Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli kwa ishetani ule uliofanywa octoba 7, hakuna wa kuwaonea huruma hawa magaidi.
Tunaumizwa tu na vifo vya watoto wasio na hatia, wasiojua chochote. Na haya magaidi yanajificha katikati ya watoto na watu wasio na hatia ili wauawe.
Wataaza na akina Boko Haram....ISIS.....Hii dini ni janga la dunia....
Sasa hiyo jamii ilikua aishi maeneo hayo? Na hata wasingeita hiyo nchi jina la Israel wangechagua jina lolote lakini bado wangebaki kuwa ni jamii ya wayahudi.Ndio maana sitaki kujadiliana na wewe kwasababu huna unalojua.
Hapa inazungumziwa jamii ya wana wa Israel sio taifa la Israel.
Hakuwahi kukuwa na taifa la Israel.
Mwaka 1920 ilikuja proposal ya kuunda taifa la kiarabu na kiyahudi UK ambaye ndiye alikua anaitawala eneo zima alikataa kuundwa kwa taifa la kiyahudi na akaendelea na Mandatory state of Palestine.
Hadi kufikia 1947 ndio resolution ikaletwa ndio akakubali kuundwa kwa taifa la kiyahudi.
Ila kulikua na jamii yao.
Bro nakuomba usini quote ngojea niku block.
Ndiyo mapumbavu namba moja kwa akili zake ziro. Na ndiyo maana baada ya kuona kasababisha balaa anajifanya kushambulia Israel. Makundi yake yote aliyoyaweka kwa ajili ya kushambulia Israel hayajafanikiwa.Pia Ayatollah alipiga hesabu kwamba USA iko busy na Ukrain so Hamas watajipigia tu Israel kama ngoma.
Ayatollah mjinga sana.
Utaisha siku Iran akitoa makundi yake aliyoanzisha kupigana na Israel. Mzee Arafat alikua ataki huu ujinga wa hamasNjia zipo lakini USA hataki,u mzozo utajua kuisha siku China na Russia waamue kuisiadia Palesitina..kwa kweli jamaa wanaonewa kwwli.
Kumbe ni dini ya kiislamu ndiyo iliyorusha mabomu October 7. Asante kwa kutujuza maana wengine tulikua hamas. Kumbe hamasi ni kundi la kiislamu. Hongera nduguNyie kondoo msichokijua ni kua hakuna muislam ambae yuko vitani agaogopa kufa ,,hata muuwe vipi Palestine itakua huru tuh
Sio amejificha kamanda ameakaa kwenye sofa huku akimfatilia adui taratibuWakuu,
IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.
Kwenye video hii, Sinwar anaonekana akiwa ameumia mkono na anajificha ficha kwenye makochi na huko mwishoni anaonekana akiinua fimbo na kutaka kupiga hiyo drone.
Kiukweli inatia huruma. Ukiwaza huyu ndio alikuwa Mastermind wa shambulio la Oktoba 7 mwaka jana, unapata mawazo mengi sana.
Na hapa inaonesha mabodyguard wake walikuwa wamemkimbia au wameshafariki.
Wanasubiri Ahera wamleHahaha kwanini MAJINI hayasaidii viumbe wa Allah wanapopigwa hadi kuuwawa? Niliwahi sikia huyu jamaa alikuwa analindwa na majini asiuwawe, yalienda likizo?
Lile shambulio alitengeneza Netenyau mwenyewe ili ahepe kifungo huyo jamaa ni mla rushwa na jambazi damu zote anamwaga ili tu abakie mamlakani sasa wabamuuliza maswali hana majibu mateka wako wapi???? Wala hana mpango kuwaokoa mateka
Sio amejificha kamanda ameakaa kwenye sofa huku akimfatilia adui taratibu
Sio amejificha kamanda ameakaa kwenye sofa huku akimfatilia adui taratibu
Hii vita si rahisi jana nimeona kwenye Aljazeera makazi ya bwana Nyau yamepigwa na drone za hezbollah. Wanasema Hezbollah wana mbinu ya kurusha rockets na drones kwa pamoja ili kuuchanganya mfumo na jana drone pasipo kugundulika iliingia eneo ambapo wanaishi politicians na matajiri wa Israeel na kushambulia nyumba ya bwana nyau. Video ya drone ilionyeshwa lakini Israel wanadai familia ya Nyau haukuwepo wakwaati wa shambulio hilo hivyo hakuna majeruhi.Wakuu,
IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.
Kwenye video hii, Sinwar anaonekana akiwa ameumia mkono na anajificha ficha kwenye makochi na huko mwishoni anaonekana akiinua fimbo na kutaka kupiga hiyo drone.
Kiukweli inatia huruma. Ukiwaza huyu ndio alikuwa Mastermind wa shambulio la Oktoba 7 mwaka jana, unapata mawazo mengi sana.
Na hapa inaonesha mabodyguard wake walikuwa wamemkimbia au wameshafariki.