Israel wana mizinga yenye uwezo wa kuifuta Gaza kwa dakika mbili tu

Mleta mada unataka kututhibitishia kweli una tatizo la afya ya akili
 
Kuna muda na panic kutokana na maneno ya watu yanayoudhi ila najitahidi kwa sasa pia nimeona kubishana na mjinga ni kujipotezea muda
 
Mkuu hayo makombora mbona yapo mengi tu. Mbona Russia hajafanya hivyo kwa Ukraine maana anayo can say most powerfull kuliko ya Israel.

Jambo moja for sure Israel anafanya kwa makusudi na sio kusingizia Hamas. Lengo ni kuifuta palestina na wapalestina kwa ujumla wake na anafanya kwa kuuua kiazazi kichanga zaidi na hii haikubaliki kwenye uwanja wowote wa kivita ni mauaji ya halaiki.
 
Jazba,chuki na matusi hazitakusaidia kuitangaza dini yako.Sana sana unatudhihirishia nyie ni watu wa aina gani.
Usiombe ukapata kichapo kama wanachopata wafuasi wa Muddy. Kule Gaza kumechakazwa na Sasa wameanza kudonolewa mmoja baada ya mwingine kule Lebanon, Iran na Yemen!

Msamehe amechanganyikiwa kwa kutelekezwa na Allah wao
 
Ishmael na Isaka ni ndugu ila baraka za Mungu alipewa zaidi mmoja kati yao.

Wapo watakaofutika kwenye sura ya nchi
Mama Isaka na Ismail jina nilipewa na Najma wakati nasilimishwa.
Sina ugomvi na upande wowote.
Nakubali dini yoyote
 
Acha porojo kinawashinda nini mpaka sahizi... utumwa wa fikra utamuangamiza muafrika
 
Unaakisi dini yako wee punga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah
Kuna watu wanayataka makusudi kupewa za ugoko
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah
Kuna watu wanayataka makusudi kupewa za ugoko
Nilichogundua jamaa ni shoga anatafuta basha kwa nguvu kaja DM nimemwambia mimi na mashoga mbali mbali sifanyi hizo issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…