Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

Nakuhurumia we ndugu, mbona mna mioyo migumu sana hata kwenye kukubaliana na vitu obvious tu??

Toka alfajir milipuko inasikika Iran, ila bado mnaongea hiz kauli, are you serious??
 
kila siku mnasema hivo hivo na hatuoni.Kabla hawajapiga watapigwa
 
Iran ipo kwenye hali ngumu kwa Sasa.
 
Kinachotokea ni Netanyahu kutaka mzozo mwingie ili kuepuka adhabu inayomsubiri kutoka ICC ya kwenda jela baada ya kufanya genocide Gaza.
 
Hii habari ya drone imekanushwa na Iran.
 
Uta jinyea Mzee
 
Israel imekuwa fooled kudhani imeimaliza nguvu Iran, waajemi wanacheza mind game...
Tusubiri hapa na tuwe patient..

Israel itapigwa dunia haitoamini.. tusubiri hapa..
Wanadhani Iran imeshamalizwa hapo.
Kwa huu ukimya Iran inafanya homework wapo kumevuja warekebishe.
Najua Israel atakua anashangilia muda huu,ila siku zijazo hatoamini macho yake .
 
ICC ni kwa wakorofi kutoka nchi maskini sio nchi zilizoendelea
Ukishatoka madarakani nguvu inapungua.. unakamatwa kama kawaida..

Netanyahu hajihisi salama tena, sio ICC tu, hata maisha yake nje ya ofisi ya waziri mkuu anajiona hayupo salama, anatamani kuendelea kulindwa milele na kukaa kitini hadi mwisho..

Akitoka nje ya ofisi jela inamuhusu, leo na kesho Trumo hatokuwepo madarakani, labda uongozi utabadilika ambao hautampa favor Israel... plus nchi za EU wanachukizwa na kitendo cha Israell..

Amini nisemali..
 
Wanadhani Iran imeshamalizwa hapo.
Kwa huu ukimya Iran inafanya homework wapo kumevuja warekebishe.
Najua Israel atakua anashangilia muda huu,ila siku zijazo hatoamini macho yake .
Israel wameingia ndani ya Iran wamepiga walivyotaka na wakaua mkuu wako wa Majeshi then wakarudi tena wakafanya the same na hakuna resistance yeyote, bado una imani na Ayatollahs 😂
 
Vita is all about information na sio silaha pekee , Israel hawakuwa kweny high alert na Yemen mpk miaka ya hv karibuni ila Iran amekuwa tishio serious tangu kitambo so wamekuwa wanajipanga tangu muda sana
 
Wanadhani Iran imeshamalizwa hapo.
Kwa huu ukimya Iran inafanya homework wapo kumevuja warekebishe.
Najua Israel atakua anashangilia muda huu,ila siku zijazo hatoamini macho yake .
Wanachofanya sasa ni kuhakikisha hakuna shushushu wa mossad wapo miongoni mwao..

Inaonekana hao wanasayansi na high ranking offficers walikuwa wanafuatiliwa na agents wa mossad kila hatua, hadi mara ya mwisho wanakwenda kulala mossad walifahamu , hadi mara ya mwisho ndege zinakwenda kupiga hayo majengo kuna agents wa Mossad walifahamu hadi vyumba walivyolala...

Kwa maana mabomu yaliyotumika yamepiga kwa usahihi vyumba baadhi walipokuwa hao scientists na viongoi wa jeshi..

Kuna operation safisha safisha inapita ndani kwanza, muda si muda utasikia kuna mossad agents baadhi wamekamatwa...

Watu hawaelewi kwanini Israel imefunga anga, na wanafunzi kupata likizo, wanachukua Kila aina ya hatua kwa sababu wanaelewa Iran inajibu muda wowote.. na wakijibu iakuwa surprise..

Naweza sema kwa mara ya kwanza Iran inaweza fanya mashambulizi yakapelekea kuua raia ndani ya Israel.. tusubiri tuone..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…