Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Israhell sio ghaza tu israhell wana mzigo wa kuifuta dunia nzima ndani ya sekunde moja ila ukachagua nchi zakubakia zinazotakiwa na huo mzinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChaiIsrael huko Gaza wanapigana kwa kuRestrain. Hawalengi kila mtu na kila kitu kama wanavyafanya Hamas. Wangeshambulia kila kitu Sasa hivi Gaza ingekuwa majivu. Hao wanawake na watoto wanaokufa Gaza wanakuwa kwenye maeneo yenye miundombinu lengwa pamoja na magaidi 🤔
Nafurahi bakora zimeingia🤣Hahahahahaha gaidi limechafukwa
Mashoga peke yao ndiyo wanaeza kuamini huu uharo wako mbichi.Israel huko Gaza wanapigana kwa kuRestrain. Hawalengi kila mtu na kila kitu kama wanavyafanya Hamas. Wangeshambulia kila kitu Sasa hivi Gaza ingekuwa majivu. Hao wanawake na watoto wanaokufa Gaza wanakuwa kwenye maeneo yenye miundombinu lengwa pamoja na magaidi 🤔
Mkuu hayo makombora mbona yapo mengi tu. Mbona Russia hajafanya hivyo kwa Ukraine maana anayo can say most powerfull kuliko ya Israel.
Jambo moja for sure Israel anafanya kwa makusudi na sio kusingizia Hamas. Lengo ni kuifuta palestina na wapalestina kwa ujumla wake na anafanya kwa kuuua kiazazi kichanga zaidi na hii haikubaliki kwenye uwanja wowote wa kivita ni mauaji ya halaiki.
Inaelekea hujasoma charter ya LIKUD party wewe.
Hujui kuwa wenzako wanaquote BIBLIA kwenye kisa cha Amalek ili kujstify genocide wanayoifanya huko Gaza?, kwamba waue watoto, wanawake, wazee, na kila kitu kilicho hai?
Christian extremist wewe una shida sana!
Why hawautumia mpaka wamekula hasaraIfahamike Israel imekua ikitengeneza na kuuza mizinga ya kisasa yenye uwezo wa maangamizi makubwa sana na pia uwezo wa kusafiri masafa marefu ikiwemo ICBM.
Sasa hapo Gaza wamekumbwa na changamoto ambayo haijawahi kutokea duniani, inapigana na adui aliyejificha nyuma ya watoto na akina mama, yaani jamaa wanafyatua kombora wakiwa kwenye maeneo ya watoto, kisha wanakimbia na kukaa mbali na kamera, kombora lao linapanguliwa na mifumo ya Israel yenye uwezo pia wa kun'ghamua wapi kombora limetokea, wanajibu na kupiga hapo mahali, HAMAS na kamera zao wanachukua tukio la watoto kufumuliwa kisha wanarusha kwenye mitandao ya kijamii.....hapo dunia hususan wenzetu wa kubwatuka akbar akbar hawashikiki kwa hamaki
===============
Israel manufactures and deploys technologically sophisticated and diverse ballistic missile, cruise missile, and missile defense systems. 1 Several overarching themes characterize Israel’s missile program. First, Israel’s strategy of maintaining a “qualitative military edge” over potential adversaries motivated the country to rapidly develop one of the region’s most capable missile production infrastructures, and to deploy the region’s most advanced missile systems.
2 Second, Israel’s space program provides an additional venue for advanced ballistics science and rocketry engineering, and has collaborated technologically with Israel’s missile community. 3 Third, Israel has often offset the high costs of developing and maintaining a superior missile capability both by entering into international development collaborations and by exporting and licensing its missile technology.
4 Finally, Israel has developed a layered and multi-faceted portfolio of both offensive and defensive missile programs to address the aerial threats posed by a diverse set of both state and non-state actors, operating from different geographic locations and equipped with different types of weaponry.
![]()
Israel Missile Overview
Overview of Israel's missile capabilities and nonproliferation activitieswww.nti.org
Imeelezwa hiyo dini itaenezwa kwa upanga..Jazba,chuki na matusi hazitakusaidia kuitangaza dini yako.Sana sana unatudhihirishia nyie ni watu wa aina gani.
Sawa....Ifahamike Israel imekua ikitengeneza na kuuza mizinga ya kisasa yenye uwezo wa maangamizi makubwa sana na pia uwezo wa kusafiri masafa marefu ikiwemo ICBM.
Sasa hapo Gaza wamekumbwa na changamoto ambayo haijawahi kutokea duniani, inapigana na adui aliyejificha nyuma ya watoto na akina mama, yaani jamaa wanafyatua kombora wakiwa kwenye maeneo ya watoto, kisha wanakimbia na kukaa mbali na kamera, kombora lao linapanguliwa na mifumo ya Israel yenye uwezo pia wa kun'ghamua wapi kombora limetokea, wanajibu na kupiga hapo mahali, HAMAS na kamera zao wanachukua tukio la watoto kufumuliwa kisha wanarusha kwenye mitandao ya kijamii.....hapo dunia hususan wenzetu wa kubwatuka akbar akbar hawashikiki kwa hamaki
===============
Israel manufactures and deploys technologically sophisticated and diverse ballistic missile, cruise missile, and missile defense systems. 1 Several overarching themes characterize Israel’s missile program. First, Israel’s strategy of maintaining a “qualitative military edge” over potential adversaries motivated the country to rapidly develop one of the region’s most capable missile production infrastructures, and to deploy the region’s most advanced missile systems.
2 Second, Israel’s space program provides an additional venue for advanced ballistics science and rocketry engineering, and has collaborated technologically with Israel’s missile community. 3 Third, Israel has often offset the high costs of developing and maintaining a superior missile capability both by entering into international development collaborations and by exporting and licensing its missile technology.
4 Finally, Israel has developed a layered and multi-faceted portfolio of both offensive and defensive missile programs to address the aerial threats posed by a diverse set of both state and non-state actors, operating from different geographic locations and equipped with different types of weaponry.
![]()
Israel Missile Overview
Overview of Israel's missile capabilities and nonproliferation activitieswww.nti.org
Sasa inasubiri nn mpaka saiv???Ifahamike Israel imekua ikitengeneza na kuuza mizinga ya kisasa yenye uwezo wa maangamizi makubwa sana na pia uwezo wa kusafiri masafa marefu ikiwemo ICBM.

Nani awape?Sawa....
Ebu HAMAS au PLO nawo wapewe silaha kama hizo au kuruhusiwa kuwa na mizinga, makombora nk nk...
TUONE KAMA TAIFA TEULE LITAKUWEPO?!
AsanteNapita tu!
Wewe shoga kweli mimi sipo hapa kutangaza dini kama unataka mijadala ya kidini nenda jukwaa la dini usiniletee ushoga wako pia dini ya Kiislam inajitangaza yenyewe haimuitaji mtu watu ndiyo wanahitaji dini umesiikia wewe punguani ukiija kwenye post zangu njoo hoja iliyopo siyo maswala ya dini wewe mbona upo na dini yako ya mashoga kufunga ndoa Kanisani kuna mtu amekuambia ukaitangaze?
Hata mm huwa siwavumilii hawa mashoga wakileta ufala huwa nawapelekea moto.
Yaani majitu kazi kushinda humu kutukana waisilam yakijibiwa yana kimbilia kwa mod kujiliza liza .
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Muulize babu yako yupo wapi hivi sasa? Si ashaoza na kashaliwa na mafunza?