Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

Shangaa wewe mwenye dini ya haki. Isis ni waislam halafu wanalipua waislam wenzao tena msikitini.
NATO na USA ni wakiristo lakini walilipua wakiristo wenzao Serbia wakati wa slobodan,juzi tu hapa,walikua wanapigania dini!?..Taliban ni political organization na Afghanistan ni kwao, ISIS siyo kwao Afghanistan,wanafanya kazi ya nani!?
 
NATO hawajawahi kutuma watu kulipua makanisa wala misikiti.
Tofautisha kati ya vita ya kidini na vita ya sababu za kisiasa
 
You can't read between the lines,can you!?..so hivyo ndiyo ulivyoelewa mfano wa NATO na slobodan!?..na maelezo yangu juu ya Taliban, Afghanistan na ISIS!?..Kama ndiyo basi upeo wako mdogo,
Wakati wa Vita dhidi ya Gaddafi,shughuli za ISIS zilipungua Iraq,Vita dhidi ya Gaddafi ilipoisha, shughuli za ISIS zikarudi kwa Kasi Iraq.....njoo Tena na argument yako ya kulipua misikiti
 
Nilikupa jibu la ussr kwa kudhani labda utajiongeza ila umeshindwa kujiongeza
Nikwamba baada ya kuanguka kwa iliokoa khalifa ya waislam pale cordoba (uhispania yasasa) utawala ulokuja ulitumia nguvu sana kupambana na waislamu ikiwemo kuwaua nakupoteza ama kuharibu utambuzi wao (hata wewe sita shangaa kua toka uumbwe ndio kwanza leo kupitia mie umejua kua uhispania kuna wakati ilikua sehemu ya khalifa ya uislamu sababu haya mambi shuleni hamfundishwi yaani)

Idadi ndogo kua ni waislam sababu uislamu unapigwa vita uhispania tokea baada ya kuanguka khalifa ya uislamu pale uhispania inaongoza pakubwa kwa Islamophobia yaani hata wakitaka kujenga misikiti kwao kikwazo kikubwa shule kikwazo madrasa nk nk

Valencia katalunya Madrid na Andalusia katika hii mji upi upo karibu na moroko maana hio ndio miji inayo host waislam wengi kwa pale uhispania nyie vijana mna shida gani aseee?

Nadhani hapa ntakua nimejibu maswali yako kama ulivyo uliza
USSR ni irrelevant na ndio maana sikutaka kabisa kujikita huko kwasababu ni out of topic

Unapotaja mifano ya utawala wa kiisilamu kama ndio hoja ya kuonesha Uislamu ulikuwepo hapo Spain unakuwa unakosea.

Kwasababu Spain haikuanzishwa baada ya dola ya kiislamu

Uislamu sio asili ya Spain hiyo dola unayoitaja ilikuja kufanya uvamizi miaka ya 711 na baadaye kuondolewa.

Katika hiyo miaka ya 711 kurudi chini dini iliyokuwa dominated hapo Spain ni Christian hakukuwa na kitu kinachoitwa Uislamu.

Na baada ya makoloni ya kiislamu kufurumushwa ndio ikawa ukomo wa Uislamu.

Hakuna muislamu ambaye yupo Spain by geographical nature wengi ni migrants na ndio maana hadi sasa hujaweza kupinga kwa hoja vyanzo vyote vinavyoelezea population ya waisilamu kuwa ni wahamiaji.
 
Kwanza hakuna sehemu nimesema ama nimetaja uwepo wa uislamu pale spain kama ndio chimbuko la spain ama uislamu kama kuna sehemu nimetaja hivyo nioneshe niione hemu

Ila nilibishana na hoja yako ya pale juu uliposema kwamba waislam pale spain wanatokea moroko na kuhamia ndio sababu ya uwepo wao na nikakupa hoja ya uwepo wa uislamu pale hispania karibia karne kumi huko nyuma
Pili pia hata hio spain asili yake ilikuja kwa watu kuhamia na sio spain tu asili karibiu za watu wengi duniani huja kwa watu kuhamia kutoka sehemu moja kwenda nyengine hata hapo spain ilihamiwa na watu kutokea german kama sijakosea

