Sio kweliPoint ni moja tuu hakuna vita ya kikirsto na kiislamu gazza.....
Jinsi unavyopost utafikiri wewe ni myahudi...
Wapaletina wanatetea ardhi yao na tamaduni zao... Israel nae anatetea tamaduni zake na watu wake.
Inabidi hapo ujifunze tamaduni za kipalestina na za kiisrael!!
Uchambuzi wako uko wapi?Kikubwa nilichogundua hapa jamii forum hasa kwenye mzozo wa Hamas na israel watu wengi huchangia kwa mihemko ya kidini.
Nilitegemea watu watajadili kwa hoja za msingi na kuuweka udini pembeni.
Nilitegemea as great thinkers mngejadili zaidi athari za vita na njia za kutatua mzozo huo..
Nilitegemea as great thinkers majadiliano yangekuwa kwa hoja na sio matusi Wala kebehi.
Nilitegemea ustaarabu wa hali ya juu kama kawaida yetu watanzania.
Hapa nmeanza kupata mashaka mafundisho mnayopewa kanisani au msikitini.
Jaribu kadri unavyoweza kupiga vita chuki za kidini!!!!
kwahiyo unakataa kwamba wayahudi sio viongozi wa ushoga au namna gani hapo kijana
WE HATA BIBLIA HUJUI KUISOMA UTAWEZA QURAN I JUST ASSUME WE NI MBUMBUMBU TU
Tafuta posts za akina mk,faiz ,ritz......Uchambuzi wako uko wapi?
Anza nitakujibu.
😂🤣🤣 jirani nasikia hamas wamekufa saba tu.Kama walishusha mabomu Gaza mpaka leo wapalestina wapo na majeshi yao wameyaondoa kutokana na vifo vingi kutoka kwa Hamas hapo Rafah hamna jipya.
Mimi nimetaka ulete uchambuzi wako kuhusu huo mgogoro ili na mimi nilete wangu tushee. Sasa hao uliowataja ndio wachambuzi wako?Tafuta posts za akina mk,faiz ,ritz......
Kweli mkuu Mungu wa kiarabu Allah kawaleta hamas kuwanyima usingizi mashoga na makafiri 🤣🤣kwa akili yako ndogo hilo jambo ndo unaona darasa!!!Mungu kawaleta watu kama Hamas duniani kuwanyima usingizi MASHOGA na makafiri wote wanaotaka kuugeuza ulimwengu kuwa chini yao...
Ushoga na ufirajikwahiyo unakataa kwamba wayahudi sio viongozi wa ushoga au namna gani hapo kijana
Hakuna hiyo vita....labda kama hujui historia ya eneo, tamaduni za watu wa maeneo hayo.....Sio kweli
Huwa wanapost ujinga na kuwaaminisha juu ya vita vya kidini!!!Mimi nimetaka ulete uchambuzi wako kuhusu huo mgogoro ili na mimi nilete wangu tushee. Sasa hao uliowataja ndio wachambuzi wako?
😂😂Hakuna hiyo vita....labda kama hujui historia ya eneo, tamaduni za watu wa maeneo hayo.....
Hakuna Mungu anae-sapoti mauji ya wa Israel na wapaletina.
Mimi sikutaka hayo.Huwa wanapost ujinga na kuwaaminisha juu ya vita vya kidini!!!
Hapo Kila upande unatetea maslahi yake!!
Halafu wanafyekwa na hao hao mashoga,huyo mungu wao hakuwasanua kuwa hao makafiri wana Mungu mkuu,mwenye nguvu na upendo mwingi kwao? Ona Mungu wa makafiri anavyowanyeshea mvua ya mauti hao adui zake,common sensekwa akili yako ndogo hilo jambo ndo unaona darasa!!!Mungu kawaleta watu kama Hamas duniani kuwanyima usingizi MASHOGA na makafiri wote wanaotaka kuugeuza ulimwengu kuwa chini yao...
If you really want to deeply understand the conflict you have to study the two religions. Judaism and Islam. They both claim the same origins. Abraham, they both claim, is the father of them all. Same for Christianity, but since the question is about the Israeli (mostly Jews) vs Palestinian (mostly Arab Muslims) we’ll just address the two religions.Hakuna hiyo vita....labda kama hujui historia ya eneo, tamaduni za watu wa maeneo hayo.....
Hakuna Mungu anae-sapoti mauji ya wa Israel na wapaletina.
Nimesoma then nimetumia google translater......sijaambulia chochote, mgogoro uliopo hapo ni wakugombea maeneo.... Nafikiri hata UN waliwahi kuja na hoja ya Mataifa mawili....If you really want to deeply understand the conflict you have to study the two religions. Judaism and Islam. They both claim the same origins. Abraham, they both claim, is the father of them all. Same for Christianity, but since the question is about the Israeli (mostly Jews) vs Palestinian (mostly Arab Muslims) we’ll just address the two religions.
Are you read?
Pole mkuu.Nimesoma then nimetumia google translater......sijaambulia chochote, mgogoro uliopo hapo ni wakugombea maeneo.... Nafikiri hata UN waliwahi kuja na hoja ya Mataifa mawili....
Kwenye hayo maeneo sasa kila jamii ina tamaduni zake...
Utakuja tena kwenye point Ile Ile hata kabla 1947 walikuwa wanagombea nini?Pole mkuu.
Nakushauri tafuta vizuri history ya huo mgogoro. Utagundua sio ardhi.
Wanaosema ni ardhi wanaangalia kuanzia 1947. Parestina na Israel walianza kupigana kabla ya hiyo 1947.