physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Fake videoUnaona kabisa nyumba ishabomoka hiyo we unadhani walinzi watasubiri kifusi iwaangukie au wanaona wanazidiwa na makombora halafu wakae tu,inawezekana wamekimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fake videoUnaona kabisa nyumba ishabomoka hiyo we unadhani walinzi watasubiri kifusi iwaangukie au wanaona wanazidiwa na makombora halafu wakae tu,inawezekana wamekimbia
Kwa hiyo hawa ulaya,wanawapenda magaidi wa Israel,waliomsulubu Yesu,na kumuua,na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa?Wakati dini mbili kuu za dunia,wanamuamini Yesu na kuamuni kuwa atarudi tena mwisho wa dunia.Acha uongo eti ulaya wanaichukia Israel hahahaha yaani wachukie ndugu zao halafu wawapende magaidi ya kiarabu🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio wanaipenda Israel taifa teuleKwa hiyo hawa ulaya,wanawapenda magaidi wa Israel,waliomsulubu Yesu,na kumuua,na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa?Wakati dini mbili kuu za dunia,wanamuamini Yesu na kuamuni kuwa atarudi tena mwisho wa dunia.
Soma uelewe maandiko. Siyo mtu kaweka ajihalalishie uovu wake na wewe unameza kila kitu. Hayo maandiko yamekuzidi uwezo wako wa kufikilia mbali sana.
Wewe uliyesoma , towashi ni lugha gani na kiengereza anaitwaje? Hiyo biblia unayoitumia wewe msomi ni biblia ipi Kati ya maelfu ya biblia tofauti?Soma uelewe maandiko. Siyo mtu kaweka ajihalalishie uovu wake na wewe unameza kila kitu. Hayo maandiko yamekuzidi uwezo wako wa kufikilia mbali sana.
Mathayo 19:12 .Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee.
Ungekuwa wewe mlinzi wake kwa hali unayoiona hapo baada ya vyuma kushushwa ungeendelea kumlinda kama ungefanikiwa kusogea pembeni ukiwa salama?uzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia sn
Tuonyeshe kuwa hilo shambulizi alitengeneza netanyahu, mbona wabongo tunakuwa masikini wa kifikra hiviiLile shambulio alitengeneza Netenyau mwenyewe ili ahepe kifungo huyo jamaa ni mla rushwa na jambazi damu zote anamwaga ili tu abakie mamlakani sasa wabamuuliza maswali hana majibu mateka wako wapi???? Wala hana mpango kuwaokoa mateka
Kwa hiyo kwako Towashi kwa kingereza chako Cha ugoko ni Guy?. Mbona unajitia aibu. Punguza udini ukuze ufahamu wako. Towashi kwa kingereza ni (Eunuch) (Uhanisi)mtu anaweza akazaliwa akiwa hanisi. Au Kama mababu zetu walivyochukuliwa na waarabu walihasiwa( wakaminywa kende wawe Mahanisi)Wewe uliyesoma , towashi ni lugha gani na kiengereza anaitwaje? Hiyo biblia unayoitumia wewe msomi ni biblia ipi Kati ya maelfu ya biblia tofauti?
Kwa hiyo kwako Towashi kwa kingereza chako Cha ugoko ni Guy?. Mbona unajitia aibu. Punguza udini ukuze ufahamu wako. Towashi kwa kingereza ni (Eunuch) (Uhanisi)mtu anaweza akazaliwa akiwa hanisi. Au Kama mababu zetu walivyochukuliwa na waarabu walihasiwa( wakaminywa kende wawe Mahanisi)
Fatilia habari Balaamu utaelewa kwanini Musa aliagizwa hivyo. Utajua kwanini Mungu alibadikisha maneno ya Balaamu kutoka kuwa laana na kuwa baraka.kama towashi kwa kiengereza ni eunuch kwa hivyo inakuwaje huku tunaambiwa vyengine ??
Deuteronomy 23:1-6 The Message (MSG) No eunuch is to enter the congregation of GOD. No bastard is to enter the congregation of GOD, even to the tenth generation, nor any of his children. No Ammonite or Moabite is to enter the congregation of GOD, even to the tenth generation, nor any of his children, ever.
Fatilia habari Balaamu utaelewa kwanini Musa aliagizwa hivyo. Utajua kwanini Mungu alibadikisha maneno ya Balaamu kutoka kuwa laana na kuwa baraka.
Huwa nazungumza fact na watu wanaojielewa.Hadi unatia huruma.
Wacha niku block huna hoja mburukenge wewe.Hayo mambo machafu yenyewe yameanzia huko kwenu.
Iran sio Syria kijana.Jifariji tu we jamaa hua mnasema hivi hivi.
Vita sio nzur wadau msishangilie vita