Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njia zipo lakini USA hataki,u mzozo utajua kuisha siku China na Russia waamue kuisiadia Palesitina..kwa kweli jamaa wanaonewa kwwli.Aliyewashauri hawa jamaa wafanye lile shambulio la October 7 aliwaingiza chaka asee.
Mimi bado naamini kuna njia za amani za kumaliza huu mgogoro baina ya haya mataifa.
Ukiona mabano kwenye tafsiri za Quran umejua Allah haeleweki so wanamrekebisha akili ili aeleweke... Allan and Mudy walikuwa NaiveQuran 39: 12 Suratul Zumar (Makundi / Vikosi)
"Na pia nimeamrishwa niwe wa kwanza wa (viumbe) wanaojisalimisha (kwa mwenyezi Mungu)"
Quran 6: 14 Suratul Al- An'am (Wanyama)
Sema "je nifanye mola (wangu) asiyekuwa Mwenyezi Mungu, (Ambaye ndiye) muumba wa mbingu na ardhi" naye hulisha wala halishwi" sema hakika mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza katika wenye kusilimu na (nikaambiwa). usiwe miongoni mwa wanaomshirikisha (Mwenyezi Mungu).
Historia gani wewe unaijua wwngine hatuijui,Israel kwa kushirikiana na USA wamechukua eneo la Palestina kwa mabavu.Fuatilia historia ya taifa la Israel vzr ,
Kaka kasome tena,hezbollah nae anatetea eneo lake mabalo Israel anataka kulichukua kimabavu huko Lebanon.Ayatollah ndio aliwashauri na hii ilikuwa Israel apigwe mtungo ila Netanyau aliwashtukia mapema kwakuwa Hizbullah hakuwa na sababu ya kushambulia kama walivyofanya Hamas ndio maana alikuwa anawachokoza Israel ili ashambulie wapate sababu ya kuvamia kama wenzao lakin BIBi akaona awaache amalizane na Hamas kwanza Kisha atarudi kwao kama watakuwa bado wanaendelea kurusha rockets zao ndani ya Israel na ndio hiki tunachokishuhudia kikifanyika huko Lebanon.
We ndio unadhani vile sababu akili zako haziko sawa. Israel yenyewe ina Kiri huyo ni shujaa na kwa kibahati bahati ndio wamemkuta pale, wala hawakutegemea atakuwa anapigana vita. Siku zote Israel anasema Sinwar yuko chini ya ardhi kumbe mwamba alikuwa ndio kwenye frontline. Kingine wanasema ni kifaru kilipiga ile sehemu, ndio kwa bahati mbaya kikapiga kichwa chake lakini mpaa mda wa mwisho aliweza kuwarushia boom na kuwauwa askari wa Israel.
We kapime akili zako endelea kuamini ujinga wako.
View: https://youtu.be/etchDrOG7Rc?si=IVwGqgBBdgQ8dbv0
Hakuna eneo Israel inataka kulichukuwa Lebanon, hata ikitokea Israel akishinda hiyo vita hiyo miji ya mpakani Israel itakabidhi kwa jeshi la LebanonKaka kasome tena,hezbollah nae anatetea eneo lake mabalo Israel anataka kulichukua kimabavu huko Lebanon.
Ni eneo Gani hilo ?Kaka kasome tena,hezbollah nae anatetea eneo lake mabalo Israel anataka kulichukua kimabavu huko Lebanon.
Ulikuwepo weweSinwar alikuwa hapigani bali alikuwa kwenye harakati za kuhamia eneo lingine ndio majanga yakamkuta kukutana na white boys Labda ile fimbo yake aliyotaka kuipiga small drone
Njia zipo lakini USA hataki,u mzozo utajua kuisha siku China na Russia waamue kuisiadia Palesitina..kwa kweli jamaa wanaonewa kwwli.
Historia gani wewe unaijua wwngine hatuijui,Israel kwa kushirikiana na USA wamechukua eneo la Palestina kwa mabavu.
Kaka kasome tena,hezbollah nae anatetea eneo lake mabalo Israel anataka kulichukua kimabavu huko Lebanon.
Kaka kasome tena,hezbollah nae anatetea eneo lake mabalo Israel anataka kulichukua kimabavu huko Lebanon.
Viongozi wa juu wamemalizwa,nani atoke huko kwenye mashimo ya ngiri aje atoe tamko auaweHii sinema nitaiamini Hamas wakisibitisha. Tusije tukafanyiwa propaganda kama kifo cha Osama bin laden. Kwanini ilihitajika DNA test? Ialialibika sana kiasi cha kutomtambua? Kwanini Hamas hawajatoa tamko?
Kuna taarifa kwamba huyu ndio aliamuru tukio lifanyike bila kuwashirika viongozi wenzake,na pia viongozi wenzake walikuwa hawamkubali kwa sababu anapenda kutumia mabavu sana kuliko diplomaticAliyewashauri hawa jamaa wafanye lile shambulio la October 7 aliwaingiza chaka asee.
Mimi bado naamini kuna njia za amani za kumaliza huu mgogoro baina ya haya mataifa.
uzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia sn
Kuna taarifa kwamba huyu ndio aliamuru tukio lifanyike bila kuwashirika viongozi wenzake,na pia viongozi wenzake walikuwa hawamkubali kwa sababu anapenda kutumia mabavu sana kuliko diplomatic