Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Lebanon wanaishambulia Israel ama?View attachment 3366993hezbuballah wamelianzisha tena
Hezbollah wamerusha drone kwenda IsraelLebanon wanaishambulia Israel ama?
Iran imejaa mashushu wa mossad tu, washamsoma wakamuona yupo mtupu, atapigwa tu Sana na hakuna atakalofanya!!! Israel mpaka imeamua kuanzisha vita watakua na data nyingi mezaniIran hawezi kuruhusiwa awe na nuclear, wanajua akiipata utakuwa mwisho wa Israel
Israel mashambulizi iliyofanya si kitu ndugu zangu, Israel itapigwa hapa mtashangaa...Iran imejaa mashushu wa mossad tu, washamsoma wakamuona yupo mtupu, atapigwa tu Sana na hakuna atakalofanya!!! Israel mpaka imeamua kuanzisha vita watakua na data nyingi mezani
Wako wapi wale wanaosema Israel anaonea vidagaa tu??? Huyu netanyahu Hana mchezo inabidi biblia wait edit waongeze jina lake
Kuna propaganda zinadai hizbullah wamesema hawaingiliiHezbollah wamerusha drone kwenda Israel
Iran inasakamwa na wengi,kuna kolabo na nato na USA, israel anapewa tu intelijensia na kuelekezwa jinsi ya kushambuliaIran imejaa mashushu wa mossad tu, washamsoma wakamuona yupo mtupu, atapigwa tu Sana na hakuna atakalofanya!!! Israel mpaka imeamua kuanzisha vita watakua na data nyingi mezani
Wako wapi wale wanaosema Israel anaonea vidagaa tu??? Huyu netanyahu Hana mchezo inabidi biblia wait edit waongeze jina lake
Amka toka kwenye hiyo ndotoIsrael mashambulizi iliyofanya si kitu ndugu zangu, Israel itapigwa hapa mtashangaa...
Iran inakwenda kuipiga Israel katika namna ambayo UN wanaingilia kati..
Ndo maana Israel wanasema wapo kwenye high alert...
Iran ina missiles city..
Kama Israel imeshindwa tu kuharibu makombora ya Yemen Houthis ambayo kila siku yanapiga Gurion airport, watakuja kuiweza Iran?
Suala la Israel kuingia Iran na kufanya mashambulizi sioni ajabu, hata Ukraine amejitutumua kafanya mashambulizi ya drone ndani ya Russia.. na sasa wanalipa walichofanya.
Nimepita tweeter kwenye page za wachambuzi wa vita ambao hawako biased wengi wanasema Iran Iko tupu Sana na hawata Fanya kitu Cha maana chochote, wengi ni kama wanaionea huruma tu, wakisisitisha uwezekano wa serikali kupinduliwa baada ya wapinzani kuona ukweli kua nguvu za kijeshi za Iran zimekua propaganda!!! Mtu hawezi tu kuanza kukupiga bila kukuchunguza kwanza, unless ni Hamas(maana Hawa akili hua Hawana)))Israel mashambulizi iliyofanya si kitu ndugu zangu, Israel itapigwa hapa mtashangaa...
Iran inakwenda kuipiga Israel katika namna ambayo UN wanaingilia kati..
Ndo maana Israel wanasema wapo kwenye high alert...
Iran ina missiles city..
Kama Israel imeshindwa tu kuharibu makombora ya Yemen Houthis ambayo kila siku yanapiga Gurion airport, watakuja kuiweza Iran?
Suala la Israel kuingia Iran na kufanya mashambulizi sioni ajabu, hata Ukraine amejitutumua kafanya mashambulizi ya drone ndani ya Russia.. na sasa wanalipa walichofanya.
Wachambuzi wa vita pro-israel siyo!!Nimepita tweeter kwenye page za wachambuzi wa vita ambao hawako biased wengi wanasema Iran Iko tupu Sana na hawata Fanya kitu Cha maana chochote, wengi ni kama wanaionea huruma tu, wakisisitisha uwezekano wa serikali kupinduliwa baada ya wapinzani kuona ukweli kua nguvu za kijeshi za Iran zimekua propaganda!!! Mtu hawezi tu kuanza kukupiga bila kukuchunguza kwanza, unless ni Hamas(maana Hawa akili hua Hawana)))
Anyway ngoja tutaona mkuu itakavyokua
Kuna propaganda zinadai hizbullah wamesema hawaingilii
Iran sio nchi ya kitoto wewe unasema haya kwa sababu upo huko buza kwa mpalange kwa mama samia tu unakula ugali wa bure na kujamba hovyo tu.Iran imejaa mashushu wa mossad tu, washamsoma wakamuona yupo mtupu, atapigwa tu Sana na hakuna atakalofanya!!! Israel mpaka imeamua kuanzisha vita watakua na data nyingi mezani
Wako wapi wale wanaosema Israel anaonea vidagaa tu??? Huyu netanyahu Hana mchezo inabidi biblia wait edit waongeze jina lake