Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

Narudia tena nilipinagana na wewe uliposema kwamba uislamu hispania uliingia ama umeingia kwa imigaration tokea moroko

Ndipo nikakwambia kama uislamu Spain ulikuepo karne tisa nyuma
Niambie wewe baada ya dola ya kiislamu kuangushwa pale Spain kulikuwa na uislamu baada ya hapo?
 
Unakubali kuwa waislamu wengi waliopo Spain ni wahamiaji sawa hili tumelimaliza
Kuja sehemu niliwahi kata hili kwani kabla?
Mie hua siongelei ushabiki mzee naongelea uhalisia ama jambo nnavyolijua
 
Niambie wewe baada ya dola ya kiislamu kuangushwa pale Spain kulikuwa na uislamu baada ya hapo?
Hata leo ni baada ya hapo hili mbona lipo wazi angalia population ya Spain angalia dini yenye wafuasi wengi hili mbona lipo wazi
Au mpaka niandike jibu ndio utaridhika mzee?
 
Hoja ya pili ulidanganya kwamba miji ya mpakani na moroko kwamba ndio una wafuasi wengi wa uislamu hoja ambayo umedanganya sababu miji yenye waislam wengi zaidi pale spain ni minne na ambayo haipo huko ulipotaka kudanganya watu kama ulivyosema miji yenyewe Katalunya Andalusia Valencia na Madrid
Screenshot_20240210-232212.png
 
Miji ulosema kama ina population nyingi za waislamu ipo mpakani na moroko ni mji upi na upi?
Halafu hio source uloileta moja haijasema kama waislamu wengi wapo huko ulipotaja
Mbili hio source yenyewe mwisho huko imejitanabahisha kwakusema un official source bado una imani na hii source yako mkuu? 🤔
 
Kwanza uangalie kwa umakini unajibu koment za nani

Hakuja sehemu niliongelea suala la waislamu kwa waislamu kupigana spain usinilishe maneno nisio yasema

Pili suala la kodi dunia nzima ni kawaida inategemea limeekwa katika mfumo gani yaani hakuna sehemu ambayo utaenda duniani hakuna mfumo wa kodi

Leo hii mfano wakulima wa ulaya tu wanalalamika kwamba wameondolewa ruzuku kwenye mazao nk

Watu huko spain hawakurudi kwenye dini zao kama unavyodai na wala hawakulazimishwa kama unavyodai wewe hapa

Inajulikana kama baada ya kuanguka khilafa pale spain ilipitishwa sheria kwamba uislamu ama kua muislamu marufuku na ukikaidi ungeweza hata kuuliwa (ulitegemea kwenye sheria kama hii watu wangebakia kwenye uislamu sasa kodi ambayo unasema ili fanya watu Spain kua waislamu na hii sheria iloekwa kuufuta uislamu ipi ililazimisha watu kuhama na kuhamia dini kinguvu)

Mfumo wa khilafa uliotawala Spain ulikua bora kabisa na ndio umeijengea system ama mfumo bora unaoiona kwenye spain ya leo

Sababu hata history inaonesha kwamba hospital ama upasuaji wakwanza pale ulaya ulifanywa uhispania kwenye dola la kiislamu
Nime trace back comment nimebaini sio yako ni ya muislamu mwenzako.

Mfumo wa kodi ambao una work out fairness kwa waisilamu ila wasio waislamu unawaumiza?

Fuatilia vizuri historia

Historia inataja kuwa baada ya Spain kurudisha utawala wa kirumi na Ukatoliki kutambulika kama dini rasmi.

Waislamu waliruhusiwa wabakie kuwa waislamu lakini walio wengi walioukataa.

Baadaye ndio ikaja Spanish inquisition baada ya kanisa kuingia woga kuhofia dola ya Kirumi kuweza kuangushwa tena kupitia mgongo wa dini.

Hapo ndio watu walianza kulazimishwa kubadilisha dini kwa nguvu.

Mfumo wa kihalifa ulikuwa bora kwasababu ya surgery ya Al Zahrawi??

Hiyo sidhani kama ni hoja ya msingi ya kufanya uislamu uonekane special.

By the way nakubali mchango wa waarabu na wasomi wote wa kiislamu katika tasnia ya sayansi ila siamini kama mchango wao wa kitaalamu katika jamii umekuwa facilitated na dini.

Ukifanya hiyo kuwa hoja basi ukitafuta records utaona karne za nyuma wanasayansi wengi walitoka kwenye nchi ambazo zipo governed na dola ya kirumi.
 
