Ukumbuke ugomvi haujaanza Oktoba 7.Hapa kinalipwa kisasi Cha October 7 mwaka Jana. Bado kisasi Cha makombora 180 hakijaanza kulipa. Hii ni hatari
Fuatilia historia ya taifa la Israel vzr ,Hizi fikra zako za uongo unazitoaga wapi!?
Nani kakwambia Palestina wazo lao kuifuta Israel!?
Hivi ulifuatilia harakati za Yasser Arafat!?
Alikua akisisitiza shida ya Palestina ni kupata uhuru basi.
Ila kila Palestina ikikaa Israel inataka kutanua ardhi zake.
Israel ni wakorofi ndio maana kihistoria wamenyanyasika na kupigwa kila eneo.
Hapa ndio napata picha kwanini miaka ya 1920 UK ilikataa Israel kuwa na taifa lake.
Unadhani UK alikua ni mpumbavu!?
Ana akili kuliko wewe aliliona hili likija.
Ukiokoka wewe na Benjamen Nyau, inatosha sikuna moto pia wameumbiwa watu?Inahuzunisha kwamba amekufa akiwa muumini wa hiyo dini ya shetani, hakupata fursa kuokoa nafsi yake.
Oktoba 7 Hamas waliua waisrael wangapi ?
Naijua kuliko uijuavyo wewe.Fuatilia historia ya taifa la Israel vzr ,
Kwa akili zako ugomvi ulianzia Oktoba 7!?Oktoba 7 Hamas waliua waisrael wangapi ?
Risasi zilie na limepigwa bomu?uzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia sn
Acha uongo eti ulaya wanaichukia Israel hahahaha yaani wachukie ndugu zao halafu wawapende magaidi ya kiarabu🤣🤣🤣🤣🤣Usisahau alianza Israel Agosti 23 kukanyaga wabedui Khani Younis.
Usisahau Antonio Gutteres alisema ugomvi haujaanzia Oktoba 7.
Ndio maana safari hii viongozi wengi wa Ulaya wameikataa Israel na wanaichukia Israel.
Usidhani hawajui kama Israel ndio mkorofi.
Ningekuwa Mkuu wa Nchi ningevunja uhusiano na Israel na kumrejesha balozi wao nyumba haraka sana.Sababu kubwa ya kuvunja uhusiano ni Israel kushindwa kulinda raia wake dhidi ya magaidi.Dah! Anatia huruma sana.
Imetosha sasa. Nadhani kama ni somo watakuwa washalipata.
Wao [Hamas] ni non-state actors. Ni wanamgambo tu. Hawana tofauti na sungusungu.
Hawawezi kupambana na jeshi la Israel linalobebwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, na nchi zingine za magharibi.
Waislamu wenzao wa Misri, Saudia, na kwingineko, hawawaungi mkono vile ambavyo Israel inaungwa mkono na nchi za magharibi.
Taswira za vitoto vidogo vilivyolipuliwa na mabomu huko Gaza zinasononesha sana.
Mji wa Gaza umebaki kuwa magofu tu.
Waisraeli takribani 1,300 na ushee waliuliwa hiyo Oktoba 7, 2023.
Mpaka kufikia sasa, zaidi ya Wapalestina 40,000 wamekufa toka hii vita ianze.
Ni mpaka Wapalestina wangapi wafe ili Isael iridhike?
Wengi wa hao marehemu, si ajabu hata hawana uhusiano wowote ule na Hamas.
Enough is enough. This carnage has to end immediately.
Hiyo ni historia ya msikitini.Naijua kuliko uijuavyo wewe.
Usiniletee historia za biblia za pauka pakawa.
Historia zenyewe za uhalisia Israel imeundwa 1947-1948.
Na kama isingekua msukumo wa USA basi isingeundwa hiyo Israel.
Tena UK ndio ilikataa kabisa Israel kuundwa toka 1920 baada ya lile eneo kuporwa kutoka Ottoman empire 1918.
Afe tu hakuna namnaWakuu,
IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.
Kwenye video hii, Sinwar anaonekana akiwa ameumia mkono na anajificha ficha kwenye makochi na huko mwishoni anaonekana akiinua fimbo na kutaka kupiga hiyo drone.
Kiukweli inatia huruma. Ukiwaza huyu ndio alikuwa Mastermind wa shambulio la Oktoba 7 mwaka jana, unapata mawazo mengi sana.
Na hapa inaonesha mabodyguard wake walikuwa wamemkimbia au wameshafariki.
Kwani wewe usipoamini kuna madhara gani kwa wengine ?Nitaaminije kua hii ni Israel halisi!!?naona maruwe ruwe tu!!
Usibishe waliotoa hiyo video ni Israel kuonyesha moments za mwisho wenzetu wana technologia kubwa wanabomoa jengo kwa RPG wanarusha drone wakiwa kwa mbali kiasi ile drone iinapita palipobomoka inakuwa na sophisticated camera ili kujua uwepo wa adui na idadi ya maadui drone ikitoka ndo wanapeleka moto kisawa sawa.uzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia sn
Huko kwenye mahospital ndo wanakokimbilia magaidi,lazima yauliwe,huwezi ukafanya ugaidi halafu unaenda kujificha sehemu ya huduma za kijamii ili kujikinga na wasio na hatiaWapalestina wanashikiliwa miaka na miaka huko gerezani acha ushabiki , kulipua hospital , sehemu za wakimbizi sio sahihi hakuna vita ya hivyo ...
Miaka yote wanapigwa ile kulipiza ndio wewe unawaona ni wabaya .
Hapana hayakuwa likizo; ila jamaa alikuwa mbishi sana hafuati maelekezo. Yakamchoka.Hahaha kwanini MAJINI hayasaidii viumbe wa Allah wanapopigwa hadi kuuwawa? Niliwahi siki huyu jamaa alikuwa analindwa na majini asiuwawe, yalienda likizo?
Bado mdogo sana , jitambua kijana hao wapalestina wanashikiliwa wengine ni wadogo kabisa , hawana hatia ...Wewe umekaa kishabiki baadae eti unajifanya una upendo 😀 😀Huko kwenye mahospital ndo wanakokimbilia magaidi,lazima yauliwe,huwezi ukafanya ugaidi halafu unaenda kujificha sehemu ya huduma za kijamii ili kujikinga na wasio na hatia
Paletina hawatakuja kupata Kiongozi kama Yasser Arafat, alipendelea kutatua mzozo na Israel Kwa Amani, Waarabu Wakawa hawakubalini naye, wanataka Vita, na Vita hawawezi coz uwezo wao ni Mdogo Sana.Yasser Arafat hayupo tena, Both Waarabu na Israel watamkumbuka sana.