Israel wamepoteza vifaru 32 ndani ya siku 25

Israel wamepoteza vifaru 32 ndani ya siku 25

Wewe mwehu kumbe bado upo!! Mimi nilijua ulishakufa siku nyingi na nilijua na wewe tayari ulishakabidhiwa wale Mabikira 72. Hivi bado upo duniani kufanya nini au dini yenu ukisema uongo ndiyo unaongezea mabikira ukifa?? Hezbollah mlikuwa mnawasifia na kuwaramba Makalio yao sasa hivi Wako wapi? Wanapigwa kila kukicha hizo TV uchwara Lazima ziangamizwe maana wanaunga mkono na ku support ugaidi duniani.
Umri ni kutoka kwa Allah sio kwa wengine, hizo bikra 72 labda mnaota, kwenye Uislam hakuna ujinga huo. Gaidi kwenye akili yako ni yule anaye pigania haki yake sio. Poleni sana kama mnadhani mtaishinda Hezbullah, Israel kanza kupigwa kama mtoto huko Lebanon anaona aibu zake zinatolewa. Kuficha aibu zake lazima apige Station za TV 😄
 
Huku

Israel huo ujinga hawana. Kiongozi yeyote katika ngazi yoyote, akisema uwongo, kesho yake hana kazi, na kesi ya kudanganya umma inamfuata. Israel siyo Tanzania.
Akili zenu bana!!..pumbavu sana
 
Vifaru 32 ndani ya siku 25 unaviona vidogo? Kwa kutandikwa na vijana ambao hawana hata toy ya kifaru.

Kumbuka kuwa Ghaza siyo nchi wala haina jeshi. Wanaua wanawake na wstoto na kubomoa mahosputali ns nyumba za kuishi raia wapendavyo lakini vijana wadogo wa Hamas wanadonyoa mdogo mdogo, zaidi ya mwaka sasa mazayuni wameshindwa kuokowa hata raia zao na ubabe wa mabwana zao wote haujasaidia kitu.
Aiseee

Hivi kwanini wote mnaoshabikia Hamas mnakuaga kama hamna akili vichwani mwenu?

Hivi wewe mwanamke unajua madhila wanayowapata Wapalestina pale Gaza kwa unyama waliofanya Hamas Oct 7?

Na kwa akili yako kabisa bado unadhani Israel inapambana Gaza kwasababu ya kuokoa mateka na wakiwapata watasimamisha vita?

Hamas masikini viongozi wote wakubwa wamekufa, sasa hivi wanaogopa hata kutaja warithi maana watakuwa eliminated fasta

Kama hadi sasa utakua hujajua nia ya Israel pale Gaza ni nini basi utakua na akili nzito sana dada yangu

Muda utaongea
 
Tatizo we una hesabu majumba huhesabu vifaru vilivyo potezwa vya Israel kule Gaza vinaweza kuijenga Dar Es Salam nzima na barabara na mitaa yake wacha vilivyo vunjwa huko Lebanon..

We unajua Merkava tank in cost ngapi? Merkava ni $3.5 million wacha Namer vehcle vilivyo bomolewa na zile drones na vifaa viliopo kwenye camp za jeshi zilizo pigwa.

Ukihesabu tu Merkava zilizo vunjwa unajenga majumba yote hayo ya Dar na mitaa yote unapiga taa na main road zitakuwa 4 lines za upande wa kulia na kushota 😄
Kama huu ndio ushindi basi hongera kwao?

Uzoefu unaonyesha kwamba kila Hamas nanwashirika wake wakianzisha mnyukano mwisho wa siku Israel ndio inaongeza wigo wa kuwakalia wapaleatina

Gaza will never be same again
Hamas labda wahamie Syria
 
Wanajeshi 700 washapigwa huko south lebanon ,.

Leo makomando watano wamepigwa

REAKING: The IOF admits to another elimination of an important commander + 4 other Israeli soldiers during clashes with Hezbollah last night:Maj.
 
Aiseee

Hivi kwanini wote mnaoshabikia Hamas mnakuaga kama hamna akili vichwani mwenu?

Hivi wewe mwanamke unajua madhila wanayowapata Wapalestina pale Gaza kwa unyama waliofanya Hamas Oct 7?

Na kwa akili yako kabisa bado unadhani Israel inapambana Gaza kwasababu ya kuokoa mateka na wakiwapata watasimamisha vita?