Miji ulosema kama ina population nyingi za waislamu ipo mpakani na moroko ni mji upi na upi?
Halafu hio source uloileta moja haijasema kama waislamu wengi wapo huko ulipotaja
Mbili hio source yenyewe mwisho huko imejitanabahisha kwakusema un official source bado una imani na hii source yako mkuu? 🤔
Michoro isiyo rasmi ya majedwali sio kanusho la kubatilisha takwimu
 
Nime trace back comment nimebaini sio yako ni ya muislamu mwenzako.

Mfumo wa kodi ambao una work out fairness kwa waisilamu ila wasio waislamu unawaumiza?

Fuatilia vizuri historia

Historia inataja kuwa baada ya Spain kurudisha utawala wa kirumi na Ukatoliki kutambulika kama dini rasmi.

Waislamu waliruhusiwa wabakie kuwa waislamu lakini walio wengi walioukataa.

Baadaye ndio ikaja Spanish inquisition baada ya kanisa kuingia woga kuhofia dola ya Kirumi kuweza kuangushwa tena kupitia mgongo wa dini.

Hapo ndio watu walianza kulazimishwa kubadilisha dini kwa nguvu.

Mfumo wa kihalifa ulikuwa bora kwasababu ya surgery ya Al Zahrawi??

Hiyo sidhani kama ni hoja ya msingi ya kufanya uislamu uonekane special.

By the way nakubali mchango wa waarabu na wasomi wote wa kiislamu katika tasnia ya sayansi ila siamini kama mchango wao wa kitaalamu katika jamii umekuwa facilitated na dini.

Ukifanya hiyo kuwa hoja basi ukitafuta records utaona karne za nyuma wanasayansi wengi walitoka kwenye nchi ambazo zipo governed na dola ya kirumi.
Mfumo wa kodi upo kwa mujibu wa sheria za sehemu husika ambayo ipo undee islamic law una tatizo gani

Mbona leo hii marekani wameeka sheria kama huwezi kua rais mpaka ufikishe miaka 35 huu sio ubaguzi kwa watu waliochini ya miaka 35 ila kwakua katiba imesema inatakiwa ifuatwe na inafutwa kweli

Wewe ndio ufuatilie vyema punde baada ya kuanguka utawala wa kikhalifa pale spain uislamu ulipigwa marufuku kabisa pale labda ulikuja ruhusiwa baada ya miaka kupita wakati huu tayari washawalazimisha waliokua waislam kuachana na uislamu wao ulitegemea hapa tena uislamu uwe kama ulivyokua wakat wa khalifa?

Utawala wa khalifa haukua bora kwa sababu hio tu ulikua bora kwa sababu nyingi sana nilizitaja kule juu ulijenga miundo mbinu mingi ambayo ndio ulijenga msingi wa spain ya leo unayoiona pale

Uislamu na waislamu umechangia pakubwa saana hayo mambo sababu kwa kiasi kikubwa sehemu za zamani zilikua zinafungamanisha siasa na dini kila walipo tawala waislamu
 
Michoro isiyo rasmi ya majedwali sio kanusho la kubatilisha takwimu
Sijakanusha takwimu nimekuuliza tu kwa sababu maalum

Au basi nitajie miji mikubwa katika Spain

Sasa unashangaaje waislamu kujaa Madrid valencia wakati hio ndio miongoni mwa miji mikubwa na mikuu pale Spanish ambayo ndio ina harakati nyingi za kimaisha na kiuchumi

Na duniani karibu kote lazima ukute eidha miji mikuu ama miji mikubwa ndio ina uwingi wa watu na fursa kwahio waislamu kujaa miji hio sio sababu ipo mpakani na moroko ila ni kwa sababu ya fursa za kiuchumi nk nk
 
Miji ipi na ipi ambayo ipo mpakani mwa moroko na spain ambayo ina host population kubwa ya waislamu bado hujataja mzee?
Sasa hii unataka kuifanya ligi..

Nimekuwekea hapo source inayoonesha idadi kubwa ya waisilamu kwa asilimia kupitia population ya mji

Bado unarudia kuuliza kitu kile kile
 
Mfumo wa kodi upo kwa mujibu wa sheria za sehemu husika ambayo ipo undee islamic law una tatizo gani

Mbona leo hii marekani wameeka sheria kama huwezi kua rais mpaka ufikishe miaka 35 huu sio ubaguzi kwa watu waliochini ya miaka 35 ila kwakua katiba imesema inatakiwa ifuatwe na inafutwa kweli

Wewe ndio ufuatilie vyema punde baada ya kuanguka utawala wa kikhalifa pale spain uislamu ulipigwa marufuku kabisa pale labda ulikuja ruhusiwa baada ya miaka kupita wakati huu tayari washawalazimisha waliokua waislam kuachana na uislamu wao ulitegemea hapa tena uislamu uwe kama ulivyokua wakat wa khalifa?

