Israel wametuma ujumbe EU kwa Hezbollah kuomba kusitishwa kwa mapigano' Hezbollah wamekataa

Israel wametuma ujumbe EU kwa Hezbollah kuomba kusitishwa kwa mapigano' Hezbollah wamekataa

HEZBOLLAH kawambia tuone majeshi yenu Gaza ndiyo mje kuongea na sisi zaidi ya hapo hii vita itakuwa ndefu mno.
Netanyahu na yule Waziri wake ana sura kana anakunya mikwala mingi kumbe wanapita kwa nyuma kuomba EU wambembeleza Hezbollah wakae meza moja waongee wanataka nini waache vita.
 

Attachments

  • 20240102_225931.png
    20240102_225931.png
    121 KB · Views: 5
Israel hii vita kajichafua sana na anazidi kupoteza ushawishi kila kukicha.

West walivyokuwa wajinga bado wana fikra ya kuwa dunia bado inawasikiliza kumbe dunia imeshabadilika.

Wamemtuma rais wa EU Hizbullah ili itulie katolewa nje. Nasikia imetumwa Ufaransa sasa kwa vile Lebanon ilikuwa ni koloni lake nasikia naye Mfansa katolewa nje.

Israel kinguvu ya kijeshi bado sana kupigana hawawezi. Wakipigana na Hizbullah watachapika vibaya! Na ninavyowajua wayahudi wataikimbia nchi ile!

Vita tu hii na Hamas takribani wanajeshi 3000 wa Israel wamepata matatizo ya afya ya akili. Na eneo lenyewe ni Gaza.

Israel kwa usalama wake ni lazima akubali kushindwa hii vita. Hali ni mbaya zaidi.
 

Attachments

  • 20240102_225214.jpg
    20240102_225214.jpg
    103 KB · Views: 5
Hamas wamemchosha vya kutosha ambao Hawana hata kifaru,,, Hezbollah ameingia kati,,,kesho sijui nani atafuata.ukumbuke kule waouth wanafunga njia.
 

Attachments

  • 20231214_160210.jpg
    20231214_160210.jpg
    403.3 KB · Views: 5
Israeli Newspaper Yedioth Ahronot:

Although the Israeli army spent $59.3 billion on attacks on the Gaza Strip, it still failed to achieve its goals.
 
🚨BREAKING: IRAN YAJIBU SIRI YA OFA YA AMANI YA Marekani

Iran imethibitisha kupokea pendekezo la siri la Marekani la amani ya kikanda, lililotolewa na Saudi Arabia, likilenga kutopanua vita, pamoja na amani katika eneo hilo.

Jibu la Iran: sio vita vyetu.

Iran ilisisitiza kwamba washirika katika kanda, kama vile Hamas, Hezbollah na Houthis, wana uhuru wa kujiamulia wenyewe.

Chanzo: Al Jazeera
 
Tena bado sana, mpaka Golan Heights irudi
Syria nao waliamshe tu
Yaani safari hii myahudi hawamtaki kila mahali ni cancer inayotapakaa kila mahali
🇺🇸 hawawataki wameambiwa kwao ndio hapo na Israel ikawaita kuja kuwadhulumu ardhi wakazi wa hapo
Sasa wanaikimbia tena ardhi waliyoichukua kibabe mpaka kukata na miti ya Olives yote
Wameuwa miaka na miaka ila leo pamekuwa pachungu
Kuna vijana humu wamedandia ya juzi tu Hamas, ila Israel ameuwa miaka
Kwani ni Mara ya Kwanza 2006 Hao Lebanon mbona yaliwakuta kama ya Hamas, wanajua sana kitakacho wapata
 
Kwani ni Mara ya Kwanza 2006 Hao Lebanon mbona yaliwakuta kama ya Hamas, wanajua sana kitakacho wapata
Kwani hamas kimewakutana nini kijana mbona mnaimba imba sana ili kuficha madhaifu ya israhell
Tokea october mpaka sasa hamas wanakamatia zaidi ya mateka 100 wa magaidi na hawawaachi mpaka waondoke ghaza
 
Back
Top Bottom