Hamas masikini viongozi wote wakubwa wamekufa, sasa hivi wanaogopa hata kutaja warithi maana watakuwa eliminated fasta

Kama hadi sasa utakua hujajua nia ya Israel pale Gaza ni nini basi utakua na akili nzito sana dada yangu

Muda utaongea
Vichwa vyetu kama unaona havina akili vinakuhusu nini? Si jibu hpoja kwa hoja wachana na vichwa vya watu, mada hapa vichwa?

Wewe hayo madhila unayaona leo tu? Sisi tunayaona moiaka 80 sasa.

Kuna kondoo yupi akaona kuwa watu wana akili?

Eti kweli, vichwa vya kondoo ni lazima viwe na funza ndani?
 
Huwezi kuona kwenye vyombo vya habari vya Magharibi kwa kweli

magaidi wa kizayuni wanaendelea kubamizwa kidogo kidogo huko Lebanon na kupewa hasara kubwa sana ya vifaa vya kijeshi na Maisha ya vijana wao wa Kizayuni.

Kwa mujibu wa makadirio, tangu Oktoba 7 mwaka jana, Hamas walipolianzisha kwa kuwachapa mazayuni, mpaka sasa askari wa nepi wa mazayuni zaidi ya 4,000 wamenyofolewa uhai kwa kupoteza Maisha na zaidi ya 20,000 waliojeruhuwa na kutoweza kabisa kurudi kwenye medani za mapigano. Wengi wao wakipata wazimu kabisa.

Leo tuna habari mpya, askari zaidi ya 200 wameuliwa au kujeruhiwa vibaya na na vifaru vya mazayuni zaidi ya 32 vimebamizwa kabisa na kutweza tena kufanya kazi ndani ya siku 25 za uvamizi wao wa Lebanon. Jionee na jisikilizie zaidi:

View: https://www.youtube.com/live/9KO2OCpL_2E?si=eAS1rsTgsw5AqC-Q

View: https://youtu.be/nTIP54NojGE?si=LJEIVUgcnMWR_J4g
 
Vichwa vyetu kama una havina akili vinakuhusu nini?

Wewe hayo madhila unayaona leo tu? Sisi tunayaona moiaka 80 sasa.

Kuna kondoo yupi akaona kuwa watu wana akili?
Nawewe umekua Mpalestina kumbe
Pole 😂

Msio kuwa na akili mnatuhusu tuliokua na akili timamu kwasababu mnafanya dunia nzima inakua uwanja wa fujo kwa akili zenu mbovu

Na kama yaliofanyika Oct 7 ndio akili zenyewe za kuondoa madhila ya miaka 80 basi hongereni sana maana sasa pale Gaza mnaishi kama mpo akhera vile
 
Kwa hiyo kule kuuawa kote kwa Wapalesyina kwa miaka zaidi ya 75 hukuoni, unaona kofi moja tu la kulipiza kisasi?

Oktoba 7 ilikuwa ndiyo mwanzo wa mwisho wa mazaytuni kuikalia ardhi ya wapaletina, unajuwa wangapi wameshaikimbia mpaka sasa?
 
Wewe mama dini imekufanya uwe na akili kisoda sana, kwahiyo wewe hasara ya Mali na uhai unaiona kwa upande wa Izrael tu ila kwa magaidi wenzio hakuna hasara Wala hakuna waliokufa??

Mpaka tunavyoongea ushaambiwa kuijenga Gaza iludi kama ilivyokua inahitaji miaka350 (yesu ataludi atakuta Gaza bado haijajengwa😅)

Kwahiyo unapokaa kusherehekea vitu visivyokuepo usisahau hoja ndogo kama hiyo
Hiyo gaza inayolingana ukubwa na bagamoyo ilijengwa kwa miaka 350 daaaaa!!!
 
Kwa hiyo kule kuuawa kote kwa Wapalesyina kwa miaka zaidi ya 75 hukuoni, unaona kofi moja tu la kulipiza kisasi?

Oktoba 7 ilikuwa ndiyo mwanzo wa mwisho wa mazaytuni kuikalia ardhi ya wapaletina, unajuwa wangapi wameshaikimbia mpaka sasa?
I stand with Palestine kwenye kudai haki zao
Tatizo ni pale wanapo ongozwa na misimamo ya kiimani kudai haki zao

Dunia ya sasa ya sayansi na teknolojia ni UPUUZI kudhania mavitabu ya ancient world kama Bibilia na Quran yanaweza kukusaidia kupambana na dunia ya leo

We viongozi wote wameuwawa popote walipo, Gaza imekua vifusi, mamilioni watakufa, hawajui watakula wala kunywa nini kesho, kila siku wanahamiswa kama makondoo halafu eti unajigamba vifaru 25 kwa stori za mtu aliyejifungia chini ya handaki?
 
