Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Aliyewashauri hawa jamaa wafanye lile shambulio la October 7 aliwaingiza chaka asee.

Mimi bado naamini kuna njia za amani za kumaliza huu mgogoro baina ya haya mataifa.
Ayatollah ndio aliwashauri na hii ilikuwa Israel apigwe mtungo ila Netanyau aliwashtukia mapema kwakuwa Hizbullah hakuwa na sababu ya kushambulia kama walivyofanya Hamas ndio maana alikuwa anawachokoza Israel ili ashambulie wapate sababu ya kuvamia kama wenzao lakin BIBi akaona awaache amalizane na Hamas kwanza Kisha atarudi kwao kama watakuwa bado wanaendelea kurusha rockets zao ndani ya Israel na ndio hiki tunachokishuhudia kikifanyika huko Lebanon.
 
Hasira na uzoefu aloupata IDF huko Gaza; anautumia vizuri kumwadabisha Hezbollah na halafu kile kiporo (Iran/Ayatollah) kimeshapashwa moto na ndo Mwamba anaelekea huko. Ile supu ya kushushia (Houth) naona mzee USA juzi kati hapo alienda na B-2 kuona kama inafaa au imesha chacha.
NB: Haikubaliki kamwe kwamba unafanya uhuni mbele za watu wastaarabu halafu eti uachwe hv hv. Hakuna. Lazima Utafunzwa adabu.
 
Paletina hawatakuja kupata Kiongozi kama Yasser Arafat, alipendelea kutatua mzozo na Israel Kwa Amani, Waarabu Wakawa hawakubalini naye, wanataka Vita, na Vita hawawezi coz uwezo wao ni Mdogo Sana.
Lakini si wamefanikiwa kuipata vita kama walivyokuwa wanataka? Waliyavulia maji nguo na sasa wanayaoga-hakuna shida.
 
Hizi fikra zako za uongo unazitoaga wapi!?
Nani kakwambia Palestina wazo lao kuifuta Israel!?
Ukiizungumzia Palestine unazungumzia Hamas na katka chata Yao wameweka wazi kabisa kwamba hakuna taifa linaloitwa Israel na linatakiwa lifutwe ktk uso wa Dunia.

Wewe mmatumbi wa kizimkazi ni nani upingane nao?
 
Israel wanatumia pesa nyingi sana kuwahonga Wato siri.

Watu wa ndani kwenye vikosi wanatoa siri kuhusu viongozi hawa. Sio jambo rahisi kutambua mtu analala wapi anashinda wapi tena kipindi hiki cha kujihami
 
Ukiizungumzia Palestine unazungumzia Hamas na katkat chata Yao wameweka wazi kabisa kwamba hakuna taifa linaloitwa Israel na linatakiwa lifutwe ktk uso wa Dunia.

Wewe mmatumbi wa kizimkazi ni nani upingane nao?
Hayo ni sehemu tu ya Ilmu wanayopataga huko Madrasa tul kizimkazi wanakoendaga alasiri.
 
Mateka wakiokolewa vita inakuwa haina umuhimu.Kama.Israel anaweza akajua viongozi wa Hamas na Hizbullah walipo,unadhani hajui mateka wako wapi?
Akishawaokoa mateka vita inakosa relevancy
 

Anatia huruma anaipiga drone kwa fimbo?siyo bunduki tena?yaani amekufa kama kibaka kama panya....nimeumia sana.
 
Hii miislamists inashangaza sana! Ati Jeshi mu dini za watu! Hawaju uliż i kuwa Hindu wapo Buddha wapo lakini hakuna mtu Ana shida nao. Bali Islam ni kwa sababu dini yao imejaa chuki na uuaji ikiwalenga wayahudi na wakristo bila kusa hau others they call infidels
 
Amani haiwezi kupatikana toka kwa upande mmoja tu.

Wapalestina hawajawa hivyo walivyo bila sababu.

Israel imewanyanyasa sana kwa muda mrefu.

Pande zote mbili zinawajibika katika kuleta amani.
Ile ni vita yenye pande mbili,,,ni vita ya kidini na pia vita ya urithi...Mpalestina anadai Jerusalem (au Kwa kiislam quds),Hebron na west bank yote ni yao dai lisiloingia akiliñi hata kidogo kwa wayahudi maana ni urithi wenye signature yao kila mahali...

Wao wapalestina na wafadhili wao WA kiislam wanajioña ni Bora na wenye wajibu WA kulipata eneo lao Kwa kutumia nguvu wakiwaona wayahudi makafiri na watu wasio na uhalali kukaa kwenye lile eneo..Na wakijifariji kwamba quds ni eneo lao takatifu ambalo watalipata kwa kupigana jihad..
Kitu kibaya ama kizuri myahudi anayachukulia pia hayo maeneo kwamba ni ya kwake aliopewa na Mungu na urithi toka Kwa babu zake..Na wao pia Wana Ile Sera ya jino Kwa jino,,shingo Kwa shingo na uhai kwa uhai..Na wanawaona hao wenye kupigana nao kama mbwa tu.

Ninavyojua kuna maeneo Palestinian wasiwaze kuyapata maisha Yao yote hata ikitokea hio two state solutions Kwa bahati mbaya... Jerusalem na west bank of Jordan..Wàtapata maeneo Israel atakayojisikia kuwapa Tu...

N.B Vita ya Israel na Palestine inatupeleka hadi kwenye mlango WA mambo mapya yanayotakiwa yatokee.Maana mambo yote mapya hutokea baada ya vita kubwa.
 
Israel wanatumia pesa nyingi sana kuwahonga Wato siri.

Watu wa ndani kwenye vikosi wanatoa siri kuhusu viongozi hawa. Sio jambo rahisi kutambua mtu analala wapi anashinda wapi tena kipindi hiki cha kujihami
Yeah. Pesa inauwezo wa kuhamisha milima. Mtu anajitafakari anachopigania ni nini na maisha yenyewe ndo haya haya. Hao mabikra 72 na mito ya pombe ni baadaye.
 
Hio video sio Israel kachia hio ni aibu kwao walisema jamaa anajificha kumbe aliwauwa askari hapo wengi tu wa Israel kabla ya yeye kuliwa. Walitaka ajisalimishe akakataa mpaa wakamuwa na hapo alikuwa kisha umia .
Haya umeambiwa na sheikh kitinku.jamaa ameuawa kama panya, kama kibaka. Hakuna hata ushujaa....hawakumtaka akiwa hai.walitaka maiti yake tu.amechanganyikiwa drone anaipiga kwa fimbo....kafa kifala sana.
 
Tatizo aliye chukua video alikuwa ana akili kama za nyau, alidhani ni sifa kumbe imewadharaulisha. Akili ni kitu muhimu sana. Si kila mwenye akili anazitumia akili 😄
Jamaa amedhalilika sana....huyu ndo kiongozi anakufa kama mbwa koko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…