Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Kwa hiyo walijua alipo

Hawakujua Mkuu! Ilikuwa routine Patrol tu! Ukiangalia hata kwente Satellite images BBC ni magofu tu mahali hapo! Sinwar inaonyesha katika kipindi hiki alikuwa anaishi kwenye magofu! Ambayo ni good trick, maana hakuna watu wata , pita pita maeneo kama hayo, hao askari wakaona Sinwar ( hawakumtambua) na watu wake wanahama toka jengo moja kwenda jingine, in actually sense hawakutaka kuanzisha kupigana, Askari wa Israel wakalipiga jengo hilo, Walifanya hivyo Jumatano, wakaacha, Alhamis wakaja kuangalia waone ni nani sasa walikuwepo katika jengo hilo! Ndio wakaona ni kama Sinwar!
 
Hapo mkono wa kulia ushaondoka. Yupo kwenye maumivu makali sana na haijulikani km anamiguu yote hapo.
Dàah af baadae wakamrushia bomu lingine ili kumsambaratisha kabisa.
Israel mtoa roho ni NYOKO!
Mtoto akililia wembe mpe

Kaupata Mkuu!...Sisi katuacgia msiba Tanzania....Joshua Mollel....

1729291246793.png
 
yaani mpigania uhuru asiye na nchi amekuwa mwiba kwa Taifa teule la Marekani??

Mwiba umekatwa! He was just a lunatic! Kapata nini sasa....Hata futi moja ya Israel hajapata.....Sana sana anafanya Wapelestina waanze moja tena....Israel imeziba Philadephi Corridor......Hii inaa maana hata mapigano yakisimama.....Hawana tena kupata Silaha na vitu vingine toka Egypt.....Israel imewabana kooni vibaya mno.....Anywa wamejitakia...

1729291625250.png
 
Ukumbuke ugomvi haujaanza Oktoba 7.
Ulianza Agosti 23.
Israel aache ukorofi halafu uone kama atasumbuliwa.
Hayo makombora ya Iran sahau maana akithubutu utasahau kama kuna Israel.
Iran sio mwarabu ni muajemi.

Are you serious Mkuu...! Kuna siku Israel itasahaulika...NBjozi za mchana kweli ni mbaya! Rudia Historia!
 
Bado mdogo sana , jitambua kijana hao wapalestina wanashikiliwa wengine ni wadogo kabisa , hawana hatia ...Wewe umekaa kishabiki baadae eti unajifanya una upendo 😀 😀

Mpaka sasa umesahau wanaokufa congo maana wote ni wagalatia huoni kama kuna haja ya kuongelea hilo , kule Ukraine umehama ili mradi upeleke ushabiki katika sehemu inayohtaji akili.

Accumen upo? Pole na msiba Mkuu.....! Anyway Sinwar anafurahia mabikira! Nasrala pia....list is endless!
 
Dah! Anatia huruma sana.

Imetosha sasa. Nadhani kama ni somo watakuwa washalipata.

Wao [Hamas] ni non-state actors. Ni wanamgambo tu. Hawana tofauti na sungusungu.

Hawawezi kupambana na jeshi la Israel linalobebwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, na nchi zingine za magharibi.

Waislamu wenzao wa Misri, Saudia, na kwingineko, hawawaungi mkono vile ambavyo Israel inaungwa mkono na nchi za magharibi.

Taswira za vitoto vidogo vilivyolipuliwa na mabomu huko Gaza zinasononesha sana.

Mji wa Gaza umebaki kuwa magofu tu.

Waisraeli takribani 1,300 na ushee waliuliwa hiyo Oktoba 7, 2023.

Mpaka kufikia sasa, zaidi ya Wapalestina 40,000 wamekufa toka hii vita ianze.

Ni mpaka Wapalestina wangapi wafe ili Isael iridhike?

Wengi wa hao marehemu, si ajabu hata hawana uhusiano wowote ule na Hamas.

