Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #41
Hamas wana pambana kupata taifa lao Israel kila Muisrael ambaye yupo nje ya Israel anaruhusiwa kurudi Israel na kuishi lakini hawataki Wapestina walikuwa nje ya Palestina warudi kwao huu si upuuz. Hamas leo kafanya watu duniani wameajua vizuri Mazayuni na kesi imeanza huko wameitwa kutoa ushahidi wao.Wakikubali kwenda uhamishoni hawataruhusiwa tena kurejea Gaza miaka ijayo.