Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Kujifariji hakuondoi hali halisi. Mtapigwa tu!
Wewe huna TV nyumbani kwako? Au umepanga chumba kimoja umelundika kila kitu humo humo hadi tv ya chogo imekosa nafasi?

Angalia mambo live hasa Al Jazeera wanarusha matukio live sio kama channels nyinginezo zinaeneza propaganda kwenye ulimwengu wa leo.

Usisubiri kiboko ya wachawi akupige fiksi kanisani ndio uje ucomment humu jitahidi uwe independent thinking utaubaini ukweli.

Israel kachapwa mara mbili mvua ya drones na misseles na Iran hajajibu hata moja anaendelea kuimba taarabu tu.

Hezbollah anazidi kula vichwa vya askari wa IDF huko mpakani mwa Lebanoni na Israeli. Haya huyaoni hadi usubiri fiksi za hao matapeli wanaojificha makanisani?
 
Mateka wamshaokolewa? Au ndiyo anapiga tu majengo ya raia kuua watoto na wanawake?

Amekata tamaa tena kuokoa mateka wake wanaoshikiliwa na HAMAS kwa zaidi ya mwaka sasa?

Tulidanganywa sana nguvu ya Israel lakini ukweli ni kwamba Israel ni sawa na Rwanda tu inayosifiwa kuwa na jeshi imara kumbe ni nguvu za mabeberu zipo nyuma yao ili kupora mali za Congo.
Huoni hiyo ni technik ya Israel kuendelea kupiga Gaza kwa kisingizio cha kutafuta mateka
 
Huyu ndiye mwanaume kweli kweli sio wewe unayetaka kufia guest house na malay,a wa buku jero.

Amefia frontline akipigania nchi yake. Ulidanganywa eti Hamas wanajificha kwa watoto na wanawake lakini kamanda amepambana na askari wa IDF akiwa peke yake na wamemiminiana risasi kabla ya kujeruhiwa ndipo walipomshambulia kwa drone.

Fikiria kiongozi wa ngazi ya juu kabisa wa Hamas yupo frontline sio kama Netanyahu akisikia ving'ora tu vya makombora ya Iran anakimbia kama mwizi kujificha.
 
Huoni hiyo ni technik ya Israel kuendelea kupiga Gaza kwa kisingizio cha kutafuta mateka
😂😂🤣🤣 Aise aliyewaita makondoo aongezewe vyeo amewapatia kabisa.

Mateka wanakufa na wengine wanateseka huku wananchi wa Israel wanaandamana kumtaka Netanyahu ajiuzulu kwa kushindwa kuwaokoa mateka kwa zaidi ya mwaka sasa.

Aise kuna watu mna ufinyu wa fikra hadi unajiuliza kama kweli una mtu anayekutegemea basi ni majanga makubwa mno.

Israel ndilo taifa linalowajali zaidi raia wake halafu mkulima wa jembe la mkono unakuja kubwabwaja eti hawataki tu kuwaokoa mateka wao.

Hizi stori za kwenye vigango vyenu zinachekesha tu kwakweli maana kama ungebahatika angalau kufika darasa la tatu naamini usingeongea ulichoongea hapa.
 
Hii sinema nitaiamini Hamas wakisibitisha. Tusije tukafanyiwa propaganda kama kifo cha Osama bin laden. Kwanini ilihitajika DNA test? Ialialibika sana kiasi cha kutomtambua? Kwanini Hamas hawajatoa tamko?
Watoe tamko wakiwa wapi?mkishiba mbaazi mkumbuke kulala.
Hiyo video ni genuine iko kila mahali.
We unaongelea hamas watu wako Lebanon huko na Iran.
 