Uislamu ulikuja ama ulikuepo hispania karne nyingi sana hii ndio ilikua hoja ambayo kwa bahati mbaya ama kusudi unataka uipotoshe halafu unilishe maneno pia nikakwambia hata haya maendeleo unayoyaona leo pale uhispania yalitokana na uwepo wa uislamu kwa wakati ule wenyewe walouita islamic golden age kama sijakosea

Hakuna sehemu nimepinga population ya spain kua wahamiaji ila hakuna sehemu pia umekataa kama waislamu spain na ulaya nzima wana slimu kwa wingi nandio maana dunia inatoa takwimu mpaka 2050 waislamu watakua sawa na wakristo na kufikia 2070 waislamu watawazidi wakristo ama dini nyengine duniani kote (na ndio maana nikakuuliza kama je hili ongezeko la uislamu lote linatokana na uhamiaji kama unavyodai maana nnavyojua watu wakihama sehemu moja kule wanapohama wanakua wanapungua huja bisha pia kwa hoja)
 
Muarabu asingekuja kubaka waafrika pale Pwani ungeujua huo uislamu? Kabaka mababu zetu kisha kasimika dini yake na kufanya muwe mazombi zaidi....
Kama walikubali kubakwa huoni mababu zetu ndio waliokuwa na shida
 
Kwanza hakuna sehemu nimesema ama nimetaja uwepo wa uislamu pale spain kama ndio chimbuko la spain ama uislamu kama kuna sehemu nimetaja hivyo nioneshe niione hemu

Ila nilibishana na hoja yako ya pale juu uliposema kwamba waislam pale spain wanatokea moroko na kuhamia ndio sababu ya uwepo wao na nikakupa hoja ya uwepo wa uislamu pale hispania karibia karne kumi huko nyuma
Pili pia hata hio spain asili yake ilikuja kwa watu kuhamia na sio spain tu asili karibiu za watu wengi duniani huja kwa watu kuhamia kutoka sehemu moja kwenda nyengine hata hapo spain ilihamiwa na watu kutokea german kama sijakosea
Hoja yangu uliyokuwa unaipinga ilikuwa supported na ushahidi

Hoja yako uliyokuwa unai propose ilikuwa na uthibitisho gani wa kusapoti kuonesha sio kweli kuwa idadi kubwa ya waislamu waliopo Spain ni wahamiaji?

Mimi nimekuwekea vyanzo vinavyokubaliana na hoja zangu lakini wewe madai yako ni hearsay
 
Uislamu ulikuja ama ulikuepo hispania karne nyingi sana hii ndio ilikua hoja ambayo kwa bahati mbaya ama kusudi unataka uipotoshe halafu unilishe maneno pia nikakwambia hata haya maendeleo unayoyaona leo pale uhispania yalitokana na uwepo wa uislamu kwa wakati ule wenyewe walouita islamic golden age kama sijakosea
Uislamu ulifanya uvamizi Spain miaka ya 700 huko

Ambapo Spain kwa wakati huo ilikuwa ipo chini ya tawala ya kirumi ambapo raia wote walikuwa ni Christian.

Dola ya kiislamu ilivyokuja kufanya uvamizi iliweka mifumo migumu kwa wasio waislamu. Walikuja na mfumo wa tozo inayoitwa "Jizya" ambayo iliwalenga wasio waislamu

Wakristo wengi walijikuta wanafanya maamuzi ya kubadili dini yao na kuwa waislamu ili waepukane na hiyo tozo ambayo ilikuwa mwiba kwao.

Huko juu umesema waislamu kwa waislamu ndio waliokuwa wanapigana na kusababisha kupoteza dola pale Spain.

Lakini ukweli ni kwamba hawakuwa waislamu waliokuwa waislamu kwa hiari bali ni lile kundi la wale walioinhia kwenye Uislamu ili kuepuka Jizya na vitu vingine ambavyo vilikuwa kero kwao.

Baada ya dola ya kiislamu kuondolewa na kurejeshwa kwa utawala ule wa kizamani, kila mtu alirudi kwenye asili yake.

Na ndio maana leo idadi ya waislamu wengi waliopo huko ni migrants.
 
