Israel wamepoteza vifaru 32 ndani ya siku 25

Huwezi kuona kwenye vyombo vya habari vya Magharibi kwa kweli

magaidi wa kizayuni wanaendelea kubamizwa kidogo kidogo huko Lebanon na kupewa hasara kubwa sana ya vifaa vya kijeshi na Maisha ya vijana wao wa Kizayuni.

Kwa mujibu wa makadirio, tangu Oktoba 7 mwaka jana, Hamas walipolianzisha kwa kuwachapa mazayuni, mpaka sasa askari wa nepi wa mazayuni zaidi ya 4,000 wamenyofolewa uhai kwa kupoteza Maisha na zaidi ya 20,000 waliojeruhuwa na kutoweza kabisa kurudi kwenye medani za mapigano. Wengi wao wakipata wazimu kabisa.

Leo tuna habari mpya, askari zaidi ya 200 wameuliwa au kujeruhiwa vibaya na na vifaru vya mazayuni zaidi ya 32 vimebamizwa kabisa na kutweza tena kufanya kazi ndani ya siku 25 za uvamizi wao wa Lebanon. Jionee na jisikilizie zaidi:

View: https://www.youtube.com/live/9KO2OCpL_2E?si=eAS1rsTgsw5AqC-Q

Wewe mama dini imekufanya uwe na akili kisoda sana, kwahiyo wewe hasara ya Mali na uhai unaiona kwa upande wa Izrael tu ila kwa magaidi wenzio hakuna hasara Wala hakuna waliokufa??

Mpaka tunavyoongea ushaambiwa kuijenga Gaza iludi kama ilivyokua inahitaji miaka350 (yesu ataludi atakuta Gaza bado haijajengwa😅)

Kwahiyo unapokaa kusherehekea vitu visivyokuepo usisahau hoja ndogo kama hiyo
 
katika uwanja wa vita hayo yote ya nawezekana but we don't deal with speculation we deals with numbers mfano ni vifo Gaza 42k lakn kwa idadi Ya watu walio kwenye vifusi number inazidi 50k
Hivi unadhani kwa taifa la mazayuni data kama hizo exactly unaweza zipata? Kama kambi imepigwa na Iran hakuna aliruhusiwa kusogea.taarifa unazipataje? Lakin kiuhalisia wanajeshi wengi ndio wahanga wa hii vita hasa wale wa ardhini na walioko makambini, kwanza pia hata movement zao ni za ajabu wanakuja wamejazana na vifaru vinafutana bila ata angalizo hizbollah wanapandikiza vilipuzi ardhini, na wanalenga vifaru na zile ATGM kambi zinapigwa na rockets, drones na ballistic missiles, oparation almost 40, za kikundi cha Iraq almost 20+, za Hamas ni ambush na kulipua vifaru na direct gun fire ambayo wale IDF % kubwa ni below 24 ile confrontation ya gun fire unawalemea sana kisaikology. Nadhani kama walikua katika position nzuri wasinge resume cease fire agreement iendelee
 
Haya sawa na nyie mmekufa wangapi na bado mnakufa wangapi??...........masikini lebanon.........ilikuwa poa sana ile inchi chini ya wakristo baadaya kuingia kobazi sasa na yenyewe ni gaza ......maana Israel kasema anafuta kira kitu...............
 
Huwezi kuona kwenye vyombo vya habari vya Magharibi kwa kweli

magaidi wa kizayuni wanaendelea kubamizwa kidogo kidogo huko Lebanon na kupewa hasara kubwa sana ya vifaa vya kijeshi na Maisha ya vijana wao wa Kizayuni.

Kwa mujibu wa makadirio, tangu Oktoba 7 mwaka jana, Hamas walipolianzisha kwa kuwachapa mazayuni, mpaka sasa askari wa nepi wa mazayuni zaidi ya 4,000 wamenyofolewa uhai kwa kupoteza Maisha na zaidi ya 20,000 waliojeruhuwa na kutoweza kabisa kurudi kwenye medani za mapigano. Wengi wao wakipata wazimu kabisa.

