HEZBOLLAH kawambia tuone majeshi yenu Gaza ndiyo mje kuongea na sisi zaidi ya hapo hii vita itakuwa ndefu mno.
Netanyahu na yule Waziri wake ana sura kana anakunya mikwala mingi kumbe wanapita kwa nyuma kuomba EU wambembeleza Hezbollah wakae meza moja waongee wanataka nini waache vita.
Israel hii vita kajichafua sana na anazidi kupoteza ushawishi kila kukicha.
West walivyokuwa wajinga bado wana fikra ya kuwa dunia bado inawasikiliza kumbe dunia imeshabadilika.
Wamemtuma rais wa EU Hizbullah ili itulie katolewa nje. Nasikia imetumwa Ufaransa sasa kwa vile Lebanon ilikuwa ni koloni lake nasikia naye Mfansa katolewa nje.
Israel kinguvu ya kijeshi bado sana kupigana hawawezi. Wakipigana na Hizbullah watachapika vibaya! Na ninavyowajua wayahudi wataikimbia nchi ile!
Vita tu hii na Hamas takribani wanajeshi 3000 wa Israel wamepata matatizo ya afya ya akili. Na eneo lenyewe ni Gaza.
Israel kwa usalama wake ni lazima akubali kushindwa hii vita. Hali ni mbaya zaidi.
Hamas wamemchosha vya kutosha ambao Hawana hata kifaru,,, Hezbollah ameingia kati,,,kesho sijui nani atafuata.ukumbuke kule waouth wanafunga njia.
Kwani ni Mara ya Kwanza 2006 Hao Lebanon mbona yaliwakuta kama ya Hamas, wanajua sana kitakacho wapataTena bado sana, mpaka Golan Heights irudi
Syria nao waliamshe tu
Yaani safari hii myahudi hawamtaki kila mahali ni cancer inayotapakaa kila mahali
🇺🇸 hawawataki wameambiwa kwao ndio hapo na Israel ikawaita kuja kuwadhulumu ardhi wakazi wa hapo
Sasa wanaikimbia tena ardhi waliyoichukua kibabe mpaka kukata na miti ya Olives yote
Wameuwa miaka na miaka ila leo pamekuwa pachungu
Kuna vijana humu wamedandia ya juzi tu Hamas, ila Israel ameuwa miaka
Kwani hamas kimewakutana nini kijana mbona mnaimba imba sana ili kuficha madhaifu ya israhellKwani ni Mara ya Kwanza 2006 Hao Lebanon mbona yaliwakuta kama ya Hamas, wanajua sana kitakacho wapata