Hakuna sehemu nimepinga population ya spain kua wahamiaji ila hakuna sehemu pia umekataa kama waislamu spain na ulaya nzima wana slimu kwa wingi nandio maana dunia inatoa takwimu mpaka 2050 waislamu watakua sawa na wakristo na kufikia 2070 waislamu watawazidi wakristo ama dini nyengine duniani kote (na ndio maana nikakuuliza kama je hili ongezeko la uislamu lote linatokana na uhamiaji kama unavyodai maana nnavyojua watu wakihama sehemu moja kule wanapohama wanakua wanapungua huja bisha pia kwa hoja)
Kabla ya kusema kuwa dini ya kiislamu inaookea watu wengi wanao silimu naomba unijibu hili swali.

Ipi ni dini yenye sheria ngumu kwenye swala la kubadili dini kati ya ukristo na uislamu?

Apostasy kwenye Uislamu adhabu yake ni kifo.

Sasa kama wewe ni muislamu halafu kutangaza hadharani tu kuwa wewe sio muislamu kunaweza kukufanya uuliwe

Maana yake katika vipimo vya logic tutaweza kutilia shaka idadi ndogo ya waislamu walio convert kwenda dini nyingine hai reflect uhalisia kuwa ni dini ambayo waumini wake wanaipenda sana bali wanasalia kwenye Uislamu kwasababu ya woga.
 
Hoja yangu uliyokuwa unaipinga ilikuwa supported na ushahidi

Hoja yako uliyokuwa unai propose ilikuwa na uthibitisho gani wa kusapoti kuonesha sio kweli kuwa idadi kubwa ya waislamu waliopo Spain ni wahamiaji?

Mimi nimekuwekea vyanzo vinavyokubaliana na hoja zangu lakini wewe madai yako ni hearsay
Hoja yako moja tu ndio ilikua na ushahidi kua hispania waislamu wahamiaji kwa sasa wengi wao na hakuna sehemu niliipinga

Narudia tena nilipinagana na wewe uliposema kwamba uislamu hispania uliingia ama umeingia kwa imigaration tokea moroko

Ndipo nikakwambia kama uislamu Spain ulikuepo karne tisa nyuma

Hoja ya pili ulidanganya kwamba miji ya mpakani na moroko kwamba ndio una wafuasi wengi wa uislamu hoja ambayo umedanganya sababu miji yenye waislam wengi zaidi pale spain ni minne na ambayo haipo huko ulipotaka kudanganya watu kama ulivyosema miji yenyewe Katalunya Andalusia Valencia na Madrid
 
Uislamu ulifanya uvamizi Spain miaka ya 700 huko

Ambapo Spain kwa wakati huo ilikuwa ipo chini ya tawala ya kirumi ambapo raia wote walikuwa ni Christian.

Dola ya kiislamu ilivyokuja kufanya uvamizi iliweka mifumo migumu kwa wasio waislamu. Walikuja na mfumo wa tozo inayoitwa "Jizya" ambayo iliwalenga wasio waislamu

Wakristo wengi walijikuta wanafanya maamuzi ya kubadili dini yao na kuwa waislamu ili waepukane na hiyo tozo ambayo ilikuwa mwiba kwao.

Huko juu umesema waislamu kwa waislamu ndio waliokuwa wanapigana na kusababisha kupoteza dola pale Spain.

Lakini ukweli ni kwamba hawakuwa waislamu waliokuwa waislamu kwa hiari bali ni lile kundi la wale walioinhia kwenye Uislamu ili kuepuka Jizya na vitu vingine ambavyo vilikuwa kero kwao.

Baada ya dola ya kiislamu kuondolewa na kurejeshwa kwa utawala ule wa kizamani, kila mtu alirudi kwenye asili yake.

