Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Ndio maana sitaki kujadiliana na wewe kwasababu huna unalojua.
Hapa inazungumziwa jamii ya wana wa Israel sio taifa la Israel.
Hakuwahi kukuwa na taifa la Israel.
Mwaka 1920 ilikuja proposal ya kuunda taifa la kiarabu na kiyahudi UK ambaye ndiye alikua anaitawala eneo zima alikataa kuundwa kwa taifa la kiyahudi na akaendelea na Mandatory state of Palestine.
Hadi kufikia 1947 ndio resolution ikaletwa ndio akakubali kuundwa kwa taifa la kiyahudi.
Ila kulikua na jamii yao.
Bro nakuomba usini quote ngojea niku block.
Sasa hiyo jamii ilikua aishi maeneo hayo? Na hata wasingeita hiyo nchi jina la Israel wangechagua jina lolote lakini bado wangebaki kuwa ni jamii ya wayahudi.
Pia Ayatollah alipiga hesabu kwamba USA iko busy na Ukrain so Hamas watajipigia tu Israel kama ngoma.

Ayatollah mjinga sana.
Ndiyo mapumbavu namba moja kwa akili zake ziro. Na ndiyo maana baada ya kuona kasababisha balaa anajifanya kushambulia Israel. Makundi yake yote aliyoyaweka kwa ajili ya kushambulia Israel hayajafanikiwa.
 
Njia zipo lakini USA hataki,u mzozo utajua kuisha siku China na Russia waamue kuisiadia Palesitina..kwa kweli jamaa wanaonewa kwwli.
Utaisha siku Iran akitoa makundi yake aliyoanzisha kupigana na Israel. Mzee Arafat alikua ataki huu ujinga wa hamas
 
Nyie kondoo msichokijua ni kua hakuna muislam ambae yuko vitani agaogopa kufa ,,hata muuwe vipi Palestine itakua huru tuh
Kumbe ni dini ya kiislamu ndiyo iliyorusha mabomu October 7. Asante kwa kutujuza maana wengine tulikua hamas. Kumbe hamasi ni kundi la kiislamu. Hongera ndugu
 
Wakuu,

IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.

Kwenye video hii, Sinwar anaonekana akiwa ameumia mkono na anajificha ficha kwenye makochi na huko mwishoni anaonekana akiinua fimbo na kutaka kupiga hiyo drone.

Kiukweli inatia huruma. Ukiwaza huyu ndio alikuwa Mastermind wa shambulio la Oktoba 7 mwaka jana, unapata mawazo mengi sana.

Na hapa inaonesha mabodyguard wake walikuwa wamemkimbia au wameshafariki.

Sio amejificha kamanda ameakaa kwenye sofa huku akimfatilia adui taratibu
 
Lile shambulio alitengeneza Netenyau mwenyewe ili ahepe kifungo huyo jamaa ni mla rushwa na jambazi damu zote anamwaga ili tu abakie mamlakani sasa wabamuuliza maswali hana majibu mateka wako wapi???? Wala hana mpango kuwaokoa mateka
 
Screenshot_2024-10-19-10-14-17-919_com.android.chrome.jpg
 
Lile shambulio alitengeneza Netenyau mwenyewe ili ahepe kifungo huyo jamaa ni mla rushwa na jambazi damu zote anamwaga ili tu abakie mamlakani sasa wabamuuliza maswali hana majibu mateka wako wapi???? Wala hana mpango kuwaokoa mateka
Screenshot_2024-10-18-16-13-35-244_org.mozilla.firefox~2.jpg
 
Wakuu,

IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.

Kwenye video hii, Sinwar anaonekana akiwa ameumia mkono na anajificha ficha kwenye makochi na huko mwishoni anaonekana akiinua fimbo na kutaka kupiga hiyo drone.

Kiukweli inatia huruma. Ukiwaza huyu ndio alikuwa Mastermind wa shambulio la Oktoba 7 mwaka jana, unapata mawazo mengi sana.

Na hapa inaonesha mabodyguard wake walikuwa wamemkimbia au wameshafariki.

Hii vita si rahisi jana nimeona kwenye Aljazeera makazi ya bwana Nyau yamepigwa na drone za hezbollah. Wanasema Hezbollah wana mbinu ya kurusha rockets na drones kwa pamoja ili kuuchanganya mfumo na jana drone pasipo kugundulika iliingia eneo ambapo wanaishi politicians na matajiri wa Israeel na kushambulia nyumba ya bwana nyau. Video ya drone ilionyeshwa lakini Israel wanadai familia ya Nyau haukuwepo wakwaati wa shambulio hilo hivyo hakuna majeruhi.
Hii si kawaida, ukiona underdog ameanza walau kugusa gusa hadi makazi ya boss mkuu, hii si habari njema. Hii vita naona ndo kwanza inaelekea kunako.
Watakufa watu kibao mpaka ushindi kamili kupatikana kwa Israel na bado najua Israel itaishambulia Iran na mara hii nadhani shambulio huenda ni kumuua Ayatollah au rais wa Iran na hapo kitakachofuata Mungu ndiye anayejua.
 
Back
Top Bottom