OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Yeah. Walimchinja hata homeboy wangu Mollel.Walichokifanya october 7 inasikitisha sana,walichinja watu na kuwachoma kama mishikaki , wanastahili kipigo haswa kwa walichofanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah. Walimchinja hata homeboy wangu Mollel.Walichokifanya october 7 inasikitisha sana,walichinja watu na kuwachoma kama mishikaki , wanastahili kipigo haswa kwa walichofanya.
Ayatollah ndio aliwashauri na hii ilikuwa Israel apigwe mtungo ila Netanyau aliwashtukia mapema kwakuwa Hizbullah hakuwa na sababu ya kushambulia kama walivyofanya Hamas ndio maana alikuwa anawachokoza Israel ili ashambulie wapate sababu ya kuvamia kama wenzao lakin BIBi akaona awaache amalizane na Hamas kwanza Kisha atarudi kwao kama watakuwa bado wanaendelea kurusha rockets zao ndani ya Israel na ndio hiki tunachokishuhudia kikifanyika huko Lebanon.Aliyewashauri hawa jamaa wafanye lile shambulio la October 7 aliwaingiza chaka asee.
Mimi bado naamini kuna njia za amani za kumaliza huu mgogoro baina ya haya mataifa.
Lakini ukumbuke kwamba Mtu husamehewa makosa yake baada ya kukiri na kuomba msamaha. Lakini hawa magaidi wameshupaza shingo. Wacha wanyooshwe kidogo akili ziwakae sawa sawa.Israel you are too much
Please wasameheni hawa magaidi
We need peace
Mchambuzi wa Kizimkaziuzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia sn
Hasira na uzoefu aloupata IDF huko Gaza; anautumia vizuri kumwadabisha Hezbollah na halafu kile kiporo (Iran/Ayatollah) kimeshapashwa moto na ndo Mwamba anaelekea huko. Ile supu ya kushushia (Houth) naona mzee USA juzi kati hapo alienda na B-2 kuona kama inafaa au imesha chacha.Ayatollah ndio aliwashauri na hii ilikuwa Israel apigwe mtungo ila Netanyau aliwashtukia mapema kwakuwa Hizbullah hakuwa na sababu ya kushambulia kama walivyofanya Hamas ndio maana alikuwa anawachokoza Israel ili ashambulie wapate sababu ya kuvamia kama wenzao lakin BIBi akaona awaache amalizane na Hamas kwanza Kisha atarudi kwao kama watakuwa bado wanaendelea kurusha rockets zao ndani ya Israel na ndio hiki tunachokishuhudia kikifanyika huko Lebanon.
Lakini si wamefanikiwa kuipata vita kama walivyokuwa wanataka? Waliyavulia maji nguo na sasa wanayaoga-hakuna shida.Paletina hawatakuja kupata Kiongozi kama Yasser Arafat, alipendelea kutatua mzozo na Israel Kwa Amani, Waarabu Wakawa hawakubalini naye, wanataka Vita, na Vita hawawezi coz uwezo wao ni Mdogo Sana.
Ukiizungumzia Palestine unazungumzia Hamas na katka chata Yao wameweka wazi kabisa kwamba hakuna taifa linaloitwa Israel na linatakiwa lifutwe ktk uso wa Dunia.Hizi fikra zako za uongo unazitoaga wapi!?
Nani kakwambia Palestina wazo lao kuifuta Israel!?
Hapana, hana roho mbaya hata kidogo. Ubongo huo uliomwagwa ndo uliokuwa Mastermind kwa kilichojiri tar.7 Okt 2023. Na DNA results zimethibitisha pasi na shaka kuwa huyo kweli ndiye Y. Sinwar halisi.Una roho mbaya sn
Israel wanatumia pesa nyingi sana kuwahonga Wato siri.Wakuu,
IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.
Kwenye video hii, Sinwar anaonekana akiwa ameumia mkono na anajificha ficha kwenye makochi na huko mwishoni anaonekana akiinua fimbo na kutaka kupiga hiyo drone.
Kiukweli inatia huruma. Ukiwaza huyu ndio alikuwa Mastermind wa shambulio la Oktoba 7 mwaka jana, unapata mawazo mengi sana.
