Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Aliyewashauri hawa jamaa wafanye lile shambulio la October 7 aliwaingiza chaka asee.

Mimi bado naamini kuna njia za amani za kumaliza huu mgogoro baina ya haya mataifa.
Njia zipo lakini USA hataki,u mzozo utajua kuisha siku China na Russia waamue kuisiadia Palesitina..kwa kweli jamaa wanaonewa kwwli.
 
Ukiona mabano kwenye tafsiri za Quran umejua Allah haeleweki so wanamrekebisha akili ili aeleweke... Allan and Mudy walikuwa Naive
 
Kaka kasome tena,hezbollah nae anatetea eneo lake mabalo Israel anataka kulichukua kimabavu huko Lebanon.
 
Sinwar alikuwa hapigani bali alikuwa kwenye harakati za kuhamia eneo lingine ndio majanga yakamkuta kukutana na white boys Labda ile fimbo yake aliyotaka kuipiga small drone
 
Sinwar alikuwa hapigani bali alikuwa kwenye harakati za kuhamia eneo lingine ndio majanga yakamkuta kukutana na white boys Labda ile fimbo yake aliyotaka kuipiga small drone
Ulikuwepo wewe
 
Njia zipo lakini USA hataki,u mzozo utajua kuisha siku China na Russia waamue kuisiadia Palesitina..kwa kweli jamaa wanaonewa kwwli.

China mwenyewe anashida na India na Taiwan aje anisaidie Palestina kivipi?. Urusi ana shida na Crimea na maeneo mengine ya Ukraine. Hao magaidi ndio wameiharibu amani ya Palestina. PLO na Israel walishakubaliana kabla ya Hamas kuiteka Gaza mpaka Leo.
 
Historia gani wewe unaijua wwngine hatuijui,Israel kwa kushirikiana na USA wamechukua eneo la Palestina kwa mabavu.

Mabavu? Kwanza eneo lilikuwa kinaitwa Judea wale wajinga wa Uturuki ndio wakapaita Palestina. Ingawa Palestina ni Jordan ya Leo.
 
Hii sinema nitaiamini Hamas wakisibitisha. Tusije tukafanyiwa propaganda kama kifo cha Osama bin laden. Kwanini ilihitajika DNA test? Ialialibika sana kiasi cha kutomtambua? Kwanini Hamas hawajatoa tamko?
Viongozi wa juu wamemalizwa,nani atoke huko kwenye mashimo ya ngiri aje atoe tamko auawe
 
Viongozi wa hezbullah na hamas wanauliwa kirahisi sana kama kuku tu why? Wanazidiwa ujanja hadi na joseph kony?
 
Aliyewashauri hawa jamaa wafanye lile shambulio la October 7 aliwaingiza chaka asee.

Mimi bado naamini kuna njia za amani za kumaliza huu mgogoro baina ya haya mataifa.
Kuna taarifa kwamba huyu ndio aliamuru tukio lifanyike bila kuwashirika viongozi wenzake,na pia viongozi wenzake walikuwa hawamkubali kwa sababu anapenda kutumia mabavu sana kuliko diplomatic
 
uzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia sn

Kweli uko nyuma....Hali halisi ya Hamas kwa sasa unaijua...! Kutembea na ulinzi mkubwa ndio kitu cha kwanza cha kukiepuka! Unakuwa na watu wachache ambayo ni very very loyal! Ndio kakaa muda mrefu! Kundi kubwa la ulinzi unakuwa betrayed haraka sana! Utauzwa......Ndio maana kaauwa na watu watano tu! Anyway....Nimemkumbuka Joshua Mollel......Jamaa alileta maafa hata Tanzania...!

Kuna taarifa kwamba huyu ndio aliamuru tukio lifanyike bila kuwashirika viongozi wenzake,na pia viongozi wenzake walikuwa hawamkubali kwa sababu anapenda kutumia mabavu sana kuliko diplomatic

Mkuu ni kwamba hata go ahead ya kushambulia October 7, Iran supporter wake mkubwa hakuwaambia! Na hata Khalid Masheel na Marehemu Hanniyeh walijua baada ya tukio! Lakini hawakuwa na jinsi, alipolianzisha ilibidi wamuunge mkono! Alikuwa na misimamo but Not good in strategy.....Swala kubwa Je alifikiri Israel retaliation? Yeye alijua Lazima Iran na Hezbollah wataingia vitani haraka! Hakufikiri baada ya hapo! Inakumbusha Second World War, Japan ilimstukiza USA Pearl Harbor, na ni kweli lilikuwa pigo kubwa, Lakini Japan hailufikilia baada ya hapo!

Sinwar alidhani SUPPORT ya Waarabu itakuwa kubwa....utadhani hawajui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…