Israel wamepoteza vifaru 32 ndani ya siku 25

Mateka walio achiwa hawajakombolewa bali walifanyiwa mabadilishano kitu ambacho ndo lilikuwa lengo la Hamas.
Sasa kama hamas hawatawali gaza wanajeshi wa Israel wanapigana na nani huko?
 
unajua thamani ya kichwa cha naslarah? mashehe ubwawa wote wa dar nzima mkikusanywa jumalisha na kichwa cha bibi ajuza bado hamkuti hata robo ya thamani ya kichwa chake
 
So what!! Viongozi wenu wametunguliwa wangapi?
 
Mateka walio achiwa hawajakombolewa bali walifanyiwa mabadilishano kitu ambacho ndo lilikuwa lengo la Hamas.
Sasa kama hamas hawatawali gaza wanajeshi wa Israel wanapigana na nani huko?
wanajeshi wa israel gaza sa ivi hawapigani bali wanafanya doria, hamas wanafanya mashambulizi ya kushtukiza na kukimbia kwenye mashimo kama panya, hamas wamegeuka panya watu, sasa hivi hawana tena uwezo wa kurusha makombora
 
hezbola wameshauliwa wangapi hadi sasa? kama tu viongozi wao washauliwa wote je vipi hao washika bunduki na kobasi?
 
Kabla ya kututajia mafanikio ebu tutajie malengo ya Israel kwenye uvamizi waje huko Lebanon.
Kumbuka piae mpaka sasa malengo ya vita ya gaza hajatimiza hata moja.
Huyo anasikiliza propoganda za Israel hakuna hata vyombo vya habari vimethibitisha anayo ongea.
 
Yani huyu bibi kizee ni wa kuleta habari chanzo kikiwa video ya U-tube!
Kweli wahuni wanazeeka.
 
Yani huyu bibi kizee ni wa kuleta habari chanzo kikiwa video ya U-tube!
Kweli wahuni wanazeeka.
Amesema na msemaji kwenye video amesema kwamba vyombo vya magharibi vinazuia hizo habari,
Na akasema kama sio censor ya you tube angeweka video zaidi,

So sababu zina mashiko na hatuna budi kuamini coz vita ni mbinu na propaganda nyingi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…