Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Wamemuua Sinwar Lakini ataibuka mwingine zaidi ya Sinwar !! ALikuwepo Gerge Habash wakamuua , Alikuwepo Yassir Arafat akatangulia mbele ya haki wakaja kina Haniyey, Sinwar nk.Baado wapo tele HAMAS ni imani haitakufa milele inshaallah
 
Waw! That's fine. Kama ni Kweli Waarabu hawana cha kupoteza labda ni mufilisi i.e. hawana kitu tena au vitu vitu walivyokuwa navyo vimeisha n.k. lakini mbona wanapiga sana kelele yan hawaishi kulia lia kwa UN? Isitoshe inaonekana Waarabu ni kama wanafanya makusudi licha ya kusikilizwa na UN kwa kuwekewa UNIFIL. wao wanaendelea na maroketi yao.
Nchi nyingine kuvunja uhusiano au kususa hotuba ni miongoni mwa mambo ya Kisiasa sio ya kushabikia sana ili ku-justify anguko la Israel. Kama ni hasaraukweli ni kwamba WOTE wanapata hasara tena kubwa kutokana na vita inayoendelea -wanatofautiana viwango tuu.
 
Wamemuua Sinwar Lakini ataibuka mwingine zaidi ya Sinwar !! ALikuwepo Gerge Habash wakamuua , Alikuwepo Yassir Arafat akatangulia mbele ya haki wakaja kina Haniyey, Sinwar nk.Baado wapo tele HAMAS ni imani haitakufa milele inshaallah
Sawa.. nao watadedishwa tu
 
Kuna wapalestina wengi ambao ni waisraeli tena wengine ni wanajeshi. Shida ya hawa watu ni kauli mbiu yao kutaka kuangamizwa taifa la Israel. Hebu fikiria hamas leo wakiweka silaha chin kutakuwa na aman je jews wakiweka silaha chin si wamekwisha?
Sidhani kama Hamas wakiweka silaha chini Israel itaendelea na vita, huwezi kuwa unapigana mtu ambaye hakupigi
 
Huyo ukimwambia saivi achague visa ya kwenda kuishi taifa la kiislamu Afghanistan, Iran, Saud Arabia au Canada na Uingereza,, atakimbikia kwa "makafiri" Kwa mwendo wa ngiri mkia juu
Kuna mataifa yana maisha mazuri sana kama Qatar,Kuwait,Brunei,Uturuki,Malaysia, Indonesia n.k n.k,kwanini nihangaike kwenda Ulaya!?
My dream nation is Turkiye.
Nchi ambayo hata kupata uraia ni rahisi haswa ukigundulika muislam.
 
Dini ya kiislamu imekuja toka binadamu wa kwanza kuja duniani baba yetu Nabii Adam A.S hata yesu hajazaliwa na mama maryam, ukiristo ulianzishwa ni akina paulo ambaye ata yesu hakumuona pia
Quran 39: 12 Suratul Zumar (Makundi / Vikosi)
"Na pia nimeamrishwa niwe wa kwanza wa (viumbe) wanaojisalimisha (kwa mwenyezi Mungu)"

Quran 6: 14 Suratul Al- An'am (Wanyama)
Sema "je nifanye mola (wangu) asiyekuwa Mwenyezi Mungu, (Ambaye ndiye) muumba wa mbingu na ardhi" naye hulisha wala halishwi" sema hakika mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza katika wenye kusilimu na (nikaambiwa). usiwe miongoni mwa wanaomshirikisha (Mwenyezi Mungu).
 
Umeshachanganya mambo.
Unajua sababu ya kuwepo UNIFIL pale Lebanon!?
Kafuatilie sababu ni ipi.
Kama hiyo UNIFIL ina matokeo chanja
1)Kwanini haikumuwajibisha Israel ilipomuua muandishi wa habari kwa sniper Sheriin Abu Akleh!?
2)Kwanini haikuzuia utanuaji wa makazi West bank ya wazayuni!?
3)Kwanini haikuzuia uvamizi wa IDF na wazayuni Khani Younis Agosti 23 iliyopelekea mashambulizi Oktoba 7?
Inafanya nini hiyo UNIFIL!??

Kitendo cha mataifa makubwa tena ya Ulaya kususia kikao UNGA na kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel inaonesha dunia imeshachoka kuwa vinyamkela vya USA na kufumba macho kufumbia uchafu wa Israel.
Ulimsikia waziri wa haki za binadamu wa Spain!?
Alisema "USA inashupalia vita Ukraine dhidi ya Russia na inaacha mgogoro timamu wa uvamizi wa Israel huku Israel ikikiuka hadi sheria za UN,inachofanya Israel kama hakijakemewa basi mataifa mengine yatafanya hata kwa mataifa yetu".
Kufikia hatua hadi super power anasemwa hivyo jua diplomatically Israel ameanza kuanguka.
Hii ina athari kisiasa na kiuchumi kiujumla.

Kulia waarabu washalia sana tena sana hata sasa wamezoea,ila je Israel wao vipi!?
Leo hii ukiwaita waarabu pale West Bank hadi vitoto washike silaha watakubali kwasababu wanadai uhuru,kama mtu hauna uhuru una kitu gani cha kupoteza!?
Ila nenda pale Israel ita mkusanyiko watu kujiunga vitani uone kama watajitokeza.
Juzi tu hapa Brigade zao Israel zimepigana ngumi wakitofautiana nani aende Operation ya Lebanon.

Israel kama ikiendekeza ubabe kamwe haitaishi kwa amani.
 
Wamemuua Sinwar Lakini ataibuka mwingine zaidi ya Sinwar !! ALikuwepo Gerge Habash wakamuua , Alikuwepo Yassir Arafat akatangulia mbele ya haki wakaja kina Haniyey, Sinwar nk.Baado wapo tele HAMAS ni imani haitakufa milele inshaallah
Mbona wao wanauliwa tu mbona hawamuui Netanyahu ama Kiongozi wa IDF ?
 
hakuna wakati Palestine iliwai kubaki wanawake na watoto watupu.
hizi hadithi Mnazitunga vichwani mwenu ilikupata Sympathisers.
Bure kabisa.
 
Kuna mataifa yana maisha mazuri sana kama Qatar,Kuwait,Brunei,Uturuki,Malaysia, Indonesia n.k n.k,kwanini nihangaike kwenda Ulaya!?
My dream nation is Turkiye.
Nchi ambayo hata kupata uraia ni rahisi haswa ukigundulika muislam.
Hao Waturuki unaowasema wamekimbilia Western kuosha na kulea vizee wa kizungu.. Germany pekee kuna Waturuki milion 5 waliokimbia hali ngumu ya maisha kwao.
 
Mara nyingi Wakiristo walioo
hakuna wakati Palestine iliwai kubaki wanawake na watoto watupu.
hizi hadithi Mnazitunga vichwani mwenu ilikupata Sympathisers.
Bure kabisa.



View: https://youtu.be/IIHtjH6UkBk?si=Wtk_Dgv68cWKP7-l
Sijui kama unafahamu English. Hakuna haja ya kuandikia mate na wino upo. Nadhani utaamini hawa wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…