Leo tuna habari mpya, askari zaidi ya 200 wameuliwa au kujeruhiwa vibaya na na vifaru vya mazayuni zaidi ya 32 vimebamizwa kabisa na kutweza tena kufanya kazi ndani ya siku 25 za uvamizi wao wa Lebanon. Jionee na jisikilizie zaidi:

View: https://www.youtube.com/live/9KO2OCpL_2E?si=eAS1rsTgsw5AqC-Q

Kibibi hivi una mume kweli? Maana Hezbollaah ya hapa JF unayo ongelea inatisha kumbe ukute unaota..!!
 
Hivi unadhani kwa taifa la mazayuni data kama hizo exactly unaweza zipata? Kama kambi imepigwa na Iran hakuna aliruhusiwa kusogea.taarifa unazipataje? Lakin kiuhalisia wanajeshi wengi ndio wahanga wa hii vita hasa wale wa ardhini na walioko makambini, kwanza pia hata movement zao ni za ajabu wanakuja wamejazana na vifaru vinafutana bila ata angalizo hizbollah wanapandikiza vilipuzi ardhini, na wanalenga vifaru na zile ATGM kambi zinapigwa na rockets, drones na ballistic missiles, oparation almost 40, za kikundi cha Iraq almost 20+, za Hamas ni ambush na kulipua vifaru na direct gun fire ambayo wale IDF % kubwa ni below 24 ile confrontation ya gun fire unawalemea sana kisaikology. Nadhani kama walikua katika position nzuri wasinge resume cease fire agreement iendelee
uko sawa kabisa kama ambavyo mpaka saiz hatujui exactly number ya vifo vya member wa Hamas na Hezbollah ndio kitu kina fanywa na Israel

nikikuliza Hamas wamekufa wangapi hakuna jibu.
Hezbollah wamekufa wangapi hakuna jibu zaidi ya top official wao

sizani kama IDF infantry wamezidiwa kiasi icho ambacho watu wanakuza mpaka kuwaita jeshi la pampas sijui daipa vifo kwa askiri wa miguu ni kawaida ila tukija kwenye number ndio utashangaa

tusidanganywe na movie katika uwanja wa vita kuua askari wa adui 10 si jambo LA mchezo
 
yaani G
Unashangaa vifaru 32? Mbona hujaandika jinsi Gaza na Lebanon zinavyoendelea kugeuka majivu?

Watu mnaoabudu na majini mnashida sana up stairs!!
majivu ya gaza ndo yanayoangamiza vifaru na wazayuni...
 
kwa kinachendelea kumtokea mzayuni sitarajiii kuona akiingia vitani na nchi iliyojitosheleza kivita kama Iran au Russia hivi...ngonjera tu
 
Vita haina maana yeyote hao wahuni wasitishe vita wanayogombanishwa na USA...
 
uko sawa kabisa kama ambavyo mpaka saiz hatujui exactly number ya vifo vya member wa Hamas na Hezbollah ndio kitu kina fanywa na Israel

nikikuliza Hamas wamekufa wangapi hakuna jibu.
Hezbollah wamekufa wangapi hakuna jibu zaidi ya top official wao

sizani kama IDF infantry wamezidiwa kiasi icho ambacho watu wanakuza mpaka kuwaita jeshi la pampas sijui daipa vifo kwa askiri wa miguu ni kawaida ila tukija kwenye number ndio utashangaa

tusidanganywe na movie katika uwanja wa vita kuua askari wa adui 10 si jambo LA mchezo
IDF wangesha advance southern Lebanon lakini idadi ya helkopta zinazokuja kupakia majeruhi na vifo ndio zinatoa picha halisi nini kipo ground, uzuri at least hilo liko documented na Hizbollah
 
Huwezi kuona kwenye vyombo vya habari vya Magharibi kwa kweli

magaidi wa kizayuni wanaendelea kubamizwa kidogo kidogo huko Lebanon na kupewa hasara kubwa sana ya vifaa vya kijeshi na Maisha ya vijana wao wa Kizayuni.

Kwa mujibu wa makadirio, tangu Oktoba 7 mwaka jana, Hamas walipolianzisha kwa kuwachapa mazayuni, mpaka sasa askari wa nepi wa mazayuni zaidi ya 4,000 wamenyofolewa uhai kwa kupoteza Maisha na zaidi ya 20,000 waliojeruhuwa na kutoweza kabisa kurudi kwenye medani za mapigano. Wengi wao wakipata wazimu kabisa.