Na ndio maana leo idadi ya waislamu wengi waliopo huko ni migrants.
Kwanza uangalie kwa umakini unajibu koment za nani

Hakuja sehemu niliongelea suala la waislamu kwa waislamu kupigana spain usinilishe maneno nisio yasema

Pili suala la kodi dunia nzima ni kawaida inategemea limeekwa katika mfumo gani yaani hakuna sehemu ambayo utaenda duniani hakuna mfumo wa kodi

Leo hii mfano wakulima wa ulaya tu wanalalamika kwamba wameondolewa ruzuku kwenye mazao nk

Watu huko spain hawakurudi kwenye dini zao kama unavyodai na wala hawakulazimishwa kama unavyodai wewe hapa

Inajulikana kama baada ya kuanguka khilafa pale spain ilipitishwa sheria kwamba uislamu ama kua muislamu marufuku na ukikaidi ungeweza hata kuuliwa (ulitegemea kwenye sheria kama hii watu wangebakia kwenye uislamu sasa kodi ambayo unasema ili fanya watu Spain kua waislamu na hii sheria iloekwa kuufuta uislamu ipi ililazimisha watu kuhama na kuhamia dini kinguvu)

Mfumo wa khilafa uliotawala Spain ulikua bora kabisa na ndio umeijengea system ama mfumo bora unaoiona kwenye spain ya leo

Sababu hata history inaonesha kwamba hospital ama upasuaji wakwanza pale ulaya ulifanywa uhispania kwenye dola la kiislamu
 
Kabla ya kusema kuwa dini ya kiislamu inaookea watu wengi wanao silimu naomba unijibu hili swali.

Ipi ni dini yenye sheria ngumu kwenye swala la kubadili dini kati ya ukristo na uislamu?

Apostasy kwenye Uislamu adhabu yake ni kifo.

Sasa kama wewe ni muislamu halafu kutangaza hadharani tu kuwa wewe sio muislamu kunaweza kukufanya uuliwe

Maana yake katika vipimo vya logic tutaweza kutilia shaka idadi ndogo ya waislamu walio convert kwenda dini nyingine hai reflect uhalisia kuwa ni dini ambayo waumini wake wanaipenda sana bali wanasalia kwenye Uislamu kwasababu ya woga.
Ntakujibu kuanzia chini kwenda huko juu wala usijali

Hakuna muislamu anaebakia kwenye uislamu kwaajili ya woga sababu hayo uloyasema yanatakiwa yafanye kazi kwenye sehemu ama nchi inayotawaliwa kiislamu kwamaana kabla ya kuyafata hayo lazima sheria iwepo na ielekeze watu namna system ya sehemu husika inavyofanya kazi mfano (leo hii ushoga na usagaji kwenye baadhi ya mataifa ni halali kujitangaza na hakuna tatizo vipi kwenye nchi yako sheria inasemaje kuhusiana na suala hilo wanaliridhia ama wana sheria zao tofauti na sehemu nyengine kwahio ni haki kama kwenye taifa linalotawala kiislamu wakafata sheria kwa mujibu wa uislamu wao usitake kupotosha watu hizo sheria haziwezi kutumika Tanzania au hata hapa kenya na zikitumika ni kinyume na uislam ulivyo amrisha)

Ni kama tanzania unapoambiwa kwama utakatishaji fedha sijui nini ni uhujumu uchumi kwa sheria za tz huwezi ukasimama ukasema kama mie natakatisha fedha itakua sahihi kufungwa sababu umekiuka taratibu na sheria za nchi husika

Ndio kama kuuacha uislamu kwenye taifa ambalo linaendeshea kiislamu na sheria zao wakazieka wazi kama ukiona zina kubana hama nenda kwengine hizo sheria zinakuepuka kama ambavyo utahama ukahamia marekani hutahukumiwa kwa sheria za Tanzania ama Kenya

Uislamu hauna sheria ngumu kama tu utaamua kuufata sheria ni za kawaida sanaaaaaaaa

Najua unataka kujenga hoja kwamba uislamu unalazimisha watu wasilimu hili suala halipo sababu kwasas zaidi ya 98% ya duniani kote kunaendeshwa na sheria zisizo za uislamu ukiona mtu anaslimu ujue kaamua kuslimu mwenyewe wala hajashikiwa panga wala hajashikiwa bastola kwa sababu hakuna kulazimishana kwenye dini ya uislamu
 
Hoja yako moja tu ndio ilikua na ushahidi kua hispania waislamu wahamiaji kwa sasa wengi wao na hakuna sehemu niliipinga
Unakubali kuwa waislamu wengi waliopo Spain ni wahamiaji sawa hili tumelimaliza
 
Back
Top Bottom