Israel wanaomba Mateka waachiwe Gaza. waondoe majeshi yao na viongizi wa Hamas waende uhamishoni

Wakikubali kwenda uhamishoni hawataruhusiwa tena kurejea Gaza miaka ijayo.
Hamas wana pambana kupata taifa lao Israel kila Muisrael ambaye yupo nje ya Israel anaruhusiwa kurudi Israel na kuishi lakini hawataki Wapestina walikuwa nje ya Palestina warudi kwao huu si upuuz. Hamas leo kafanya watu duniani wameajua vizuri Mazayuni na kesi imeanza huko wameitwa kutoa ushahidi wao.
 
Taarifa ya mwisho ya Afrika Kusini:

-Kila siku, Wapalestina 247 wanauawa, 1 kila dakika 6

-Kina mama 48, 2 kila saa

-Watoto 117, 5 kila saa

-Kila siku, watoto 10 watakatwa bila dawa ya ganzi

-Wakili wa Ireland, Blinne Ni Ghralaigh
 
Turkey’s anti-Mossad operation 'seriously surprised' Israel, Erdogan boasts

presstv.ir/Detail/2024/01…
 
 
Habari zako unatoa wapi ww ACHA ushushu fanya citation hapa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…