Enough is enough. This carnage has to end immediately.
Kweli kabisa Hamas hawana tofauti na jeshi la kinjekitile ngwale
Bange wanazovuta zinawapa confidence watapotea
 
Hamas hawana tofauti na jeshi la kinjekitile ngwale
Bange wanazovuta zinawapa confidence watapotea
 
Usichokifahamu mkuu waisrael wanaumia kama wanavyoumia waarabu.
Hivi unadhani jeshi kupata askari takriban elfu sabini walemavu wa viungo wa kudumu na elfu kumi na mbili walemavu wa akili wa kudumu ni jambo dogo!?
Wiki iliyopita tu Israel kapoteza askari 300 katika mapigano na Hizbollah.
Bandari ya Eilat haifanyi kazi kwasababu ya mashambulizi ya Houthi pale Red sea.
Meli moja imetekwa zingine zinazopeleka mizigo zinalipuliwa.
Takriban wayahudi laki tano wamekimbia nchi na hawajui kama watarudi.
Jumuiya nyingi za kimataifa zimeanza kuikana na kuitenga Israel.
Mataifa kama Uhispania,Ubelgiji,Ireland,Brazil n.k n.k zote hizo zimevunja uhusiano na Israel.
Imefikia hatua hadi Netanyahu kikao cha mwisho cha UNGA wajumbe wamesimama na kumsusia kikao akihutubia.
Raia hawakai kwa amani, kaskazini wamekimbia makazi na kuja kanda ya kati ya Israel,na haijulikani kama watarudi katika hayo makazi.
Asilimia kubwa ya wayahudi jamii ya Orthodox wanahama hadi sasa nchini Israel kwa kulazimishwa kuingia jeshini na IDF ilhali ni kinyume na miiko ya dini.
Israel imeshafunga makampuni na biashara nyingi tu hadi sasa,kinachomuokoa ni misaada ya kifedha isiyo na masharti kutoka USA,UK na Ujerumani.
Ila kama ingekua ni nchi inayosimama yenyewe basi ingekua ina hali ngumu sana.

Israel ni miaka mingi amekataa suluhu ya kidiplomasia yenye ameendekeza ubabe mashariki ya kati yote.
Ila sasa hivi amepata hasara kubwa na asipoangalia atapata anguko.
Maana anapigana na waarabu ambao HAWANA CHA KUPOTEZA.
Hadi unatia huruma.
 
Busu la shavu au kiganja au padi la uso ni la heshima na upendo.
Ila kwa mafirauni kama wewe huwa mnawaza mambo machafu tu siku zote.
Hayo mambo machafu yenyewe yameanzia huko kwenu.
 
We ndio unadhani vile sababu akili zako haziko sawa. Israel yenyewe ina Kiri huyo ni shujaa na kwa kibahati bahati ndio wamemkuta pale, wala hawakutegemea atakuwa anapigana vita. Siku zote Israel anasema Sinwar yuko chini ya ardhi kumbe mwamba alikuwa ndio kwenye frontline. Kingine wanasema ni kifaru kilipiga ile sehemu, ndio kwa bahati mbaya kikapiga kichwa chake lakini mpaa mda wa mwisho aliweza kuwarushia boom na kuwauwa askari wa Israel.

We kapime akili zako endelea kuamini ujinga wako.


View: https://youtu.be/etchDrOG7Rc?si=IVwGqgBBdgQ8dbv0

Huyo hajapigana, kapigwa!
 
Huu ukweli kama jamaa hatakuelewa basi akili atakuwa amezikabidhi kwa mchungaji kiboko ya wachawi.

Israel anajitutumua tu haelewi ashike lipi aache lipi.
Kujifariji hakuondoi hali halisi. Mtapigwa tu!
 
Amani haiwezi kupatikana toka kwa upande mmoja tu.

Wapalestina hawajawa hivyo walivyo bila sababu.

Israel imewanyanyasa sana kwa muda mrefu.

Pande zote mbili zinawajibika katika kuleta amani.
Pande mbili zinawajibika vipi wakati umeshachukua upande wako?
 
Hio video sio Israel kachia hio ni aibu kwao walisema jamaa anajificha kumbe aliwauwa askari hapo wengi tu wa Israel kabla ya yeye kuliwa. Walitaka ajisalimishe akakataa mpaa wakamuwa na hapo alikuwa kisha umia .
Dah wavaa makobazi kazi mnayo kujitetea 😂
 
Back
Top Bottom