Ayatollah ndio aliwashauri na hii ilikuwa Israel apigwe mtungo ila Netanyau aliwashtukia mapema kwakuwa Hizbullah hakuwa na sababu ya kushambulia kama walivyofanya Hamas ndio maana alikuwa anawachokoza Israel ili ashambulie wapate sababu ya kuvamia kama wenzao lakin BIBi akaona awaache amalizane na Hamas kwanza Kisha atarudi kwao kama watakuwa bado wanaendelea kurusha rockets zao ndani ya Israel na ndio hiki tunachokishuhudia kikifanyika huko Lebanon.
Hezbollah walipigwa kwanza kabisa kabla ya Hammas, walileta pua zao baada ya oct 7,wakapigwa mpk kwao huko Lebanon wakawekwa kiporo.
Ndio ikaanza safisha huko Gaza,Palestina.ndio jamaa wako huko na Hezbollah sa hii,na badae Iran atafuata.
 
Kuna mataifa yana maisha mazuri sana kama Qatar,Kuwait,Brunei,Uturuki,Malaysia, Indonesia n.k n.k,kwanini nihangaike kwenda Ulaya!?
My dream nation is Turkiye.
Nchi ambayo hata kupata uraia ni rahisi haswa ukigundulika muislam.
We ni boya kabisa,hao waTurkey wenyewe ni wakimbizi na uislamu wao.
We ni boga.
 
Wewe huna TV nyumbani kwako? Au umepanga chumba kimoja umelundika kila kitu humo humo hadi tv ya chogo imekosa nafasi?

Angalia mambo live hasa Al Jazeera wanarusha matukio live sio kama channels nyinginezo zinaeneza propaganda kwenye ulimwengu wa leo.

Usisubiri kiboko ya wachawi akupige fiksi kanisani ndio uje ucomment humu jitahidi uwe independent thinking utaubaini ukweli.

Israel kachapwa mara mbili mvua ya drones na misseles na Iran hajajibu hata moja anaendelea kuimba taarabu tu.

Hezbollah anazidi kula vichwa vya askari wa IDF huko mpakani mwa Lebanoni na Israeli. Haya huyaoni hadi usubiri fiksi za hao matapeli wanaojificha makanisani?
Ukishaanza kuona unaongelea aina za TV, jua umechelewa sana kupata maisha!
 
Hio video sio Israel kachia hio ni aibu kwao walisema jamaa anajificha kumbe aliwauwa askari hapo wengi tu wa Israel kabla ya yeye kuliwa. Walitaka ajisalimishe akakataa mpaa wakamuwa na hapo alikuwa kisha umia .
Amka ndoto na maluweluwe uliyanayo yatakuchanganya
 
Ukishaanza kuona unaongelea aina za TV, jua umechelewa sana kupata maisha!
Ungekuwa nayo ungejionea mambo live na kuachana na mambo ya propaganda za mashog,a.

Maisha niliyapatia kikamilifu miaka ya 2010's nikiwa kijana mdogo wa early 20's.
 
Ungekuwa nayo ungejionea mambo live na kuachana na mambo ya propaganda za mashog,a.

Maisha niliyapatia kikamilifu miaka ya 2010's nikiwa kijana mdogo wa early 20's.
Dah matajiri wa jf bwana
 
Hahaha kwanini MAJINI hayasaidii viumbe wa Allah wanapopigwa hadi kuuwawa? Niliwahi sikia huyu jamaa alikuwa analindwa na majini asiuwawe, yalienda likizo?
We kondoo ushapakwa mafuta ya bwana au unakuja ropoka tuh
 
Walichokifanya october 7 inasikitisha sana,walichinja watu na kuwachoma kama mishikaki , wanastahili kipigo haswa kwa walichofanya.
Na wataendelea kufanya mpk wapate Uhuru wao hata damu imwagike vipi
 
Nyie kondoo msichokijua ni kua hakuna muislam ambae yuko vitani agaogopa kufa ,,hata muuwe vipi Palestine itakua huru tuh
 
Malengo ya Vita ni kumuuwa huyu?mbona kama wameshangilia sana wakati huyu ni wa tatu,wakwanza walimuua na kizazi chake chote.
Ila mateka wameishia wapi?
 
Back
Top Bottom