Utawala wa khalifa haukua bora kwa sababu hio tu ulikua bora kwa sababu nyingi sana nilizitaja kule juu ulijenga miundo mbinu mingi ambayo ndio ulijenga msingi wa spain ya leo unayoiona pale

Uislamu na waislamu umechangia pakubwa saana hayo mambo sababu kwa kiasi kikubwa sehemu za zamani zilikua zinafungamanisha siasa na dini kila walipo tawala waislamu
Ukiweka Islamic law mahala ambapo kuna mchanganyiko wa watu wenye dini nyingine maana yake ili hao wasio waislamu waweze kwenda na huo mfumo inabidi nao wawe waisilamu.

Hiyo ndio conversion ya indirect. Watu watalazimika kusilimu kwa lengo la kufuata unafuu.

Hata huko magerezani kwemye hizo nchi ambazo zina majority ya waisilamu wengi, wafungwa ambao sio waislamu hawapati treatment sawa na waislamu.

Kilichopigwa marufuku ni wale interraction ya waislamu kutoka mataifa ya mbali ambayo yalikuja kuvamia.

Lakini waislamu wenye asili ya Spain waliishi miaka mingi kwa uhuru wa kuabudu dini yao mpaka pale Kanisa lilipoanza kuhisi kitisho cha kuvamiwa tena ndio ikabidi warumie force wakiamini ndio njia ya kuziba mianya ya wavamizi
 
Dini ya muarabu hio yako au yakwenu ila nakukumbusha uislamu ndio dini sahihi
Muarabu azaliwe juzi na kukuta dini za watu, yeye abuni yake na kuita ndio sahihi...
 
Kama walikubali kubakwa huoni mababu zetu ndio waliokuwa na shida

Waafrika wanabakwa hadi leo, soma taarifa za Waafrika wanavyoteswa na hawa waarabu huko Uarabuni. Waafrika bado wanapelekwa utumwani Uarabuni kwenye zama hizi.
 
Kwa kweli kiaina hata mimi nimeanza kupata kaukakasi fulani, jameni mpaka sasa sidhani kama kuna yeyote hajapata adabu yake pale Gaza, hata hao HAMAS kama kuna siku nyingine wataichokoza Israel nitawakubali kweli ni ving'ang'anizi.

Watu wa Gaza wameteseka vya kutosha, wamepigika na kubamizwa mpaka basi tu. Itoshe sasa, Israel wakubali kuingia kwenye mazungumzo.

============

Israel’s military response in the Gaza Strip to the shock October 7 attack by Hamas has been “over the top,” US President Joe Biden says.

“I’m of the view, as you know, that the conduct of the response in Gaza, in the Gaza Strip, has been over the top,” he tells reporters at the White House during an evening address that was announced only about two hours earlier.

The president adds that he’s “pushing very hard now” to get a sustained pause in fighting that could also free the remaining hostages in Gaza abducted from Israel on October 7.

Source: Times of Israel
Mimi nasema kipigo kiendelee ili siku nyingine hamas wasijaribu kuwachokoza wayahudi
 
Sijakanusha takwimu nimekuuliza tu kwa sababu maalum

Au basi nitajie miji mikubwa katika Spain

Sasa unashangaaje waislamu kujaa Madrid valencia wakati hio ndio miongoni mwa miji mikubwa na mikuu pale Spanish ambayo ndio ina harakati nyingi za kimaisha na kiuchumi

Na duniani karibu kote lazima ukute eidha miji mikuu ama miji mikubwa ndio ina uwingi wa watu na fursa kwahio waislamu kujaa miji hio sio sababu ipo mpakani na moroko ila ni kwa sababu ya fursa za kiuchumi nk nk
Namimi sijasema umekanusha

Umetilia mashaka authenticity ya hiyo source kwasababu ya maneno yaliyoandikwa un official source. Ndio sababu mimi nimekuoa huo ufafanuzi

By the way unaonekana hujaelewa kilichoandikwa kimemaanisha nini.
 
Waafrika wanabakwa hadi leo, soma taarifa za Waafrika wanavyoteswa na hawa waarabu huko Uarabuni. Waafrika bado wanapelekwa utumwani Uarabuni kwenye zama hizi.
Kwa hiari na sio kwa lazima
 
Muislam akifa au akimua mkiristo au yahudi wakati anapigania ardhi au Mali yake huyo mtu wa peponi tena ktk pepo ya juu kabisa. Lkn mkiristo akifa na ukiristo wake huyo motoni kabisa
Hapo ndipo uchizi wenu ulipo yaani amri Usiue wewe unaua alafu uende peponi? Mnatia mashaka Sana na liimani lenu. Kwa haya mnayoandika na Kama kweli yapo kwenye Quran Basi mtume Mohammad atakua yupo jehanam pia.
 
Back
Top Bottom