Leo tuna habari mpya, askari zaidi ya 200 wameuliwa au kujeruhiwa vibaya na na vifaru vya mazayuni zaidi ya 32 vimebamizwa kabisa na kutweza tena kufanya kazi ndani ya siku 25 za uvamizi wao wa Lebanon. Jionee na jisikilizie zaidi:

View: https://www.youtube.com/live/9KO2OCpL_2E?si=eAS1rsTgsw5AqC-Q

Nimerudi acha nianze na wewe hizi habari ni Propaganda uchwara tu hivi unaposema vifaru 32 akilini mwako unaona ni kitu rahisi?? Nashukuru kwa kuwa umetoa taarifa kuwa huwezi kuona taarifa hii kwenye vyombo vya habari vya magharibi kwa sababu ni habari za Uongo na Propaganda ili tu kupigana chepuo magaidi wa Hezbollah ambao wanashindwa vibaya kwenye uwanja wa mapigano huko Lebanon, Hezbollah mliokuwa mnawasifia kwa Wiki moja tu safu yao ya uongozi wa juu iliangamizwa akiwemo Sayyed Hassan Nasrallah cabinet yake yote wameuwawa na sasa hivi tayari wameshakabidhiwa na wale Mabikira 72 wawashughulikie. Nashangaa unatuletea tu Propaganda uchwara tu. Hezboullah Walianzisha vita na Israel Oct 08,2023 wakiwaunga mkono magaidi wenzao wa Hamas kwa mwaka mzima wameshindwa kulitikisa Jeshi la Israel na sasa IDF imejifunga mkaja kuwashughulikia magaidi hao na sasa hivi wanapumulia mashine. Huko kusini mwa Lebanon wamefurushwa hawafurukuti Israel inashusha kipondo popote inapotaka. Video yako hiyo ni Propaganda tu kuficha kipondo anachopata Hezbollah kutoka. Majeshi hodari ya Israel.
 
Afu yalivyo majinga yameona kuficha siri zao zisijulikane wamepiga vituo vya TV channels ziliopo kule Lebanon sababu zinatoa aibu zao wanavyo tandikwa

View: https://youtu.be/8GckNMlg5Fo?si=3yJMYiSGwclH8yy9

Wewe mwehu kumbe bado upo!! Mimi nilijua ulishakufa siku nyingi na nilijua na wewe tayari ulishakabidhiwa wale Mabikira 72. Hivi bado upo duniani kufanya nini au dini yenu ukisema uongo ndiyo unaongezea mabikira ukifa?? Hezbollah mlikuwa mnawasifia na kuwaramba Makalio yao sasa hivi Wako wapi? Wanapigwa kila kukicha hizo TV uchwara Lazima ziangamizwe maana wanaunga mkono na ku support ugaidi duniani.
 
IDF wangesha advance southern Lebanon lakini idadi ya helkopta zinazokuja kupakia majeruhi na vifo ndio zinatoa picha halisi nini kipo ground, uzuri at least hilo liko documented na Hizbollah
Mbona askari wa Israel tayari wanasonga mbele zaidi huko kusini mwa Lebanon au nyinyi Aljazeera inawachanganya? Basi subiri kichapo kiendelee mtakuja kujua baada ya sana!!
 
ukiingia JF unaweza kuwaonea huruma Israel unavyo chakazwa ila ukiingia Al Jazeera unaweza kutoka machozi kwa kinacho wakuta Lebanese na Palestinians

Hata kama ni uongo basi balance na ukweli kidogo et leo company ya askari 200 imepigwa hahahahaha bibi acha kujitekenya afu unacheka mwenyewe
Bibi naona anawatwanga kweli Israel kwenye ndoto. Huko ndotoni yawezekana hata Netanyahu walishamwua ila makamanda wote wa Hamas wanaishi, na Hamas imebakiza siku 3 kuichukua Jerusalem na Israel nzima. Vita vya ndotoni ni ushindi tu dhidi ya Israel!!
 
Sipo upande wowote ila naamini kuna (ma)taifa yanaenda(linaenda) kufutika hapo middle East kabla Utawala mpya wa Marekani.
 
Huku
Jana tu Israel wenyewe wametangaza askari wao watano wamelamba mchanga, Sasa Israel akikutangazia maafa zidisha Mara nne
Israel huo ujinga hawana. Kiongozi yeyote katika ngazi yoyote, akisema uwongo, kesho yake hana kazi, na kesi ya kudanganya umma inamfuata. Israel siyo Tanzania.
 
Back
Top Bottom