Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

Kumbe najadiliana na mwehu
 

Naomba uweke hapa amri za Mungu alizopewa Musa Kwa Mujibu wa Quran tumalize mjadala
 
Yesu alikua muislam
Kutoka kwa Yesu: “Basi, akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akasali:” (Biblia, Mathayo 26:39)

Kutoka kwa Musa: “Kisha Musa akainama mbio kuelekea chini na kusali” (Kutoka 34:8 Biblia)

Kutoka kwa Musa na Haruni: “Musa na Haruni wakaenda kutoka katika Kanisa mbele ya mlango wa hema na wakapiga nyuso zao chini” (Biblia, kitabu cha Hesabu 20:06)

Kutoka kwa Ibrahimu: “Kisha Ibrahimu akaanguka chini kwenye uso wake ...” (Biblia, Mwanzo 17:03)

Kutoka kwa Yoshua: “Kisha Yoshua akaanguka chini kwenye ardhi juu ya uso wake na akainama ...” (Yoshua 5:14 Biblia)
 
Ndio maana ni kakwambia kama wewe hujasoma uislamu yaani unakurupuka
5:3 Quran Allah anasemaje hem pitia huko usipende kubishana kwa mambo usio yajua

Weka hiyo reference hapa ili kila mtu asome. Usiwape kazi Watu ambao umeianzisha mwenyewe.
 
Au yeye ndie alikua gaidi akishirikiana na makafiri wenzie!
Kwa nn hamumuuwi Hakimi au Ziech wachezaji wa Morocco wanaocheza Ulaya kwa kushirikiana na makafiri? Mambo mengine niyakipumbavu beyond compare. Au Mo Salah nae makafiri ya Uingereza yamuuwe au mumuuwe nyie sababu anashirikiana na makafiri? Kuna wakati nafurahia sana anachofanya Israel ghaza Mungu wangu wa mbinguni anisamehe tu...! Majitu yalimuuwa Joshua huku yanaimba sijui Allahu nyo.ko nyo.ko sijui Akbar
 
Muislam akifa au akimua mkiristo au yahudi wakati anapigania ardhi au Mali yake huyo mtu wa peponi tena ktk pepo ya juu kabisa. Lkn mkiristo akifa na ukiristo wake huyo motoni kabisa
Ushuzi plus uharo mdini mkubwa weweee ushuzi mtupuuu.
 

Hakimi na ziyech plus Salah hao ni ndugu zetu, ila sio hao makafiri wa kizayuni, biden na makafiri wenzie
 
Hakimi na ziyech plus Salah hao ni ndugu zetu, ila sio hao makafiri wa kizayuni, biden na makafiri wenzie
Kwa hiyo Joshua aliuwawa sababu ya ukafiri wake? Kama ni yes hii ADHABU ilitolewa kwa utashi wa MUUMBA WA JOSHUA?
 

Marekani ya huyu raia mwenye kujua al-Sisi ni rais wa Mexico?

'My memory is fine' - Biden hits back at special counsel
 
Unaamini hadith za kitoto kama hizo kamanda daaa
Kabla ya Mwaka 600 AD kulikukua hakuna Dini wala Imani inaitwa ISLAM
Acha ungumbaru wewe
Je na Wakristo wakisema walikuwepo kabla ya Kristo Bwana Yesu si itakua kituko cha alhamis jioni ewe Ngumbaru plus?
😁😁
 
Kwa hiyo Joshua aliuwawa sababu ya ukafiri wake? Kama ni yes hii ADHABU ilitolewa kwa utashi wa MUUMBA WA JOSHUA?

Una uhakika gani ameuawa na Hamas? Naomba ushahidi!

Pili, kama nikweli ameuawa na hamas, basi hamas sio wajinga wauwe mtu asieshirikiana na mazayuni! So wapo sahihi kabisaa, hata wewe ukijipeleka kwenda kuwasaidia hao ndugu zako basi hamas yupo sahihi kukumaliza, tena bila huruma.
 
Aaaaaiiiseeee! Ngoja ninyamaze. Jioni njema sheikh
 
Udini
 
Naomba uweke hapa amri za Mungu alizopewa Musa Kwa Mujibu wa Quran tumalize mjadala
Ndio maana nakwambia hujui mambo halaf unasema sisi hatujui wakat wewe ndio hujui
Mussa hakupewa amri kwa mujibu wa Quran Mussa alipewa amri kwa mujibu wa vitabu alivyopewa
Ila Allah kawataja kwenye Quran kua ni manabii walomtangulia mtume Muhammad s.a.w
Ukitaka amri za Nabii mussa unazipata kwenye vitabu alivyoshushiwa yeye
Kama unavyopata amri alizopewa Muhammad s.a.w kwenye Quran kama hutaelewa na hapa sidhanii kama utaelewa tena
Yaani nikama unataka mtoto wa chekechea akupe formula fulani wakati kwenye kitabu ama vitabu vyao havimo
 

Unajua Musa anavitabu vingapi?
 
Weka hiyo reference hapa ili kila mtu asome. Usiwape kazi Watu ambao umeianzisha mwenyewe.
Umetaka reference nimekupa kuipitia uisome sasa hio ni kazi yako
Ningekua sijakupa ungesema kama sijakupa reference 😀
Ila kama ntatulia ntaileta kwa faida yako unaesema sisi hatuujui uislam ila wewe unaujua eti
 
Umetaka reference nimekupa kuipitia uisome sasa hio ni kazi yako
Ningekua sijakupa ungesema kama sijakupa reference 😀
Ila kama ntatulia ntaileta kwa faida yako unaesema sisi hatuujui uislam ila wewe unaujua eti

Kwa uelewa wako Torati ni nini kama muda hakupewa Amri na sheria na Mungu wake(Yàhweh)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…