Israel watapelekwa ICC

Israel watapelekwa ICC

Kwa akilizako kabisaa unaamini Israel atapelekwa ICC!?? Elimu elimu elimu. Loawa alikuwa ni contesta mzuri sana
Mimi nipo ndani kwangu nimetulia.
Jambazi kaja kanivamia, nimemuua. Kuna kesi hapo?
Hao magaidi wa kipalestina watajifunza siku nyingine wasindandie treni kwa mbele.
 
Binafsi sikubaliani na mauaji ya watoto wasio na hatia. Israeli inakosea sana kuuwa watoto ambao kimsingi hawana kosa lolote.
Kushambulia Makambi ya wakinbizi na hospitali huo ni uhalifu wa kivita.
 
Binafsi sikubaliani na mauaji ya watoto wasio na hatia. Israeli inakosea sana kuuwa watoto ambao kimsingi hawana kosa lolote.
Kushambulia Makambi ya wakinbizi na hospitali huo ni uhalifu wa kivita.
Na ambacho sijakielewa ni kwa nini jumuiya ya kimataifa huwa inanyamaza mpaka idadi ya vifo iongezeke. Hii ilitokea pia Rwanda
 
Nani atakwenda kuwakamata na kuwapeleka the Hague?
Hamas, Iran, Saudia, nani?
Hata Marekani hawezi!
 
Back
Top Bottom