Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi naungana na wewe. Ila hawa jamaa kinachonishangaza ni nini kinawafanya wanawazuia mateka muda wote wakat hicho ndio chanzo cha kuendelea vita hii.Dah! Anatia huruma sana.
Imetosha sasa. Nadhani kama ni somo watakuwa washalipata.
Wao [Hamas] ni non-state actors. Ni wanamgambo tu. Hawana tofauti na sungusungu.
Hawawezi kupambana na jeshi la Israel linalobebwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, na nchi zingine za magharibi.
Waislamu wenzao wa Misri, Saudia, na kwingineko, hawawaungi mkono vile ambavyo Israel inaungwa mkono na nchi za magharibi.
Taswira za vitoto vidogo vilivyolipuliwa na mabomu huko Gaza zinasononesha sana.
Mji wa Gaza umebaki kuwa magofu tu.
Waisraeli takribani 1,300 na ushee waliuliwa hiyo Oktoba 7, 2023.
Mpaka kufikia sasa, zaidi ya Wapalestina 40,000 wamekufa toka hii vita ianze.
Ni mpaka Wapalestina wangapi wafe ili Isael iridhike?
Wengi wa hao marehemu, si ajabu hata hawana uhusiano wowote ule na Hamas.
Enough is enough. This carnage has to end immediately.
Gaddafi alikuwa mkuu na nguvu kuliko huyu,alivyokutwa kwenye kalavat alikuwa na nani?kifo hakina ushirikauzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia sn
Ukweli ni kwamba Israel imewanyanyasa sana Wapalestina huko Gaza.Hata mimi naungana na wewe. Ila hawa jamaa kinachonishangaza ni nini kinawafanya wanawazuia mateka muda wote wakat hicho ndio chanzo cha kuendelea vita hii.
Nadhani mateka Watakuwa Wamekufa Muda Tu..Hata mimi naungana na wewe. Ila hawa jamaa kinachonishangaza ni nini kinawafanya wanawazuia mateka muda wote wakat hicho ndio chanzo cha kuendelea vita hii.
Kuna wapalestina wengi ambao ni waisraeli tena wengine ni wanajeshi. Shida ya hawa watu ni kauli mbiu yao kutaka kuangamizwa taifa la Israel. Hebu fikiria hamas leo wakiweka silaha chin kutakuwa na aman je jews wakiweka silaha chin si wamekwisha?Ukweli ni kwamba Israel imewanyanyasa sana Wapalestina huko Gaza.
Oktoba 7 haikutokea tu bila sababu. Huwezi kunyanyasa watu kwa muda wote huo halafu kusiwe na resistance.
Huyo Sinwar mwenyewe kazaliwa kwenye kambi ya wakimbizi ya Khan Yunis.
Maisha yake yote kayaishi chini ya manyanyaso ya Israel.
Siwalaumu Wapalestina kwa kupigania utu wao na heshima yao. Nao ni binadamu wanaostahili heshima kama ilivyo kwa binadamu wengine.
Hata wakiwaachia hao mateka, manyanyaso yataendelea tu.
Suluhisho hapo ni Israel kuacha kuwanyanyasa Wapalestina. Kuwaachia wafungwa wote wa Kipalestina. Hamas kuwaachia hao mateka.
Na kukubaliana kila mmoja awe na taifa lake lililo huru.
Imetosha sasa.
Warejeshe miili yao. SimpoNadhani mateka Watakuwa Wamekufa Muda Tu..
Hakika Miku amani ipatikane Gaza kuepusha haya mauaji ya kimbaliDah! Anatia huruma sana.
Imetosha sasa. Nadhani kama ni somo watakuwa washalipata.
Wao [Hamas] ni non-state actors. Ni wanamgambo tu. Hawana tofauti na sungusungu.
Hawawezi kupambana na jeshi la Israel linalobebwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, na nchi zingine za magharibi.
Waislamu wenzao wa Misri, Saudia, na kwingineko, hawawaungi mkono vile ambavyo Israel inaungwa mkono na nchi za magharibi.
Taswira za vitoto vidogo vilivyolipuliwa na mabomu huko Gaza zinasononesha sana.
Mji wa Gaza umebaki kuwa magofu tu.
Waisraeli takribani 1,300 na ushee waliuliwa hiyo Oktoba 7, 2023.
Mpaka kufikia sasa, zaidi ya Wapalestina 40,000 wamekufa toka hii vita ianze.
Ni mpaka Wapalestina wangapi wafe ili Isael iridhike?
Wengi wa hao marehemu, si ajabu hata hawana uhusiano wowote ule na Hamas.
Enough is enough. This carnage has to end immediately.
Mungu wa wakristo kuua kwenye biblia ni sawa.ila wakristo kuuliwa sio sawa?Ndio mpinga Kristo, ni dini ambayo imebuniwa miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, na kabla hajaondoka alitahadharisha kwamba kutakuja mpinga Kristo ambaye atachinja sana Wakristo, sasa hili tunalishuhudia kwenye nyie wavaa makobaz, mkimbieni shetani
Ulikuwepo ? Maana hapo yupo yeye na Askari wa IsraelHio video sio Israel kachia hio ni aibu kwao walisema jamaa anajificha kumbe aliwauwa askari hapo wengi tu wa Israel kabla ya yeye kuliwa. Walitaka ajisalimishe akakataa mpaa wakamuwa na hapo alikuwa kisha umia .
Una roho mbaya snNafurahi jinsi ubongo wake unavyofumuliwa huyo shetani na damu zinaruka hadi kwa camera
Umesoma kwenye hilo jengo kulikua na watu wangapi waliouwawa?uzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia sn
Tatizo aliye chukua video alikuwa ana akili kama za nyau, alidhani ni sifa kumbe imewadharaulisha. Akili ni kitu muhimu sana. Si kila mwenye akili anazitumia akili 😄Ulikuwepo ? Maana hapo yupo yeye na Askari wa Israel
Amani haiwezi kupatikana toka kwa upande mmoja tu.Kuna wapalestina wengi ambao ni waisraeli tena wengine ni wanajeshi. Shida ya hawa watu ni kauli mbiu yao kutaka kuangamizwa taifa la Israel. Hebu fikiria hamas leo wakiweka silaha chin kutakuwa na aman je jews wakiweka silaha chin si wamekwisha?