joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hizo zipo kwa ajili ya Africa na ukizingatia US taifa liloangamiza watu wengi duniani wapo nyuma yao ndio kabisa hamna kitakacho fanyika, UN nae mbwa mkubwa ila hana meno wala kucha.Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.