Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Kazi wanayo huko peponiSasa huyo mwingine na mkono hana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi wanayo huko peponiSasa huyo mwingine na mkono hana!
Wewe huna TV nyumbani kwako? Au umepanga chumba kimoja umelundika kila kitu humo humo hadi tv ya chogo imekosa nafasi?Kujifariji hakuondoi hali halisi. Mtapigwa tu!
Huoni hiyo ni technik ya Israel kuendelea kupiga Gaza kwa kisingizio cha kutafuta matekaMateka wamshaokolewa? Au ndiyo anapiga tu majengo ya raia kuua watoto na wanawake?
Amekata tamaa tena kuokoa mateka wake wanaoshikiliwa na HAMAS kwa zaidi ya mwaka sasa?
Tulidanganywa sana nguvu ya Israel lakini ukweli ni kwamba Israel ni sawa na Rwanda tu inayosifiwa kuwa na jeshi imara kumbe ni nguvu za mabeberu zipo nyuma yao ili kupora mali za Congo.
Huyu ndiye mwanaume kweli kweli sio wewe unayetaka kufia guest house na malay,a wa buku jero.
😂😂🤣🤣 Aise aliyewaita makondoo aongezewe vyeo amewapatia kabisa.Huoni hiyo ni technik ya Israel kuendelea kupiga Gaza kwa kisingizio cha kutafuta mateka
Watoe tamko wakiwa wapi?mkishiba mbaazi mkumbuke kulala.Hii sinema nitaiamini Hamas wakisibitisha. Tusije tukafanyiwa propaganda kama kifo cha Osama bin laden. Kwanini ilihitajika DNA test? Ialialibika sana kiasi cha kutomtambua? Kwanini Hamas hawajatoa tamko?
Hezbollah walipigwa kwanza kabisa kabla ya Hammas, walileta pua zao baada ya oct 7,wakapigwa mpk kwao huko Lebanon wakawekwa kiporo.Ayatollah ndio aliwashauri na hii ilikuwa Israel apigwe mtungo ila Netanyau aliwashtukia mapema kwakuwa Hizbullah hakuwa na sababu ya kushambulia kama walivyofanya Hamas ndio maana alikuwa anawachokoza Israel ili ashambulie wapate sababu ya kuvamia kama wenzao lakin BIBi akaona awaache amalizane na Hamas kwanza Kisha atarudi kwao kama watakuwa bado wanaendelea kurusha rockets zao ndani ya Israel na ndio hiki tunachokishuhudia kikifanyika huko Lebanon.
We ni boya kabisa,hao waTurkey wenyewe ni wakimbizi na uislamu wao.Kuna mataifa yana maisha mazuri sana kama Qatar,Kuwait,Brunei,Uturuki,Malaysia, Indonesia n.k n.k,kwanini nihangaike kwenda Ulaya!?
My dream nation is Turkiye.
Nchi ambayo hata kupata uraia ni rahisi haswa ukigundulika muislam.
Ukishaanza kuona unaongelea aina za TV, jua umechelewa sana kupata maisha!Wewe huna TV nyumbani kwako? Au umepanga chumba kimoja umelundika kila kitu humo humo hadi tv ya chogo imekosa nafasi?
Angalia mambo live hasa Al Jazeera wanarusha matukio live sio kama channels nyinginezo zinaeneza propaganda kwenye ulimwengu wa leo.
Usisubiri kiboko ya wachawi akupige fiksi kanisani ndio uje ucomment humu jitahidi uwe independent thinking utaubaini ukweli.
Israel kachapwa mara mbili mvua ya drones na misseles na Iran hajajibu hata moja anaendelea kuimba taarabu tu.
Hezbollah anazidi kula vichwa vya askari wa IDF huko mpakani mwa Lebanoni na Israeli. Haya huyaoni hadi usubiri fiksi za hao matapeli wanaojificha makanisani?
Watanzania hawajawahi pigwa vilivyo...ndiyo sababu mtu anapokufa wao hushangiliaVita sio nzur wadau msishangilie vita
Amka ndoto na maluweluwe uliyanayo yatakuchanganyaHio video sio Israel kachia hio ni aibu kwao walisema jamaa anajificha kumbe aliwauwa askari hapo wengi tu wa Israel kabla ya yeye kuliwa. Walitaka ajisalimishe akakataa mpaa wakamuwa na hapo alikuwa kisha umia .
Ungekuwa nayo ungejionea mambo live na kuachana na mambo ya propaganda za mashog,a.Ukishaanza kuona unaongelea aina za TV, jua umechelewa sana kupata maisha!
Dah matajiri wa jf bwanaUngekuwa nayo ungejionea mambo live na kuachana na mambo ya propaganda za mashog,a.
Maisha niliyapatia kikamilifu miaka ya 2010's nikiwa kijana mdogo wa early 20's.
We kondoo ushapakwa mafuta ya bwana au unakuja ropoka tuhHahaha kwanini MAJINI hayasaidii viumbe wa Allah wanapopigwa hadi kuuwawa? Niliwahi sikia huyu jamaa alikuwa analindwa na majini asiuwawe, yalienda likizo?
Na wataendelea kufanya mpk wapate Uhuru wao hata damu imwagike vipiWalichokifanya october 7 inasikitisha sana,walichinja watu na kuwachoma kama mishikaki , wanastahili kipigo haswa kwa walichofanya.
Yaani hana muda wa kurusha risasi sn kama amesha ku scan.Filamu zinakudanganya sana kiongozi.
Risasi zingelia sana au sio?