Israel watapelekwa ICC

Israel watapelekwa ICC

Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.

Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Hizo zipo kwa ajili ya Africa na ukizingatia US taifa liloangamiza watu wengi duniani wapo nyuma yao ndio kabisa hamna kitakacho fanyika, UN nae mbwa mkubwa ila hana meno wala kucha.
 
Bush na blair wameua watu kibao irak na awajapelekwa icc itakua netanyahu,ile ngoma ndio ishaisha na mwamba bado anaendelea kushambulia kwa waarabu
 
Israel hawezi pelekwa ICC kwa sababu nyuma yake kuna USA ambae ana nguvu UN na huko ICC kwenyewe
 
Kwani Putin "Russia" ni mwanachama wa hiyo ICC?

Russia so member wa icc ingawa alisaini roman statue inayofanya kazi sambamba na icc mwaka 2000 then mwaka 2016 akajitoa kwenye hy agrement kinachotokea icc wametoa arest warrant kwa putin ila hawana justification hy ndo maana juzi umemwona putin china
 
N
Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.

Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
aunga mkono 100%. Zipo sababu 1000 za kuachana na mahakama za hivi.
 
Hamas imewaponza sana
Majeruhi watatulia hata miaka 10 wakipata nafasi tena watajibu na tech itakuwa juu yenye uwezo wa kubypass iron dome.
Vita havimalizwi kwa vita na kufanya matukio ya kupandikiza visasi na chuki kwa race ya waarabu wote.

Majibu ya walichofanyiwa yamepitiliza utu.
 
Nonsense, pelekeni yale magaidi kina haniya huko ICC kwanza ndio mje kuwa gusa watoto wa Yakobo. Mungu yu pamoja na Israel, yeye awalindaye halali wala hasinzii.
NI muda wa Palestina na waarabu (sizungumzii uislam hapa) kukomaa. Japo gharama itakuwa kubwa. Lakini mwisho palestina watapa nchi yao na mipaka ni ile ya 1947.
 
Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.

Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Acheni kulialia nyie Hamas wa Mbagala. Si mlijifanya vichwa ngumu? Shubaamit
 
Hahah hao hawapalekwi ICC bali wamepewa ruhusa wafanye mambo yao kwa usahihi
 
Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.

Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Yale magaidi yaliyoivamia Israel yakawaua waisrael kwenye sherehe na kuwateka watoto na kuua watu je hawastahili kupelekwa ICC? Ila Israel anaonekana

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Sawa,ila wale walioua watu kwenye tamasha na walioanza kuua wapo sahihi na wana haki ya kuua.
 
Unakichwa kizito Sana ,yaani marekani asiwepo mahakama hiyo Ila Israel awemo ,na jiografia yake imezungukwa na wahuni watupu

Wahuni hao wanahitaji mapigo mazito bila huruma
 
Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.

Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Utasubiri sana, ICC ni ya wadhaifu
 
Majeruhi watatulia hata miaka 10 wakipata nafasi tena watajibu na tech itakuwa juu yenye uwezo wa kubypass iron dome.
Vita havimalizwi kwa vita na kufanya matukio ya kupandikiza visasi na chuki kwa race ya waarabu wote.

Majibu ya walichofanyiwa yamepitiliza utu.
Utu unafuata baadae. Kipindi hicho tech itakuwa juu kwa watu wote. Iron dome zitaboreshwa au utakuja ulinzi mwingine mkali sana wa anga
 
Nonsense, pelekeni yale magaidi kina haniya huko ICC kwanza ndio mje kuwa gusa watoto wa Yakobo. Mungu yu pamoja na Israel, yeye awalindaye halali wala hasinzii.
Heee, mkuu ni ww umeandika hapa? Rudi Sunday school mkuu
 
Back
Top Bottom