Israel yaanza kushusha mvua ya mabomu Rafah

Israel yaanza kushusha mvua ya mabomu Rafah

Point ni moja tuu hakuna vita ya kikirsto na kiislamu gazza.....
Jinsi unavyopost utafikiri wewe ni myahudi...
Wapaletina wanatetea ardhi yao na tamaduni zao... Israel nae anatetea tamaduni zake na watu wake.
Inabidi hapo ujifunze tamaduni za kipalestina na za kiisrael!!
Sio kweli
 
Kikubwa nilichogundua hapa jamii forum hasa kwenye mzozo wa Hamas na israel watu wengi huchangia kwa mihemko ya kidini.
Nilitegemea watu watajadili kwa hoja za msingi na kuuweka udini pembeni.
Nilitegemea as great thinkers mngejadili zaidi athari za vita na njia za kutatua mzozo huo..
Nilitegemea as great thinkers majadiliano yangekuwa kwa hoja na sio matusi Wala kebehi.
Nilitegemea ustaarabu wa hali ya juu kama kawaida yetu watanzania.
Hapa nmeanza kupata mashaka mafundisho mnayopewa kanisani au msikitini.
Jaribu kadri unavyoweza kupiga vita chuki za kidini!!!!
Uchambuzi wako uko wapi?
Anza nitakujibu.
 
kwahiyo unakataa kwamba wayahudi sio viongozi wa ushoga au namna gani hapo kijana
downloadfile-1.jpg
 
Tafuta posts za akina mk,faiz ,ritz......
Mimi nimetaka ulete uchambuzi wako kuhusu huo mgogoro ili na mimi nilete wangu tushee. Sasa hao uliowataja ndio wachambuzi wako?
 
kwa akili yako ndogo hilo jambo ndo unaona darasa!!!Mungu kawaleta watu kama Hamas duniani kuwanyima usingizi MASHOGA na makafiri wote wanaotaka kuugeuza ulimwengu kuwa chini yao...
Kweli mkuu Mungu wa kiarabu Allah kawaleta hamas kuwanyima usingizi mashoga na makafiri 🤣🤣
Screenshot_20231110-154343_1.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Mimi nimetaka ulete uchambuzi wako kuhusu huo mgogoro ili na mimi nilete wangu tushee. Sasa hao uliowataja ndio wachambuzi wako?
Huwa wanapost ujinga na kuwaaminisha juu ya vita vya kidini!!!
Hapo Kila upande unatetea maslahi yake!!
 
  • Thanks
Reactions: 511
Hakuna hiyo vita....labda kama hujui historia ya eneo, tamaduni za watu wa maeneo hayo.....
Hakuna Mungu anae-sapoti mauji ya wa Israel na wapaletina.
😂😂
Mkuu leta uchambuzi wako nitakujibu kwa fact.
Mungu hasapoti mauaji ya Israel na parestine. 😂 Unakumbuka chochote kuhusu vita ya Israel na wafilisti? Nani alikuwa anawatuma wa Israel kwa kuahidi kuwapa ushindi?

Lete hiyo historia tujifunze mkuu.
 
Huwa wanapost ujinga na kuwaaminisha juu ya vita vya kidini!!!
Hapo Kila upande unatetea maslahi yake!!
Mimi sikutaka hayo.
Nilisema lete uchambuzi wako tujadiliane hapa.
 
kwa akili yako ndogo hilo jambo ndo unaona darasa!!!Mungu kawaleta watu kama Hamas duniani kuwanyima usingizi MASHOGA na makafiri wote wanaotaka kuugeuza ulimwengu kuwa chini yao...
Halafu wanafyekwa na hao hao mashoga,huyo mungu wao hakuwasanua kuwa hao makafiri wana Mungu mkuu,mwenye nguvu na upendo mwingi kwao? Ona Mungu wa makafiri anavyowanyeshea mvua ya mauti hao adui zake,common sense
 
Hakuna hiyo vita....labda kama hujui historia ya eneo, tamaduni za watu wa maeneo hayo.....
Hakuna Mungu anae-sapoti mauji ya wa Israel na wapaletina.
If you really want to deeply understand the conflict you have to study the two religions. Judaism and Islam. They both claim the same origins. Abraham, they both claim, is the father of them all. Same for Christianity, but since the question is about the Israeli (mostly Jews) vs Palestinian (mostly Arab Muslims) we’ll just address the two religions.

Are you read?
 
Nimesoma then nimetumia google translater......sijaambulia chochote, mgogoro uliopo hapo ni wakugombea maeneo.... Nafikiri hata UN waliwahi kuja na hoja ya Mataifa mawili....
Kwenye hayo maeneo sasa kila jamii ina tamaduni zake...
 
  • Masikitiko

Pole mkuu.
Nakushauri tafuta vizuri history ya huo mgogoro. Utagundua sio ardhi.
Wanaosema ni ardhi wanaangalia kuanzia 1947. Parestina na Israel walianza kupigana kabla ya hiyo 1947.
 
Kuna vitu sio vya kuviombea kama migogoro ya kidini..
Pole mkuu.
Nakushauri tafuta vizuri history ya huo mgogoro. Utagundua sio ardhi.
Wanaosema ni ardhi wanaangalia kuanzia 1947. Parestina na Israel walianza kupigana kabla ya hiyo 1947.
Utakuja tena kwenye point Ile Ile hata kabla 1947 walikuwa wanagombea nini?
Shida ni moja tuu ndugu Kuna waislamu wanasema ni vita vya kidini na Kuna wakristo wanadai ni vita ya kidini....
Mgogoro huo naujua vizuri na nimeusoma kwenye vitabu vya dini....
Israel lazima iwepo hapo na palestna nayo lazima iwepo.
Kiongozi tukizungumzia vita ya kidini maana yake dini Moja inataka iiangamize dini nyingine completely.
Sioni kama hilo litawezekana sababu ukristo na uislam umeshatapakaa duniani kote na muingiliano watu wa dini hizo ni mkubwa!!
Leo hii muislamu anaweza akamega demu wa kikirsto na mkristo akamega demu wa kiislamu..
 
Tangu Hao Jamaa wameshika Mateka israel imeahindwa kukomboa japo mmoja tu Mnakaa ooh Israel jeshi bora lipi????
 
Back
Top Bottom