Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

Ni Iran ndio iliyoanza kuipiga Israel,wanachofanya Israel nikulipa tu. kumbuka baada ya shambulio la Iran (ahadi ya kweli 2)Kisasi walicholipa Israel hakikuwa na mafanikio waliyoyatarajia.
 
Wanaogopa uprising hasa Wananchi wasisikie hotuba za Netanyahu na Trump kuhamasisha uasi.
Kuna uvumi mwingi wa uongo unaoenezwa na Wazayuni pamoja na vyombo vya habari vinavyowaunga mkono.
Kwa mfano,kuna uvumi unaonezwa kwamba Iran imeanza kujibu shambulizi la Israel kwa kurusha drones ambazo zote zimetunguliwa na wazayuni, Iran imekanusha madai hayo.
 
Wanaogopa uprising hasa Wananchi wasisikie hotuba za Netanyahu na Trump kuhamasisha uasi.
Raia wa Iran sio vichaa kiasi hicho waanzishe uasi muda huu.
Tena nyakati kama hizi ndio wako pamoja na wanaungana mkono.
 
Kiongezwe kitabu cha benyamini
 
We jamaa bana πŸ˜‚πŸ˜‚ unachoandika hua unarudia kusoma kweli au unapost tu πŸ˜‚πŸ˜‚ Hivi we mkazi wa namtumbo una akili kweli wewe au bichwa lako limejaa kamasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…