujenzi.
 
Vifaru 32 ndani ya siku 25 unaviona vidogo? Kwa kutandikwa na vijana ambao hawana hata toy ya kifaru.

Kumbuka kuwa Ghaza siyo nchi wala haina jeshi. Wanaua wanawake na wstoto na kubomoa mahosputali ns nyumba za kuishi raia wapendavyo lakini vijana wadogo wa Hamas wanadonyoa mdogo mdogo, zaidi ya mwaka sasa mazayuni wameshindwa kuokowa hata raia zao na ubabe wa mabwana zao wote haujasaidia kitu.
Wewe unachanganyikiwa kodogo kodogo unaropoka tu. Watu wameuwa watu zaidi ya 1000 kwa Mara moja unakuja na ushuzi wako siyo jeshi. Kwanini waarabu wanawaambukiza uchizi na mnakubali?. Hamas Wana jeshi lililofanya kazu kuwa vazi la jeshi lao.
 
Unaweza kutupa uhakika kuwa Israel huko Lebanon anapigwa au unapo bwabwaja wewe hapa ndipo Israel inapigwa? Kwa taarifa yako tu huko Lebanon magaidi wa Hezbollah wanapigwa sana na wengi wameuwawa na wengine kukimbia na kuacha shehena kubwa ya silaha wewe huyajui hayo bado unabwabwaja tu ovyo na kuwadanganya watu kwa sababu tu una chuki na Israel!!! Hivi wewe Adiosamigo unajua kwa nini Hezbollah wanapigana na Israel? Kuna uwezekano mkubwa hujui na unashabikia tu kitu ambacho hukijui.
Mpaka sasa Israel unakaribia mwezi imeshindwa kupenya kwenye ngome za Hizbullah kila jaribio la kisonga mbele linakabiliwa na vifo na majeruhi.
 
Attachments

  • Screenshot_20241025-185445.png
    Screenshot_20241025-185445.png
    920.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom