maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Nonsense, pelekeni yale magaidi kina haniya huko ICC kwanza ndio mje kuwa gusa watoto wa Yakobo. Mungu yu pamoja na Israel, yeye awalindaye halali wala hasinzii.Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Wale magaid waliochinja watoto wao watapelekwa wapi? Na wale wauaji wa kiarabu wanaoua watu pale Darfur je?Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
God Bless IsraelAnaweza kulipua ICC na bado watu wakaanza kushangilia kuwa Mungu yuko pamoja nao.
Wale magaid waliochinja watoto wao watapelekwa wapi? Na wale wauaji wa kiarabu wanaoua watu pale Darfur je?
Kwani hao unaowaita magaidi hawana baba kama huyo Yakobo? Mandela pia mlimpa lable ya gaidi alipokuwa anataka haki kwa hiyo sishangaiNonsense, pelekeni yale magaidi kina haniya huko ICC kwanza ndio mje kuwa gusa watoto wa Yakobo. Mungu yu pamoja na Israel, yeye awalindaye halali wala hasinzii.
Israel kama Marekani sio wanachama wa ICC hakuna wa kuweza kuwapelekaKwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Hiyo ICC imejengwa kwaajili yenu waafrika fumgukeni kwani iyo vita ya wa israel na wapelestina imeenaza leo??Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Wewe tangu unazaliwa ni muisrael gan aliwah kupelekwa hukoWale wako treated kama magaidi ndo maana hutakaa usikie wamepelekwa icc
Wewe tangu unazaliwa ni muisrael gan aliwah kupelekwa huko
Kwani Russia ni member wa ICC?Ulishaambiwa israel ni mwanachama wa ICC? Hilo azimio la umoja wa mataifa la kupitisha israel ishitakiwe huko nani atalipitisha?
Kwani Putin "Russia" ni mwanachama wa hiyo ICC?Israel kama Marekani sio wanachama wa ICC hakuna wa kuweza kuwapeleka
Africa ni wanachama wa ICC ndio.maana huwa tunapelekana huko