Hahaha umeandika uharo mtupu.. Israel hafichi vifo sababu lazima wazike..

Peleka Taqiyya msikiti Tv
Mh!, we usiwe kama Bungo ukitaka kulila mpaka ulitie Dole, kuzika ndo kunatoa taarifa rasmi juu ya idadi ya vifo!!?
 
Kuna habari fresh kuwa Hezbullah kikosi chake Radhwan wamewateka wanajeshi 13 wa Israel ni mmoja wao ni colonel. Nasikia malumbano.yapo huko kwenye cabinet ya Israel wazuie wasitangaze hio habari. Sisi tunasubiri official Hezbullah watangaze Allahu Akbariiii.
 
I stand with Palestine kwenye kudai haki zao
Tatizo ni pale wanapo ongozwa na misimamo ya kiimani kudai haki zao

Dunia ya sasa ya sayansi na teknolojia ni UPUUZI kudhania mavitabu ya ancient world kama Bibilia na Quran yanaweza kukusaidia kupambana na dunia ya leo

We viongozi wote wameuwawa popote walipo, Gaza imekua vifusi, mamilioni watakufa, hawajui watakula wala kunywa nini kesho, kila siku wanahamiswa kama makondoo halafu eti unajigamba vifaru 25 kwa stori za mtu aliyejifungia chini ya handaki?
Unafahamu kuwa wapo Wapalestina, wakristo., Waislam, wayahudi na wasio na dini?
 
Kama huu ndio ushindi basi hongera kwao?

Uzoefu unaonyesha kwamba kila Hamas nanwashirika wake wakianzisha mnyukano mwisho wa siku Israel ndio inaongeza wigo wa kuwakalia wapaleatina

Gaza will never be same again
Hamas labda wahamie Syria
Mlisema hivyo hivyo kuhusu Lebanon mwaka 2006 waliyajenga majumba kuliko yale kwa mda wa less than 2 years. Huko Gaza Qatar ataijenga kwa mda wa miaka miwili tu, we baki nawenzako eti miaka 350, sijui akili hizo ndio greater thinker au stupid thinker 😄

We kama unafikiria vita ni kushinda kwa kuvunja majumba huo ni ujinga wa mwisho. Kama unafikiria vita kufanya genocide huo ni ujinga wa mwisho. Tatizo nyie mnadhani mtabaki milele hamfi kufa kupo tu utake usitake hao wanao kufa kwenye genocide ungejua maisha wanayo yaishi sasa ungeyatamania na wewe.

We nenda katazame economy ya Israel kabla ya vita na sasa ndio utajua ipo kwenye halii gani. Hizi ni details ambazo bado kuna mengi wanaficha wapo kwenye recession-hizi details nimezitoa zinasema Labor shortages, inflation, mounting difficulties in agriculture and construction: One year after the Hamas attack on October 7, 2023, Israel is approaching a recession and seeing its budgetary leeway collapse hizi infomation zimetoka Oct 8, 2024.

We baki unakula ugali kwa kambale na wewe ukajianike juani mdomo wazi kama kambale, afu useme mimi sifi huku umeshika mic watu watakuona chizi tu 😄

Mungu awalaze mashuhuda Gaza wa Palestine mahali pema semeni amini.
 
Mkuu vita ni gharama hilo halina ubishi, ni ujinga kujifariji kwa misukosuko ya kiuchumi ya Israel badala ya kuangalia je tukio la Oct 7 linazaa matunda gani kwa upande wao au linazidi kufanya hali kuzidi kuwa mbaya kwao?
Hata Israel anao washirika kibao wa ku boost uchumi wake.

Sipo hapa kuitetea Israel nipo hapa kusema ukweli kwamba Hamas walifanya kosa kubwa kuvamia Oct 7 huku wakijua the outcome ya kila wanapo loanzisha varangati na Israel

Utakua unajidanganya sana kama utadhania Israel ita ruhusu tena Gaza kuwa kama ilivyokua...... hawezi tena kukubali ku risk kama yaliotokea Oct 7

Nakwenda kuiona Hamas na wapalestina wakizidi kupoteza aridhi na kuzidi kukaliwa kimabavu zaidi
Haya mambo hayajaanza juzi wala jana,
👇👇👇Historia inaongea
 
Attachments

  • 7ACD0FC6-AEED-4900-8D13-6BCFB8226575.jpeg
    7ACD0FC6-AEED-4900-8D13-6BCFB8226575.jpeg
    55 KB · Views: 2
Back
Top Bottom