Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Hapo mkono wa kulia ushaondoka. Yupo kwenye maumivu makali sana na haijulikani km anamiguu yote hapo.
Dàah af baadae wakamrushia bomu lingine ili kumsambaratisha kabisa.
Israel mtoa roho ni NYOKO!
Mtoto akililia wembe mpe
 
Dah! Anatia huruma sana.

Imetosha sasa. Nadhani kama ni somo watakuwa washalipata.

Wao [Hamas] ni non-state actors. Ni wanamgambo tu. Hawana tofauti na sungusungu.

Hawawezi kupambana na jeshi la Israel linalobebwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, na nchi zingine za magharibi.

Waislamu wenzao wa Misri, Saudia, na kwingineko, hawawaungi mkono vile ambavyo Israel inaungwa mkono na nchi za magharibi.

Taswira za vitoto vidogo vilivyolipuliwa na mabomu huko Gaza zinasononesha sana.

Mji wa Gaza umebaki kuwa magofu tu.

Waisraeli takribani 1,300 na ushee waliuliwa hiyo Oktoba 7, 2023.

Mpaka kufikia sasa, zaidi ya Wapalestina 40,000 wamekufa toka hii vita ianze.

Ni mpaka Wapalestina wangapi wafe ili Isael iridhike?

Wengi wa hao marehemu, si ajabu hata hawana uhusiano wowote ule na Hamas.

Enough is enough. This carnage has to end immediately.
 
Hata mimi naungana na wewe. Ila hawa jamaa kinachonishangaza ni nini kinawafanya wanawazuia mateka muda wote wakat hicho ndio chanzo cha kuendelea vita hii.
 
Ukweli ni kwamba Israel imewanyanyasa sana Wapalestina huko Gaza.

Oktoba 7 haikutokea tu bila sababu. Huwezi kunyanyasa watu kwa muda wote huo halafu kusiwe na resistance.

Huyo Sinwar mwenyewe kazaliwa kwenye kambi ya wakimbizi ya Khan Yunis.

Maisha yake yote kayaishi chini ya manyanyaso ya Israel.

Siwalaumu Wapalestina kwa kupigania utu wao na heshima yao. Nao ni binadamu wanaostahili heshima kama ilivyo kwa binadamu wengine.

Hata wakiwaachia hao mateka, manyanyaso yataendelea tu.

Suluhisho hapo ni Israel kuacha kuwanyanyasa Wapalestina. Kuwaachia wafungwa wote wa Kipalestina. Hamas kuwaachia hao mateka.

Na kukubaliana kila mmoja awe na taifa lake lililo huru.

Imetosha sasa.
 
Kuna wapalestina wengi ambao ni waisraeli tena wengine ni wanajeshi. Shida ya hawa watu ni kauli mbiu yao kutaka kuangamizwa taifa la Israel. Hebu fikiria hamas leo wakiweka silaha chin kutakuwa na aman je jews wakiweka silaha chin si wamekwisha?
 
Dah! Anatia huruma sana.

Imetosha sasa. Nadhani kama ni somo watakuwa washalipata.

Wao [Hamas] ni non-state actors. Ni wanamgambo tu. Hawana tofauti na sungusungu.

Hawawezi kupambana na jeshi la Israel linalobebwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, na nchi zingine za magharibi.

Waislamu wenzao wa Misri, Saudia, na kwingineko, hawawaungi mkono vile ambavyo Israel inaungwa mkono na nchi za magharibi.

Taswira za vitoto vidogo vilivyolipuliwa na mabomu huko Gaza zinasononesha sana.

Mji wa Gaza umebaki kuwa magofu tu.

Waisraeli takribani 1,300 na ushee waliuliwa hiyo Oktoba 7, 2023.

Mpaka kufikia sasa, zaidi ya Wapalestina 40,000 wamekufa toka hii vita ianze.

Ni mpaka Wapalestina wangapi wafe ili Isael iridhike?

Wengi wa hao marehemu, si ajabu hata hawana uhusiano wowote ule na Hamas.

Enough is enough. This carnage has to end immediately.
Hakika Miku amani ipatikane Gaza kuepusha haya mauaji ya kimbali
 
Ndio mpinga Kristo, ni dini ambayo imebuniwa miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, na kabla hajaondoka alitahadharisha kwamba kutakuja mpinga Kristo ambaye atachinja sana Wakristo, sasa hili tunalishuhudia kwenye nyie wavaa makobaz, mkimbieni shetani
Mungu wa wakristo kuua kwenye biblia ni sawa.ila wakristo kuuliwa sio sawa?
 
uzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia sn
Umesoma kwenye hilo jengo kulikua na watu wangapi waliouwawa?
 
Kuna wapalestina wengi ambao ni waisraeli tena wengine ni wanajeshi. Shida ya hawa watu ni kauli mbiu yao kutaka kuangamizwa taifa la Israel. Hebu fikiria hamas leo wakiweka silaha chin kutakuwa na aman je jews wakiweka silaha chin si wamekwisha?
Amani haiwezi kupatikana toka kwa upande mmoja tu.

Wapalestina hawajawa hivyo walivyo bila sababu.

Israel imewanyanyasa sana kwa muda mrefu.

Pande zote mbili zinawajibika katika kuleta amani.
 
Back
Top Bottom