Israel wana mizinga yenye uwezo wa kuifuta Gaza kwa dakika mbili tu

Israhell sio ghaza tu israhell wana mzigo wa kuifuta dunia nzima ndani ya sekunde moja ila ukachagua nchi zakubakia zinazotakiwa na huo mzinga
 
Israel huko Gaza wanapigana kwa kuRestrain. Hawalengi kila mtu na kila kitu kama wanavyafanya Hamas. Wangeshambulia kila kitu Sasa hivi Gaza ingekuwa majivu. Hao wanawake na watoto wanaokufa Gaza wanakuwa kwenye maeneo yenye miundombinu lengwa pamoja na magaidi 🤔
 
All these capabilities you mentioned won't help Israel fight Palestinians/Hamas if you wish. Apartheid regime of South Africa was military extremely powerful. But wisdom came in and now they're all enjoying the peace . Oppressors and the oppressed living side by side. God bless South Africa and the now rainbow nation.
I wish same wisdom could come over Jews nd Palestinians. Israel shall never know peace as long as they oppress Palestinians.
 
Chai
 
Mashoga peke yao ndiyo wanaeza kuamini huu uharo wako mbichi.
Ungekuwa n watoto na kuona ule unyama wanafanyiwa usingeandika huu uharo wako mashoga wengi hawana watoto ndiyo maana.

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1743550469891629520?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 

Russia ametumia makombora yote yakiwemo hata hypersonic, ni ile tu yamekua yakipigwa chini, nyuklia tu ndio hajatumia amaana anajua siku akitumia atafutwa kwenye uso wa dunia.
Lakini kwa hawa mazombi wenu, wenyewe kwanza hawana chochote cha kutungua kombora lolote, wamejificha ndani ya akina mama na watoto, Israel wana uwezo wa kufanya kitu kinachoitwa carpet bombing ambayo inaweza ikafuta Gaza ndani ya dakika mbili.
 

Israel wangetumia hizo quotes unazoonga kuhusu wangeifuta HAMAS ndani ya dakika mbili maana uwezo huo wanao, ila nyie uwezo hamuna na mnapenda kuanzisha chokochoko mkipgwa mnalia.
 
Why hawautumia mpaka wamekula hasara
 
Sawa....
Ebu HAMAS au PLO nawo wapewe silaha kama hizo au kuruhusiwa kuwa na mizinga, makombora nk nk...
TUONE KAMA TAIFA TEULE LITAKUWEPO?!
 
Sasa inasubiri nn mpaka saiv???
 
Sawa....
Ebu HAMAS au PLO nawo wapewe silaha kama hizo au kuruhusiwa kuwa na mizinga, makombora nk nk...
TUONE KAMA TAIFA TEULE LITAKUWEPO?!

Hamuwezi kuwa nazo maana nyie kwenu huko hamjui chochote zaidi ya kuvaa mikanzu tu....
 

Inajitangaza Kwa ugaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…