Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Acha uongo eti ulaya wanaichukia Israel hahahaha yaani wachukie ndugu zao halafu wawapende magaidi ya kiarabu🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo hawa ulaya,wanawapenda magaidi wa Israel,waliomsulubu Yesu,na kumuua,na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa?Wakati dini mbili kuu za dunia,wanamuamini Yesu na kuamuni kuwa atarudi tena mwisho wa dunia.
 
Ndio wanaipenda Israel taifa teule
 
Screenshot_2024-10-19-10-14-17-919_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-10-18-16-13-35-244_org.mozilla.firefox~2.jpg
Screenshot_2024-10-18-08-28-31-140_com.google.android.googlequicksearchbox~2.jpg
 
Soma uelewe maandiko. Siyo mtu kaweka ajihalalishie uovu wake na wewe unameza kila kitu. Hayo maandiko yamekuzidi uwezo wako wa kufikilia mbali sana.

Mathayo 19:12 .Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee.
 
Wewe uliyesoma , towashi ni lugha gani na kiengereza anaitwaje? Hiyo biblia unayoitumia wewe msomi ni biblia ipi Kati ya maelfu ya biblia tofauti?
 
uzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia sn
Ungekuwa wewe mlinzi wake kwa hali unayoiona hapo baada ya vyuma kushushwa ungeendelea kumlinda kama ungefanikiwa kusogea pembeni ukiwa salama?
 
Lile shambulio alitengeneza Netenyau mwenyewe ili ahepe kifungo huyo jamaa ni mla rushwa na jambazi damu zote anamwaga ili tu abakie mamlakani sasa wabamuuliza maswali hana majibu mateka wako wapi???? Wala hana mpango kuwaokoa mateka
Tuonyeshe kuwa hilo shambulizi alitengeneza netanyahu, mbona wabongo tunakuwa masikini wa kifikra hivii
 
Wewe uliyesoma , towashi ni lugha gani na kiengereza anaitwaje? Hiyo biblia unayoitumia wewe msomi ni biblia ipi Kati ya maelfu ya biblia tofauti?
Kwa hiyo kwako Towashi kwa kingereza chako Cha ugoko ni Guy?. Mbona unajitia aibu. Punguza udini ukuze ufahamu wako. Towashi kwa kingereza ni (Eunuch) (Uhanisi)mtu anaweza akazaliwa akiwa hanisi. Au Kama mababu zetu walivyochukuliwa na waarabu walihasiwa( wakaminywa kende wawe Mahanisi)
 
What a lovely moment jamaa hakukaa chini na alikaa kwenye kochi pamoja na maumivu picha inamaana kubwa sana ile, na mwenye nyumba kafanya sherehe kwa nyumba yake kuandika historia ya mpigania uhuru Sin war na Shaheed, Allah amlipe kher nyingi zaid
 
Kwa hiyo kwako Towashi kwa kingereza chako Cha ugoko ni Guy?. Mbona unajitia aibu. Punguza udini ukuze ufahamu wako. Towashi kwa kingereza ni (Eunuch) (Uhanisi)mtu anaweza akazaliwa akiwa hanisi. Au Kama mababu zetu walivyochukuliwa na waarabu walihasiwa( wakaminywa kende wawe Mahanisi)

kama towashi kwa kiengereza ni eunuch kwa hivyo inakuwaje huku tunaambiwa vyengine ??

Deuteronomy 23:1-6 The Message (MSG) No eunuch is to enter the congregation of GOD. No bastard is to enter the congregation of GOD, even to the tenth generation, nor any of his children. No Ammonite or Moabite is to enter the congregation of GOD, even to the tenth generation, nor any of his children, ever.
 
Fatilia habari Balaamu utaelewa kwanini Musa aliagizwa hivyo. Utajua kwanini Mungu alibadikisha maneno ya Balaamu kutoka kuwa laana na kuwa baraka.
 
Wewe uliyesoma Si utuambie wapi sheria ilibadilishwa?
 
Jifariji tu we jamaa hua mnasema hivi hivi.
Iran sio Syria kijana.
Huwenda naongea na mtoto mdogo.
Ila kama umefuatilia kuhusu Iran walau kuanzia 1979 utaelewa kwanini USA na washirika wake wanaiona ni threat kwao pale middle east.
Unaizungumzia nchi ilopigana miaka nane mfululizo pasi na kushindwa na taifa kamili ambalo kipindi hiko lilikua na jeshi kubwa kuliko wao Iraq ya Saddam Hussein.
 
Back
Top Bottom