Na hapa inaonesha mabodyguard wake walikuwa wamemkimbia au wameshafariki.
HahahahWatoto wa 2000 wanasema "Kimemramba" wa 1990s " Kayatimba"
Wale ni Wazungu sheikh huwa hawakurupuki sio kama viongozi wako wa CCM.Kwanini ilihitajika DNA test?
Hayo ni sehemu tu ya Ilmu wanayopataga huko Madrasa tul kizimkazi wanakoendaga alasiri.Ukiizungumzia Palestine unazungumzia Hamas na katkat chata Yao wameweka wazi kabisa kwamba hakuna taifa linaloitwa Israel na linatakiwa lifutwe ktk uso wa Dunia.
Wewe mmatumbi wa kizimkazi ni nani upingane nao?
Mateka wakiokolewa vita inakuwa haina umuhimu.Kama.Israel anaweza akajua viongozi wa Hamas na Hizbullah walipo,unadhani hajui mateka wako wapi?Mateka wamshaokolewa? Au ndiyo anapiga tu majengo ya raia kuua watoto na wanawake?
Amekata tamaa tena kuokoa mateka wake wanaoshikiliwa na HAMAS kwa zaidi ya mwaka sasa?
Tulidanganywa sana nguvu ya Israel lakini ukweli ni kwamba Israel ni sawa na Rwanda tu inayosifiwa kuwa na jeshi imara kumbe ni nguvu za mabeberu zipo nyuma yao ili kupora mali za Congo.
Wakuu,
IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.
Kwenye video hii, Sinwar anaonekana akiwa ameumia mkono na anajificha ficha kwenye makochi na huko mwishoni anaonekana akiinua fimbo na kutaka kupiga hiyo drone.
Kiukweli inatia huruma. Ukiwaza huyu ndio alikuwa Mastermind wa shambulio la Oktoba 7 mwaka jana, unapata mawazo mengi sana.
Na hapa inaonesha mabodyguard wake walikuwa wamemkimbia au wameshafariki.
Ile ni vita yenye pande mbili,,,ni vita ya kidini na pia vita ya urithi...Mpalestina anadai Jerusalem (au Kwa kiislam quds),Hebron na west bank yote ni yao dai lisiloingia akiliñi hata kidogo kwa wayahudi maana ni urithi wenye signature yao kila mahali...Amani haiwezi kupatikana toka kwa upande mmoja tu.
Wapalestina hawajawa hivyo walivyo bila sababu.
Israel imewanyanyasa sana kwa muda mrefu.
Pande zote mbili zinawajibika katika kuleta amani.
Yeah. Pesa inauwezo wa kuhamisha milima. Mtu anajitafakari anachopigania ni nini na maisha yenyewe ndo haya haya. Hao mabikra 72 na mito ya pombe ni baadaye.Israel wanatumia pesa nyingi sana kuwahonga Wato siri.
Watu wa ndani kwenye vikosi wanatoa siri kuhusu viongozi hawa. Sio jambo rahisi kutambua mtu analala wapi anashinda wapi tena kipindi hiki cha kujihami
😁😁Filamu zinakudanganya sana kiongozi.
Risasi zingelia sana au sio?
Haya umeambiwa na sheikh kitinku.jamaa ameuawa kama panya, kama kibaka. Hakuna hata ushujaa....hawakumtaka akiwa hai.walitaka maiti yake tu.amechanganyikiwa drone anaipiga kwa fimbo....kafa kifala sana.Hio video sio Israel kachia hio ni aibu kwao walisema jamaa anajificha kumbe aliwauwa askari hapo wengi tu wa Israel kabla ya yeye kuliwa. Walitaka ajisalimishe akakataa mpaa wakamuwa na hapo alikuwa kisha umia .
Jamaa amedhalilika sana....huyu ndo kiongozi anakufa kama mbwa koko?Tatizo aliye chukua video alikuwa ana akili kama za nyau, alidhani ni sifa kumbe imewadharaulisha. Akili ni kitu muhimu sana. Si kila mwenye akili anazitumia akili 😄